Strong25 JF-Expert Member Joined Dec 6, 2021 Posts 466 Reaction score 1,048 Jun 26, 2025 #1 HABARINI HUMU NDANI Nataka nijiingize kwenye maswala ya utengenezaji wa batiki. naomba kujua soko lipoje na changamoto zake nizipi.pia Upatikanaji wa malighafi ukoje.
HABARINI HUMU NDANI Nataka nijiingize kwenye maswala ya utengenezaji wa batiki. naomba kujua soko lipoje na changamoto zake nizipi.pia Upatikanaji wa malighafi ukoje.