Chuo cha ufundi wa kutengeneza cherehani (sewing machines mechanics)

Chuo cha ufundi wa kutengeneza cherehani (sewing machines mechanics)

Mgm-

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2019
Posts
6,040
Reaction score
8,714
Habari zenu humu,
Tafadhali nauliza je ni chuo gani hapa tanzania kinafundisha kozi ya kutengeneza vyerehani? yaani SEWING MACHINES MECHANICS.

Kama unajua jina la chuo, mkoa kilipo, ada, na muda wa kozi itakua vyema zaidi.

ASANTENI.
 
Back
Top Bottom