kutengeneza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Heritage123

    NJIA 10 ZA KUTENGENEZA PESA UKITUMIA CANVA

    Katika makala hii, utajifunza njia 10 rahisi lakini zenye faida kubwa za kutumia Canva kutengeneza pesa — iwe uko shule, kazini au nyumbani. 1. Kuuza Templates (Miundo Tayari) Canva inakuruhusu kutengeneza templates kama CV, kadi za harusi, posta za Instagram, nk. Unaweza kuuza hizi templates...
  2. Alagwa

    Vigezo Vipya vya YouTube na Athari Zake kwa Watu Wanaotumia A.I kwa Kutengeneza Content

    YouTube kila wakati inaboresha kanuni zake na vigezo vya kufuatilia ili kuhakikisha watumiaji wanapata content bora na salama. Hivi karibuni, YouTube imezindua vigezo vipya vinavyohusu matumizi ya Artificial Intelligence (A.I) katika kutengeneza video na content. Je, mabadiliko haya yanaathiri...
  3. Keyboard_Warrior

    Imekuwaje mpaka PSG ameruhusiwa kutengeneza timu iliyokamilika namna hii?

    Muda mrefu sana umepita tangu kushuhudia timu iliyokamilika kama hii PSG! Hivi imekuwaje timu kongwe na kubwa za ulaya zimeruhusu PSG akusanye kikosi kilichokamilika namna hii!? Huyo dogo Neves ni namba sita CHAFU kwelikweli, Vitinha kiungo ya mpira inapapasa mali kama imelaaniwa, Fabian Luiz...
  4. A

    alitop kipanya cha kutengeneza juisi

    Vijana wa wa kwanza ni zawadi kutoka kwa Mungu ;Vijana wa pili ni matokeo ya juhudi zetu wenyewe.
  5. peno hasegawa

    Mwenye kufahamu mahali viwanda 13 vilipo vya kutengeneza magari atuambie,ninaona tunatapeliwa

    Bango hili hapo! Ninaona tunatapelewa na kundi la watu wachache
  6. Yoda

    Elon Musk alaani utawala wa Trump kwa kutengeneza bajeti mbaya ya nchi kihistoria, aapa kuwanyoosha wabunge wote walioipitisha

    Elon Musk anasema bajeti ya serikali ya Trump maarufu kama "Big Beatiful Bill" iliyopitishwa na bunge linaloongozwa na Republicans ni ya hovyo kuwahi kutokwa na itavunja rekodi kuongeza deni la Marekani kwa $Trilioni 5 zaidi. Aanasema nchi hiyo ni kama inaongozwa na chama kimoja cha nguruwe na...
  7. Mstahiki Mea

    Inawezekanaje kutengeneza Dollar milioni 1 kwa mwaka kwenye biashara?

    Kuna watu ni very smart asee, ama tuseme nibaraka, kuna sehemu nilipitia historia flani mzee akieleza biashara yake ya kwanza aliingiza faida ya dollar milion 1 kwa mwaka miaka hiyo ya 90s Kwangu nimeona sio kawaida kwakuwa kupata japo $2000 kwa mwaka kama faida ningumu🤣 Kuna watu ni very...
  8. Dennis Robert Shughuru

    Materials zinazotumika kutengeneza ozone layer ni zipi hizo???

    Jibu ni greenhouse gases ndo raw material zilizotumika kutengenezea ozone layer hii ya dunia na hata za sayari nyingine Greenhouse gases zinazotumika kutengeneza ozone layer za sayari tofauti tofauti ni kama zifuatazo;- Carbon dioxide Methane Nitrous gases Fluorinated gases Nikiwa Rais wa...
  9. Heritage123

    Jinsi ya Kuuza Followers na Kutengeneza TZS 2,000,000+ Kwa Mwezi Kwa Kutumia Simu Yako Tu

    Katika dunia ya leo ya kidigitali, social proof ni kila kitu. Watu wanataka kuonekana wanafuatiliwa, na biashara nyingi zinahitaji followers ili kuwashawishi wateja wao. Hii ndiyo sababu kuu iliyoifanya biashara ya kuuza social media followers kuwa fursa halali, rahisi, na yenye faida kubwa —...
  10. Palestine Will be free

    Wale ni Wayahudi wa kutengeneza, msikilizeni huyu mchungaji

    Wale ni Mayahudi wa Kutengeneza👆🏻 Ukweli wa Vita ya Iran na Taifa haram👆🏻 Wayahudi weusi kutoka 🇹🇿 nawasubiri
  11. Strong25

    Kutengeneza batiki

    HABARINI HUMU NDANI Nataka nijiingize kwenye maswala ya utengenezaji wa batiki. naomba kujua soko lipoje na changamoto zake nizipi.pia Upatikanaji wa malighafi ukoje.
  12. The redemeer

    Jifunze jinsi ya kutengeneza mbolea na virutubisho vya mimea kwa bustani yako ( booster na grower)

    Kama unashughulika na kilimo na unapata changamoto ya gharama za kunuanua virutubisho vya mimie shambani kwako huu hapa muongozo. Hapa kuna mwongozo wa kutengeneza Super Glow na Booster za mimea nyumbani kwa kutumia viambato vya asili au vya bei nafuu vilivyopo sokoni. Hii ni nzuri...
  13. Meneja Wa Makampuni

    Vitabu vya Mafunzo ya Kutengeneza vitu mbalimbali vya Biaashara

    🍞 JE, UNATAKA KUTENGENEZA VITAFUNWA VYA BIASHARA? Kitabu hiki kinakuonesha hatua kwa hatua jinsi ya kutengeneza vitafunwa vitamu vinavyouzwa sana kama: ✅ Maandazi ✅ Chapati ✅ Vitumbua ✅ Halfcake ✅ Kababu za mayai na vingine vingi! 📘 Softcopy PDF – Toleo la 1 💰 Bei: TZS 15,000 📱 WhatsApp: 0612...
  14. K

    Mtaalam wa kutengeneza Cripsi za ndizi

    Habari wadau natafuta mtaalam wa kutengeneza crips nimpe ajira wasiliana kwa 0626333300
  15. Dennis Robert Shughuru

    Dawa ya ukimwi; Njia za kutengeneza dawa ya ukimwi huu ni mtizamo wangu

    Nikiwa Rais ntaanzisha mchakato wa kutengeneza dawa ya ukimwi 👇👇👇👇👇 How potential HIV drug will work it engulf viral RNA genome which is essential for viral life and eliminate it. HIV viral structure Desired therapeutics method;- engulf viral RNA genome and eliminated it Method of...
  16. The Father of All

    Hivi Samia akimuachia huru Lissu atapungua nini?

    Pamoja na kujiridhisha, Lissu anaonekana kuichachafya CCM na kuichafua Tanzania. Kama rais Samia angekuwa anasiliza ushauri wa maana, angeachana na Lissu na kutafuta namna nyingine ya kubakia madarakani bila kutengengeza mazingira ya kuweza kupelekwa the Hague siku moja. Ni ushauri tu...
  17. Dangotte Junior

    Chuo cha ufundi wa kutengeneza cherehani (sewing machines mechanics)

    Habari zenu humu, Tafadhali nauliza je ni chuo gani hapa tanzania kinafundisha kozi ya kutengeneza vyerehani? yaani SEWING MACHINES MECHANICS. Kama unajua jina la chuo, mkoa kilipo, ada, na muda wa kozi itakua vyema zaidi. ASANTENI.
  18. CHASHA FARMING

    Unaweza kutengeneza zaidi ya Milion 37 kwa hekari 1 kwenye kilimo cha Pixie Oranges

    Pixie Orange ni high value oranges ambazo Bongo zipo zikiwa zinatokea South Afrixa na kuna wakati zinatoka Egypt nahisi kitu kama hicho. Pixie Orange huwezi zilinganisha na zile chungwa zetu za Muheza Tanga ambazo zile ni chungwa za kuuziana sisi ila hazina ubora wowote kwanza ni chachu sana...
  19. Mshana Jr

    Ubunifu: Kutumia nyuzi kutengeneza midoli

    Kwetu hapa bongo nimeona bado nyuzi jazijatumika kwa ukubwa na upana wake .. Mpaka sasa wanunua nyuzi wengi wamejikita kwenye mavazi kaka Masweta Soksi za watoto Vizibao Kofia nk Vikapu Lakini kuna hili la kutengeneza midoli ya watoto (teddy bear) na ni fursa nzuri kwa wale wajasiriamsli na...
  20. youngkato

    Njia tano za kutengeneza pesa elfu kumi kila siku kupitia simu yako

    Njia 5 Rahisi za Kutengeneza Tsh 10,000 Kila Siku Kupitia Simu Yako 📱 na Internet 🌍 👉 Unahitaji tu simu ya mkononi 👉 Internet ya kawaida 👉 Akili ya kujifunza na kuchangamka Huna mtaji mkubwa? Hakuna shida. Huna kompyuta? Hakuna shida. Simu yako inaweza kuwa mtaji mkubwa kuliko unavyodhani...
Back
Top Bottom