Hivi Samia akimuachia huru Lissu atapungua nini?

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,708
Pamoja na kujiridhisha, Lissu anaonekana kuichachafya CCM na kuichafua Tanzania. Kama rais Samia angekuwa anasiliza ushauri wa maana, angeachana na Lissu na kutafuta namna nyingine ya kubakia madarakani bila kutengengeza mazingira ya kuweza kupelekwa the Hague siku moja.

Ni ushauri tu. Tafadhali wanaomshauri rais mtendeeni haki na kumtoa kwenye chaka analoiingia kirahisi rahisi.

1750094229995.png
 
kutafuta namna nyingine ya kubakia madarakani bila kutengengeza mazingira ya kuweza kupelekwa the Hague siku moja.

Ni ushauri tu. Tafadhali wanaomshauri rais mtendeeni haki na kumtoa kwenye chaka analoiingia kirahisi rahisi.

View attachment 3371842
Mbele ya lissu . Jibu NI kwamba hakuna njia nyingine .

Ambaye atasimama na lissu na kushinda general election NI mmoja tu MWAMBA JPM
 
Pamoja na kujiridhisha, Lissu anaonekana kuichachafya CCM na kuichafua Tanzania. Kama rais Samia angekuwa anasiliza ushauri wa maana, angeachana na Lissu na kutafuta namna nyingine ya kubakia madarakani bila kutengengeza mazingira ya kuweza kupelekwa the Hague siku moja.

Ni ushauri tu. Tafadhali wanaomshauri rais mtendeeni haki na kumtoa kwenye chaka analoiingia kirahisi rahisi.

View attachment 3371842
Wanajua mziki wake, wanaweka break hili washinde kwa 95-99% kwenye uchaguzi. Cha ajabu Lissu hagombei sasa ni hapo wanaposhughulikia mwanasiasa hasiye gombea. Moi style.
 
Hivi lissu akiacha uhuni na kufuata Sheria unapungukiwa na nini
Ulimaanisha CCM wakiacha uhuni. Wanapungikwa na nini?

Kosa la lissu NI kinyume na Sheria ambayo inasema Kwa kesi ya lissu ni lazima ushaidi uwe umekamilika . Kwanini ? Kwasababu uhaini si ubakaji .uhaini umetendeka na matokeo yameonekana . Una refer Zakaria hans pope .
 
If you see a leader ndani ya lissu.. unamatatizo makubwa
 
Pamoja na kujiridhisha, Lissu anaonekana kuichachafya CCM na kuichafua Tanzania. Kama rais Samia angekuwa anasiliza ushauri wa maana, angeachana na Lissu na kutafuta namna nyingine ya kubakia madarakani bila kutengengeza mazingira ya kuweza kupelekwa the Hague siku moja.

Ni ushauri tu. Tafadhali wanaomshauri rais mtendeeni haki na kumtoa kwenye chaka analoiingia kirahisi rahisi.

View attachment 3371842
mropokaji kuachiwa huru bila kushikishwa adabu kwa sheria anazokiuka kwa makusudi yatakua ni makosa makubwa sana katika historia ya utawala wa sheria duniani 🐒
 
If you see a leader ndani ya lissu.. unamatatizo makubwa
And if you don't? Na Unaona leadership style ndani Ya mtu ambaye anasema marekani na ulaya wanafanya vibaya ktk uchumi wakati amepewa ban kwamba hata yeye haruhusiwi kwenda kwao .

Hapa unakuwa na matatizo madogo?

DENI la Taifa NI trillion Mia na Saba.

NRNE
 
Pamoja na kujiridhisha, Lissu anaonekana kuichachafya CCM na kuichafua Tanzania. Kama rais Samia angekuwa anasiliza ushauri wa maana, angeachana na Lissu na kutafuta namna nyingine ya kubakia madarakani bila kutengengeza mazingira ya kuweza kupelekwa the Hague siku moja.

Ni ushauri tu. Tafadhali wanaomshauri rais mtendeeni haki na kumtoa kwenye chaka analoiingia kirahisi rahisi.

View attachment 3371842

Anajua akimwachia October hatoboi.

Hapo kampiga pini mshindani anayejua hamuwezi!
 
Pamoja na kujiridhisha, Lissu anaonekana kuichachafya CCM na kuichafua Tanzania. Kama rais Samia angekuwa anasiliza ushauri wa maana, angeachana na Lissu na kutafuta namna nyingine ya kubakia madarakani bila kutengengeza mazingira ya kuweza kupelekwa the Hague siku moja.

Ni ushauri tu. Tafadhali wanaomshauri rais mtendeeni haki na kumtoa kwenye chaka analoiingia kirahisi rahisi.

View attachment 3371842
Samia anaongozwa na watu wengine, hana mamlaka hayo

Fuatilia sakata la kanisa la Gwajima utaelewa
 
Back
Top Bottom