kutengeneza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dalton elijah

    Wapi Kilipo Kiwanda Cha Kutengeneza Vocha Hapa Tanzania?

    Najaribu Kuuliza Kwa Hapa Tanzania Niwapi Kilipo Kiwanda Cha Kutengeneza Vocha Ambazo Zinatumika Kwenye Mitandao ya Simu Asante
  2. D

    Najaribu kutengeneza simple word processing application inayorun kwa browser

    Kuna wakati huwa nakuwa sina office kwenye PC au natumia PC ya mtu nakuta nataka kuchapa kitu nakutana haina office. Option iliyopo ni kutumia Google Docs ambapo ntahitaji kusign in na vitu kama hivyo. Sasa just for fun nimeamua kuunda plugin ya chrome ambayo itakuwa inaweza kufanya basic tasks...
  3. K

    Je, tunao wataalam (Pharmacists) wa kutengeneza dawa hapa nchini Tanzania ?

    Sekta ya afya ni moja ya eneo nyeti linalogharimu pesa nyingi za serikali inaponunua madawa toka nchi za nje kwa pesa za kigeni. Wakati huo huo,. serikali inasomesha maelfu ya wafamasia ngazi za stashada (diploma) shahada (degree) masters mpaka PHD. Najiuliza tu, ya kwamba katika maelfu ya...
  4. U

    Trump aionya Iran itarajie mambo mabaya kuipata isipokubali mazungumzo kusitisha mpango wake kutengeneza silaha za nyuklia

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Trump warns of ‘bad, bad things’ for Iran if nuclear deal not reached 14 hours ago Share US President Donald Trump waves at reporters at the White House, March 28, 2025. US president Donald Trump warned Iran on Friday that “bad...
  5. U

    Beirut IDF yalipuka karakana ya kutengeneza na kuhifadhi drones mali ya magaidi ya Hezbollah almaarufu Unit Unit 127

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo Kituo kilichotumika kuhifadhi ndege hizo ni mali ya vikosi vya anga vya Hezbollah, vinavyojulikana kama Kitengo cha 127, jeshi linasema. Kitengo hicho kinahusika na mashambulizi ya ndege zisizo na rubani zilizojaa vilipuzi dhidi ya...
  6. Abraham Lincolnn

    Unatumia zaidi ya Bilioni 7 kutengeneza filamu ambayo haipo hata top 20 Netflix,Youtube wala popote ni upotevu wa rasilimali fedha na muda

    Tunajua na tunatambua umuhimu wa utalii katika maendeleo ya nchi. Mataifa kama Morroco, Egypt na Kenya yamekuwa yakinufaika sana na utalii. Kama Lengo lilikuwa kuvutia utalii wa ndani, si vibaya kutumia watu mashuhuri hapa nchini katika kutangaza na kuvutia watalii wengi zaidi kutoka ndani...
  7. The redemeer

    Mnaokamua mawese kutengeneza mafuta au miwa kutengeneza sukari chukua technology hio

    Pikipiki huwa na matumizi mengi sio kubeba abiria tu hata kufanya kazi zingine pia ikiwemo kulima. Huyu mwamba anaitumia kukamulia michikichi ili apate mafuta ya mawese. Huitaji kwenda Veta.
  8. M

    JINSI YA KUTENGENEZA MAFUTA YA KUPAKA KWA AJILI YA BIASHARA

    Ni Rahisi kutumia Macro Wax, White Oil, Glycerin, Rangi na Perfume Huu ni mwongozo hatua kwa hatua wa kutengeneza mafuta ya kupaka kwa ajili ya biashara. Mafuta haya ni mazuri kwa ngozi, yanatia unyevu, na unaweza kuyaongeza rangi na harufu ili kuyafanya yawe ya kuvutia zaidi sokoni. 🔹...
  9. Heritage123

    Njia 5 za Kutengeneza Pesa na Canva

    Utangulizi Canva ni zana yenye nguvu sana kwa wale wanaopenda ubunifu. Ukiwa na kipaji cha kubuni, unaweza kutumia Canva kama chanzo cha mapato. Iwe unatafuta biashara ya pembeni au njia ya kutengeneza pesa kamili, Canva inakupa fursa nyingi. Hapa chini kuna njia tano unazoweza kutumia Canva...
  10. EvilSpirit

    Kuna msomi wetu yeyote wa Computer Science amewahi hata kutengeneza simple computer games kama hizi?

  11. Heritage123

    Jinsi ya Kutengeneza Pesa na YouTube — Mwongozo wa Kuanza

    Jinsi ya Kutengeneza Pesa na YouTube — Mwongozo wa Kuanza YouTube ni moja ya njia bora za kutengeneza pesa mtandaoni, lakini wengi hawajui pa kuanzia. Kama unatafuta njia ya kuanza kutengeneza kipato kupitia YouTube, basi makala hii ni kwa ajili yako! 1. Chagua Niche Yenye Fursa Sio kila video...
  12. Mshana Jr

    Mapinduzi ya viwanda: China yafanikiwa kutengeneza viwanda Cha giza Vinachojiendesha chenyewe na bila taa

    Kuibuka kwa Viwanda vya Giza Vinavyojiendesha vyenyewe: (full automatic) 24/7na Bila Wafanyikazi au Taa.. Nice hatua nyingine kubwa kwenye maendeleo ya viwanda Mapinduzi Yajayo ya Viwanda Sekta ya utengenezaji inakumbana na mabadiliko ya dhana, yanayochochewa na maendeleo ya kiotomatiki, akili...
  13. chiembe

    TikTok yashtushwa na kushangazwa na idadi ya wasukuma katika mtandao wao. Waongoza kwa kutengeneza content

    Hakika si kilimo tu, sasa wameingia katika dunia ya teknolojia ya habari na mawasiliano kwa kasi kubwa.
  14. Just Pray

    RC Dodoma: Wananchi tunzeni chakula, msitumie nafaka kutengeneza pombe kuna ukame

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rossmery Senyamule amewataka wananchi wa Mkoa wa Dodoma kuhakikisha wanatunza chakula na wasitumie nafaka kwa ajili ya kutengenezea pombe kutokana na hali ya ukame inayoendelea nchini. RC Senyamule ametoa maagizo hayo hapa Jijini Dodoma wakati akihitimisha kikao cha...
  15. Davidmmarista

    Jifunze Mobile App Development kwa Kutengeneza Project Mbalimbali!

    Karibu kwenye darasa letu la mobile app development! Hapa tutajifunza React Native kwa vitendo, tukijenga project 4 halisi kwa wiki moja moja. Jiunge na group letu la Whatsapp na upate uzoefu wa kweli katika kutengeneza apps. Jiunge na group letu WhatsApp hapa: WhatsApp Group Link
  16. Nyanswe Nsame

    PreGE2025 Angelina Mabula atuhumiwa kutengeneza mpasuko CCM, ubadhirifu watajwa

    ANGELINA MABULA ATUHUMIWA KUTENGENEZA MPASUKO CCM, UBADHIRIFU WATAJWA Mbunge wa jimbo la Ilemela mkoani Mwanza, Angelina Mabula ameingia katika vita kubwa na viongozi wenzake wa Chama cha mapinduzi ccm kutokana na kuendesha genge la vijana wahuni wanaotukana na kuanzisha fujo katika mikutano ya...
  17. PMWAKA

    Watengenezaji Apps mje mnisaidie kitu.

    Wakuu ninashida na App, Mtu anaejua kudevelop mobile App using Android studio naomba msaada wako.
  18. ELI COHEN

    Unataka kutengeneza dough ya uhakika? fanya hivi, Wauzie "attention" wanawake, Wauzie "lust" wanaume na Wauzie "dreams" vijana wadogo.

    WOMEN, ATTENTION $Uza cha kumfanya mwanamke wa miaka 40 aonekane wa miaka 30. $Uza cha kumfanya mwanamke awageuze shingo wanaume. $Uza cha kumfanya mwanamke asemwe na mwanamke mwenzake. $Uza cha kumfanya mwanamke kutuliza munkali wa hisia na stress zake MEN, LUST $Uza cha kumfanya mwanaume...
  19. sonofobia

    Jinsi unavyoweza kutengeneza million 20 mwaka huu 2025

    Tafuta product moja unayoweza kuweka nguvu zako. Bidhaa hiyo utaiuza kwa sh elfu 10 kwa wateja 2000 kwa mwaka. Hakikisha ni bidhaa inayohitajika sokoni. 10,000 * 2000=20,000,000. Mfano zalisha mafuta ya ngozi target wateja 2000. Yabrand kwenye social media na mtaani utapata hiyo pesa. Au...
  20. youngkato

    UTAJIRI WA KUTENGENEZA CONTENT KWA BIASHARA ZA ONLINE

    Bila content, hakuna engagement na bila engagement, hakuna mauzo! Kwa Nini Content ni Muhimu? Inajenga Uaminifu na Brand Awareness – Wateja wanapokuona mara kwa mara na kupata elimu kuhusu bidhaa zako, wanajenga uaminifu kwa biashara yako. Inaongeza Engagement – Watu wanapenda maudhui ya...
Back
Top Bottom