kusimamia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama: Wahitimu Chuo cha Biblia cha Evengelism Church Muwe Mabalozi Wazuri wa Kusimamia Maadili

    Wahitimu wa Chuo cha Biblia cha Evengelism Church wameaswa kuwa askari wazuri wa vita dhidi ya mmomonyoko wa maadili ambao unaendelea kushamiri katika jamii zetu hususani kwa vijana. Wito huo umetolewa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe, Jenista Mhagama wakati wa...
  2. JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka Akoshwa na Serikali ya Awamu ya Sita Kusimamia Maridhiano

    Wakili Peter Madeleka akizungumza katika mahojiano maalum aliyoyafanya na Global TV jijini Arusha kuhusu sakata la kuhojiwa kwa tuhuma za utoro jeshini ameipongeza Serikaloi ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwa kinara wa maridhiano. Madeleka ameeleza kuwa ana...
  3. JamiiForums Tanzania Kufoji barua ya uteuzi wa kusimamia mirathi ni kosa kisheria na chochote utakachofanya kupitia hizo barua za kufoji ni batili

    Hii ni kwa mujibu wa uamuzi wa Mahakama Kuu kwenye kesi kati ya Juma Sylvester Mfumia dhidi ya Antony Adabu Mmasy, Rufaa ya Ardhi Namba 68 ya mwaka 2022, kesi ilisikikizwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Tanga (nitakwambia baadaye kwa nini nimeita uamuzi wa “Mahakama Kuu” wakati ilisikilizwa Mahakama...
  4. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Khamis Hamza: Serikali Kuziwezesha Mamlaka za Serikali za Mitaa Kusimamia Taka Nchini

    Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis amesema Serikali kwa kushirikiana na Washirika wa Maendeleo imeibua miradi ya kuziwezesha Mamlaka za Serikali za Mitaa kusimamia taka nchini. Amesema hayo wakati akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa mikakati...
  5. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kusimamia Shirika ili lijiendeshe kibiashara na kupata faida

    Sehemu ya 1: Kuelewa Msingi wa Uendeshaji wa Biashara 1.1 Ufafanuzi wa Malengo na Mkakati Kuanzia na msingi wa biashara, ni muhimu kuweka malengo wazi na mkakati wa kufikia malengo hayo. Weka malengo ya shirika lako kwa muda mfupi na mrefu, na hakikisha kuwa yanaambatana na maono yako. Panga...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Tangazo: Wanaohitaji mtu wa kusimamia ujenzi wa nyumba, mtu wa uhakika muaminifu anapatikana

    Wakuu heshima kwenu. Kuna watu wako busy kwenye kazi, wengine hawajui kusimamia nyumba kwa maana ndio ujenzi wa kwanza labda. Sasa ondoa shaka mtaalamu kijana wa kiha muaminifu anapatikana. Ni rafiki yangu wa karibu kaomba nimtangazie humu. Ana uzoefu wa kusimamia mafundi wakiwa wanajenga ili...
  7. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Hamad Chande akumbushia usimamizi wa fedha zinazotolewa kwa ajili ya kusimamia Maadiliko ya Tabianchi

    Wataalamu wa mazingira kutoka Nchi 10 za Afrika na wenzao kutoka mataifa ya Ulaya wamekutana Jijini Arusha kujadili namna bora ya uwajibikaji kwenye matumizi ya fedha zinazotolewa na Wahisani kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya utunzaji mazingira ikiwemo mabadiliko ya Tabianchi. Mkutano huo...
  8. JamiiForums Tanzania Tatizo la Tanzania kila kitu ni siasa. Hatuna useroius kwenye kutengeneza na kusimamia mipango madhubuti

    Kwa miezi sasa nchi imekuwa ikisumbuliwa na mgao wa umeme Leo nimeamka na taarifa za DG wa Tanesco kuondolewa Tanesco Wiki iliyopita ilitrend taarifa ya kampuni kubwa ya Starlink kuanza kazi Kenya huku hapa Tanzania ikiwa ilipigwa danadana za kutosha Sasa wameenda na Zimbabwe. Kwa uzoefu...
  9. JamiiForums Tanzania Kama mnamuona Rais Samia ameshindwa kusimamia Katiba na kulinda rasilimali zenu muwaombe Wabunge wamuondoe kwa Ibara ya 46A ya Katiba

    Kila kona mnalalama, eti mafuta yanapatikana kwa bei juu, Chakula bei juu, umeme umekuwa unakatika masaa 24, rushwa na uonevu kila kona hii ni ishara mbaya. Mkuu wa nchi yetu anapoapa ili atuongoze huwa anaapa kuilinda na kuitetea Katiba ya JMT. Sasa kama Katiba ilitungwa ili Watanzania...
  10. JamiiForums Tanzania Anahitajika msichana wa kusimamia ofisi ya miamala

    Anahitajika msichana wa kusimamia ofisi ya miamala ya Tigopesa. Vigezo awe na uzoef kwenye kazi hiyo au uzoef katik tasnia ya uwakala. awe mtu wa kujituma na mwenye lugha nzuri kwa watu wote. asiwe mtu wa hasira au dharau. awe na uwezo wa kujisimamia mwenyewe na kupangilia mambo katka ofisi...
  11. JamiiForums Tanzania Yameanza kwa TRA yatafata kwengine, TRA kusimamia wenyewe ajira badala ya utumishi tunarudi kule kule kwenye ajira za ukoo na kujuana

    Mke: Mume wangu, mdogo wangu kile kipindi utumishi wanasimamia ajira hakupata kabisa. Mme: Ni kweli utumishi walikuwa pasua kichwa, walituharibia sana, mambo ya connection yalipigwa panga. Mke: Sasa Mama karuhusu Mashirika mjisimamie msaidie basi mdogo wangu. Mme: Ondoa shaka, mdogo wako...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali imeshindwa kabisa kusimamia sekta ya usafiri wa pikipiki (bodaboda)!

    Kama kuna usafiri unaotumiwa na watu wa hali ya kawaida na chini kwa wingi ni pikipiki, tunazoziita bodaboda. Huduma hii ni rahisi, haraka na unafika uendako kwa kasi sana ukilinganisha na usafiri binafsi au hata mabasi ya Mwendokasi(DART). Lakini sekta hii haina uratibu wa aina yoyote nchini...
  13. JamiiForums Tanzania Mameneja TARURA Waagizwa Kusimamia Miradi Kikamilifu

    MAMENEJA TARURA WAAGIZWA KUSIMAMIA MIRADI KIKAMILIFU Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Dkt. Festo J. Dugange(Mb) amewaagiza Mameneja TARURA wa Mikoa na Wilaya zote nchini zinazotekeleza Mradi wa kuboresha miundombinu katika Majiji, Manispaa na Miji (TACTIC) kuhakikisha wanasimamia kwa...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Watakaoshindwa kusimamia fedha za TASAF kuondolewa, Rais Samia atoa Bilioni 51

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema katika mwaka huu wa fedha 2023/24, Rais Samia Suluhu Hassan ameelekeza Jumla ya Bilioni 51 kwa ajili ya kwenda kunufaisha Watanzania waishio katika mazingira magumu kupitia Mpango wa kuokoa...
  15. JamiiForums Tanzania Nafasi za muda za kusimamia uchaguzi mdogo Mbarali

    Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Mbarali ametangaza zaidi ya nafasi 1200 za kusimamia uchaguzi mdogo utakao fanyika tarehe 19/ 09/ 2023. Chonde chonde wapinzani msisusie uchaguzi vijana tupate posho.
  16. B

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka CCM irudi kusimamia Itikadi na Misingi yake

    Asalam, 1. Ninaipenda CCM na Ni Mwanachama wa CCM 2. Ninaipenda Nchi yangu na ni mzalendo hasa. 3. Ninaulewa wa itikadi na misingi ya saisa ya CCM 4. Ninapinga Mkataba wa sasa wa DPW, nitauunga ukirekebishwa. 5. Ninawaheshimu viongozi wa Chama, ninawakosoa wanaokosea (rejea mwongozo wa CCM WA...
  17. JamiiForums Tanzania Nani anaruhusiwa kisheria kusimamia kesi, kuandaa, kusaini na kuwasilisha nyaraka (documents) Mahakamani?

    Haya ni baadhi ya maswali ambayo utapata majibu yake kwa kusoma makala hii fupi. 1: Je, mtu ambaye sio Wakili anaruhusiwa kumuwakilisha (kumsimamia) au kumtetea mtu kwenye kesi Mahakamani? 2: Je, mtu ambaye sio Wakili anaweza kuandaa, kushuhudia na kusaini nyaraka (documents) za kisheria na...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Hivi aliyeshindwa kusimamia bandari zetu aachishwe kazi au alete mwingine

    ninasikiliza mambo ambayo serikali na chama wanasema juu ya bandari najiuliza mambo mengi lakini kubwa sijui kama hawa watu wanaelewa maana ya kuongoza serikali ni nini yaani umeewa bandari unatuambia bandari inakusanya bilioni 700 na serikali inaata bilioni tatu, sekita binafsi sisi kwa...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kukosa credibility kwa tuliokuwa tunawapa kusimamia bandari yetu destiny yake ndio haya DP

    Kwa muda mrefu watanzania wachache walio pewa dhamana ya kuisimamia bandari yetu kuu ya Dar es salaam walikula bila kunawa, mizigo ya watu ilipotea, enzi za uwaziri wa mwakyembe kontena nzima ya vitenge ilidhibitika kupotea kontena ya mama kutoka zambia, waziri alitoa masaa kontena ikapatikana...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Kwa anayehitaji kijana wa kusimamia nyumba yake au mradi kijana muaminifu yupo.

    UPDATE: kafanikisha
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…