Pamoja na kujiridhisha, Lissu anaonekana kuichachafya CCM na kuichafua Tanzania. Kama rais Samia angekuwa anasiliza ushauri wa maana, angeachana na Lissu na kutafuta namna nyingine ya kubakia madarakani bila kutengengeza mazingira ya kuweza kupelekwa the Hague siku moja.
Ni ushauri tu...