Hello wanachama wenzangu habari za leo,
Kijana wangu anapenda kusomea Aircraft Eng au U pilot, kwa sasa sina hakika na suala la ajira kwa hapa nyumbani na kuna mtu ameniambia hata nje ya nchi ni ngumu kupata kazi kwa sababu za kiusalama, naomba kujuzwa je, ni kweli ajira ni tatizo hapa kwetu kwani naona serikali inapanua masuala ya anga mwenye ufahamu naomba tusaidiane kwani hizi course ni gharama sana.
Napenda kuwakilisha.