kusimamia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Mbowe jiuzulu umeshindwa kusimamia chama

    1. Mwenyekiti kwa niaba ya wanachama wote tunakusihi ni busara kujiuzulu uongozi kwenye Chama umeshindwa kuongoza chama kwa yanayotokea. 2. Uchaguzi Mkuu ujao 2025 tutaangukia pua tena kama 2020 (Kura kiduchu, Mbunge mmoja, aibu hii tunaipeleka wapi?). 3. Tumia Busara jiuzulu, lopolopo akaimu...
  2. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtu kama huyu anawezaje kusimamia uchaguzi CHADEMA wakapata haki yao?

    Sijui mahakama yetu huwa inashindwaje kuelewa hoja rahisi kama hii? Au kuwa msomi maana yake ni kuwa mtu usiyefuata mantiki? Unaikumbuka ile kesi ya kupinga wakurugenzi kusimamia uchaguzi. Na si unakumbuka kuwa hoja ilikuwa wengi wa wakurugenzi hao ni CCM hivyo hawawezi kutenda haki Kwa vyama...
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Makonda: Moja ya sifa niliyonayo ni kusimamia haki na ukweli, sitashiriki kukandamiza haki ya mtu

    Pia soma: Makonda, Lukuvi pamoja na Kabudi walekea ziarani Ngorongoro Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesisitiza kuwa hatashiriki kukandamiza haki ya mtu mahala popote pale atakapokuwa, huku akikumbusha kuwa nafasi wanazopata viongozi ni upendeleo wa Mungu. Pia soma: Rais Samia Aagiza...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa Kusimamia Maelekezo ya Dkt. Nchimbi, Barabara Inayounganisha Kagera - Kigoma Kukamilika Oktoba, 2024

    BASHUNGWA KUSIMAMIA MAELEKEZO YA DKT. NCHIMBI, BARABARA INAYOUNGANISHA KAGERA - KIGOMA KUKAMILIKA OKTOBA, 2024 Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuhakikishia Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi itahakikisha inasimamia...
  5. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Mhimili mpya kusimamia serikali wazaliwa?

    Wengi tumekua tukielewa kuna mihimili 3 tu, BUNGE, SERIKALI, MAHAKAMA. hivi majuzi waandishi wa habari nao walijinasibu kwamba "UANDISHI WA HABARI" ni mhimili muhimu usio rasmi. ila kwa sasa, hakuna ubishi kwamba, kuna mhimili mpya unaoitwa "WANAHARAKATI", ambao unaisimamia serikali na kuikosoa...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aiagiza Wizara ya Nishati kuongeza nguvu katika kusimamia miradi yote ya nishati

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameiagiza Wizara ya Nishati kuongeza nguvu katika kusimamia miradi yote ya nishati ili ikamilike kwa wakati na hivyo kuwawezesha wananchi kupata nishati ya uhakika. Rais Samia ametoa agizo hilo Agosti 06, 2024 wakati akihitimisha...
  7. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Hatma ya Demokrasia Tanzania: Madhara ya Tamisemi Kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Hatua Muhimu kwa Serikali na Upinzani

    Katika mfumo wa kidemokrasia, uchaguzi huru na wa haki ni kiini cha utawala bora na uwajibikaji. Katika muktadha wa Tanzania, uchaguzi wa serikali za mitaa una nafasi muhimu katika kuwezesha ushiriki wa wananchi katika mchakato wa maamuzi na kusimamia maendeleo katika ngazi za chini. Hata hivyo...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Katimba Awataka Viongozi Halmashauri Kusimamia Miradi ya Elimu kwa Weledi

    NAIBU WAZIRI KATIMBA AWATAKA VIONGOZI HALMASHAURI KUSIMAMIA MIRADI YA ELIMU KWA WELEDI Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Elimu), Mhe. Zainab Katimba amezielekeza halmashauri zote nchini zinazotekeleza miradi ya ujenzi wa shule mpya maalum za wasichana za mkoa kuhakikisha wanaongeza...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Huduma ya kusimamia miradi

    Habari, Nawasalimu, na kujipambanua kwenu kuwa kupitia elimu na weledi wangu katika masuala ya kutoa huduma ya kuandika maandiko au mapendekezo ya miradi, nipo hapa tena kwa huduma jumuishi na ya kimkakati ya kusaidia kusimamia mradi wowote hatua kwa hatua katika nyanja zifuatazo: 1) Monitoring...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais kwa kusimamia 4R kwa vitendo,Watendaji wa chini msomeni Bosi anataka nini,acheni kufanya kazi kwa mazoea

    Mimi binafsi nimekuwa nikikerwa na utendaji kazi wa Nape,Makamba,Makonda na Slaa kwa kushindwa kuzielewa 4R za Rais kwa vitendo. Rais anataka utendaji kama ifuatavyo: 1. utendaji wenye kuzingatia sheria,kanuni,taratibu na miongozo.Mara nyingi hawa vijana wameonekana kukiuka hizi taratibu...
  11. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Dondoo Muhimu Kuhusu Kusimamia Na Kumiliki Hosteli Za Kupangisha Kwa Faida

    Utangulizi. Majengo ya hosteli ni miundombinu iliyoundwa maalum kwa ajili ya kutoa makazi kwa wanafunzi. Majengo haya yanaweza kuwa ndani ya kampasi ya chuo au nje kidogo, lakini karibu na chuo. Kwa ujumla, majengo ya hosteli ni sehemu muhimu ya maisha ya wanafunzi wengi, yanayowapa nafasi ya...
  12. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali ya JMT inatakiwa kuchukuwa hatua madhubuti katka kusimamia rasilimali za taifa hasa kwa kuwekeza kwenye rasilimali watu ambao ndio msingi

    Serikali ya JMT ili kufikia mabadiliko yatakayoleta maendeleo wananchi waliyo na kiu nayo serikali inatakiwa kuwekeza sana kwenye rasilimali watu kuendana na mabadiliko yenye mapinduzi ya tekinolojia katika kutelekeza miradi mbalimbali na kuchagiza ubunifu wa ndani uliosambamba na matakwa ya...
  13. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Kushika Pesa, Kisha Zipotee Ghafla na Watu Wako Wapotee

    Utangulizi Usimamizi wa fedha ni ujuzi muhimu ambao unaweza kuamua utulivu wa kifedha na ubora wa maisha ya mtu. Nukuu, "Ushike hela, halafu zipotee ghafla na watu wako wapotee, ukizishika tena sidhani kama utakua mjinga tena 😄 Yaani watasimuliana namna umekua na roho mbaya," inafafanua kiini...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu kusimamia Kanzidata ya Taarifa za Wakopaji

    Serikali imesema kuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imetoa leseni kwa kampuni mbili za kuchakata taarifa za mikopo, kampuni hizo ni Creditinfo Tanzania Limited na Dun & Bradstreet Credit Bureau Tanzania Limited. Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kitengo Maalum Kuanzishwa Kusimamia Mikopo ya 10%

    KITENGO MAALUM KUANZISHWA KWAAJILI YA KUSIMAMIA MIKOPO YA 10% Naibu Waziri OR-TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Mhe. Zainabu Katimba (Mb) amsema serikali imefanya maandalizi makubwa katika usimami wa mikopo ya 10% kwani imeamua kuanzisha kitengo maalumu cha usimamizi wa Mikopo hiyo kwa ngazi ya...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kama nchi tunakwama wapi kusimamia mabasi ya Mwendokasi?

    Kuna kilio cha wananchi kila kona kuhusu mabasi ya mwendokasi. Mabasi haya yanajaza pasipo mfano. Mabasi hayatoshi. Mabasi mengi yameharibika na yako yadi na hakuna matengenezo. Watu wanachelewa kufika kazini. Kutokana na tatizo hili wananchi wameombaa kuwa daladala isaidie mabasi ya...
  17. Jay_255

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE Nauza mfumo utakaokusaidia kutunza kumbukumbu za mauzo na manunuzi hata kama upo mbali na biashara yako

    FedhaBook: Mfumo wa kusimamia hesabu za biashara yako hata kama upo mbali na biashara yako Okoa muda na kujichosha kupiga mahesabu kwa kichwa na kalamu na daftari na uutumie muda huo kufanya mambo mengine binafsi na ya kimaendelea au ya kifamilia Ni mambo gani unaweza kuyafanya ukiwa na mfumo...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa na Mavunde Wakutana Kuweka Mikakati ya Kusimamia Utekelezaji wa Miradi

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde wamekutana na kujadili namna bora ya kusimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo ikiwa ni pamoja na upatikanaji wa Malighafi za ujenzi wa miundombinu itakayosaidia Makandarasi kukamilisha miradi kwa wakati na ubora...
  19. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Nawaalika Malaika kuja kusimamia Haki katika chaguzi zetu 2024 na 2025

    Salaam, shalom! Nimesikia kauli ya mbunge mmoja akitamka kauli ya hatari mbele ya viongozi wake wa chama na mbele ya umati wa wananchi waliohudhuria mkutano huo wa hadhara. Amesema hadharani kuwa, chaguzi zijazo 2024&2025, hapatakuwa na DEMOKRASIA. Kauli hii Kwa kuwa haikukanushwa na viongozi...
  20. Adam shaha

    JamiiForums Tanzania Njia Bora za Kusimamia Akiba na Uwekezaji

    Kuwekeza kwa mustakabali ni hatua muhimu katika kujenga ustawi wa kifedha na uhakika wa maisha. Kwa kuwa na mbinu sahihi za kusimamia akiba na uwekezaji, mtu anaweza kufikia malengo ya kifedha na kujenga mustakabali wenye uhakika. Hapa tunajadili njia bora za kusimamia akiba na uwekezaji ili...
Back
Top Bottom