kutoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais awe na utaratibu wa kutoa tuzo/medals

    Hello JF Leo nimeona ni jambo jema kwa Rais wetu kutoa/medal kwa watu wanaoenda extra mile kuigusa/hudumia jamii... Criteria ..awe nayo yeye mwenyewe... Nimesukumwa kuandika mada hii baada ya kusoma habari hii ya Mganga wa Kienyeji kujenga madarasa mawili huko Simiyu>>>>>>>> madarasa mawili...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wale Askari waliomfanyia fujo barabarani Raia, wavuna walichopanda

    Kumekucha. Yasemekana wale wababe wasiojua mipaka ya kazi yao, tayari yamewakuta: Habari hii kwa sasa inazunguka kama moto wa nyika. Hii ni kumhusu yule dogo aliyewekwa mtu kati, hadi kumkumbuka mjomba wake katika familia wala si serikali. Kama hii itakuwa si wao wenyewe katika kutaka...
  3. JamiiForums Tanzania Nimepigiwa simu na kutukanwa kisa kutoa maoni

    Habarini za wakati leo, nimekutana na mkasa ulioniacha mdomo wazi. Siku mbili nyuma niliagiza mzigo kutoka China na nikasafirisha na kampuni moja kimsingi ilikuwa ni mara ya kwanza kuwatumia. Mzigo ulivyofika nilipata usumbufu namna ya kumfikia transporter wa kuleta mkoa nilipo. Karibu siku...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hongera Dkt. Anna Makakala, Diaspora tumeona mabadiliko upokeaji maombi ya pasipoti ila Sasa maafisa wachache wamekalia maombi bila kutoa pasipoti

    Mara mwisho nikiwahi kuleta Uzi hapa kuishauri Uhamiaji iache kuwarudisha waombaji wa pasipoti bila kuwapokea Jambo lililopelekea vishoka nje ya ofisi zao kushirikiana na maafisa kushawishi ndipo maombi yapokelewe. Vijana wengi na watu wengi tulionao kwenye group la WhatsApp na tunaojadili nao...
  5. JamiiForums Tanzania Marekani kutoa pipa milioni 1 za mafuta kwa siku

    Rais wa Marekani, Joe Biden ametangaza kuwa pipa milioni 1 za mafuta zitatolewa kutoka kwa hifadhi ya mafuta ya taifa hilo kila siku kwa kipindi cha miezi sita ili kusaidia kupunguza bei ya mafuta ambayo imekuwa ghali kwa waendesha magari wa nchi hiyo. Biden amesema mapipa milioni 180 kutoka...
  6. JamiiForums Tanzania Gharama halisi za kutoa gari bandarini, 2022

    Habari wakuu, Baada ya kupitia threads kadhaa zilizojaribu kuonyesha gharama halisi za kutoa gari bandarini, nimepata 'mawili-matatu' lakini bado kuna vitu vinanitatiza. Mchangiaji wa kwanza ameorodhesha; Shipping lines=150,000 Wharfage =115,000 Port charges =250,000 Plate number =30,000...
  7. JamiiForums Tanzania Iringa: DPP aiondoa kesi ya Abdul Nondo katika Mahakama ya Rufani ya Tanzania

    Mahakama ya Rufaa ya Tanzania leo tarehe 23/03/2022 itasikiliza na kutoa uamuzi juu ya maamuzi ya Rufaa ya kesi ya Abdul Nondo yaliyotolewa na Jaji Kente (aliyekuwa jaji wa Mahakama kuu Tanzania - Iringa). Maamuzi ya Mahakama Kuu yaliona kuwa jamhuri walishindwa kuthibitisha kesi yao pasipo...
  8. JamiiForums Tanzania Shule za siku hizi hatuendi kutoa ujinga kama zamani

    Ni kwamba ile dhana tuliyoaminishwa kuwa nenda shule ukatoe ujinga. Imepitwa na wakati. Sasa hivi anayeenda shule anaenda kujaza ujinga na kuongeza ujinga kutoka kwa wajinga(walimu)...Na akihitimu...Anarudi mtaani anakuwa mjinga. Na hahitajiki popote...Kwa sababu bado ni mjinga tena...
  9. JamiiForums Tanzania Mambo ya Kuzingatia ili Kutoa Huduma Nzuri kwa Wateja

    1. Elewa hitaji la mteja Kamwe huwezi kumhudumia mteja vizuri bila kufahamu hitaji lake. Mara mteja anapofika katika biashara yako hakikisha unafahamu na kuelewa vyema anahitaji nini kabla ya kumhudumia. 2. Jitosheleze kihuduma Kabla ya kuamua kutoa huduma yoyote kwa mteja hakikisha...
  10. JamiiForums Tanzania Jitahidi kutoa ushuzi unapotaka kutoka

    Should You Hold in Your Farts? Medically reviewed by Cynthia Taylor Chavoustie, MPAS, PA-C — Written by Erica Cirino on May 20, 2020 Is it bad or healthy? Side effects of holding it in Prevention How to hold in a fart When farting is a problem Summary When your body builds up excess gas...
  11. JamiiForums Tanzania Utapeli Makanisa ya kisasa: Mamlaka ya Kutoa pepo sio ya Mchungaji/mtume/nabii ni kila muumini

    Bwana Yesu akitoa mamlka kwa kila Muumini kushughulika na vijini/pepo. Ni utapeli kuwageuza waumini watuhumiwa wa mapepo alafu eti kuna MTU mmoja star. Ndiye anayeyatoa. Kwa Mujibu wa Yesu hii ni KAZI mdogo kuliko zote kanisani na inafanywa na muumini tu. Tena ilitakiwa watoanie mapemo huko...
  12. JamiiForums Tanzania Ukatili wa kijinsia ni ‘sumu’, Watanzania wapewa somo la utayari wa kutoa taarifa

    Jamii imetakiwa kuwa tayari kutoa taarifa za matukio ya ukatili wa kijinsia katika jamii ikiwemo ukeketaji kwa watoto wa kike ili kuleta usawa. Hayo yameelezwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Amon Mpanju wakati akifungua Kongamano la Kitaifa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani: Serikali ya Rais Samia ukiibipu kwenye maendeleo inakupigia, tutekeleze majukumu yetu na kutoa taarifa

    RIDHIWANI: SERIKALI YA RAIS SAMIA UKIIBIPU KWENYE MAENDELEO INAKUPIGIA, TUTEKELEZE MAJUKUMU YETU NA KUTOA TAARIFA. Mbunge wa Chalinze na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Serikali ya Rais Samia ukiiambia unataka madarasa mawili au matatu yote...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Serikali: Hatujalipa kuweka tangazo jengo la Burj Khalifa lililopo Dubai

    Msemaji wa Serikali kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema haya.. Serikali HAIJALIPIA kuweka tangazo la Tanzania katika jengo refu kuliko yote Duniani liitwalo Burj Khalifa lililopo katika Jiji la Dubai. Tangazo hilo limewekwa kwa lengo la kuitangaza Tanzania kutokana na uhusiano mzuri uliopo...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada: Kuhusu Biashara ya kuuza mchele jumla kutoa mikoani kuleta Dar

    Habari Ndugu zangu, Napatikana Dar es Salaam nahitaji kuanza biashara ya kununua mchele kutoa mikoani kuleta kuuza jumla DSM, hivyo naombeni msaada kwa mwenye uzoefu wowote na biashara hii ili nami kijana mwenzenu nipate kujiajiri katika biashara hii. Nina mtaji wa chini ya million 5...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Je, Ndugai ataenda Msibani kwa Malecela?

    Ndg poleni na Msiba mkubwa wa Mwele ambaye ni mtoto wa Mzee Malecela. Yapata mwezi mmoja sasa Ndugai hajajitokeza hadharani tangu ajiuzulu Uspika. Hata vikao vya binge hajaonekana. Sasa swali la msingi ni Je atakuja kwenye Msiba wa ndg yake Malecela ambaye wote ni wenyeji wa Dodoma? Acha tuone.
  17. JamiiForums Tanzania Akataa kuolewa kisa mwanauwe hawezi kuandaa sherehe ila mahali yuko tayari kutoa

    Za mda huu wadau, Ni mama wa miaka 40 na ambaye pia ni mzee wa kanisa haya makanisa ya kilokole na alishawahi kuolewa na kudumu kwedumu kwenye ndoa kwa miaka 7 ila hakubahatika kupata mtoto mwanaume akamkimbia . Sasa kapata kijana mdogo tu wakaelewana, kijana akasema yeye yuko tayari kutoa...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Rais wa Zanzibar, IGP na Mzee Boazi watakubali kufika mahakamani kutoa ushahidi au Jaji atakataa wasiletwe Mahakamani?

    Kwa Hali ya ushahidi ulivyotolewa na Jamhuri watu wafuatao wataitwa na upande wa utetezi kwenda kutoa ushahidi. Lengo la kuwaita watu hao nikutaka kuionyesha Dunia uhusika wao au mtizamo wa juu ya kile kinachoendelea mahakamani. Mashahidi hao ni Hawa wafuatao 1. Mhe. Rais wa JMT, huyu upo...
  19. M

    JamiiForums Tanzania TFF hongereni kwa Kumfungia Shaffih Dauda aliyewaambieni Ukweli na Kumuacha Haji Manara aliyehatarisha Usalama wa Taifa na Kuuchafua Mpira

    Endeleeni tu Kumchekea huyo Msemaji wa Yanga SC Haji Manara na Upuuzi wake, ila ipo Siku mtatukumbuka tunaowaonya 24/7 kwa Madhara makubwa ambayo yatatokana nae huku mkimuogopa au mkiogopa kwakuwa kuna baadhi yenu mlifaidika mno Kibinafsi na Pesa za GSM.
  20. B

    JamiiForums Tanzania Jaji kufanya uchambuzi wa kurasa 1,500 ukaweza kutoa hukumu kwa siku mbili ni jambo lisilowezekana

    Mhe. Jaji amesema tarehe 18/02/2022 atatoa maamuzi kama watuhumiwa wana Kesi ya kujibu au la. Wakati huohuo ameeleza Kwamba karani wake ameshaandika page 1400+ na Kwamba anatakiwa kiutaratibu Jaji anapaswa kusoma nakutoa maamuzi ni facts zipi zinahitajika kuprove kama Kuna kesi ya kujibu au la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…