Nitafurahi mno nikisikia kuna mabadiliko haya kwani kwangu mimi GENTAMYCINE naona Overall Performance ya Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Wilaya kwa sasa ni below standard (very poor)
Natumai kwakuwa Mteuwaji Mkuu huwa Ananisoma sana GENTAMYCINE na tuko nae hapa JamiiForums tena hii mida ya Saa 10...
Mimi niliwahi kusikia madereva wa malori wanaoenda nchi jirani kuna muda wanasahau kama wapo safarini, kutokana na changamoto mbalimbali za njiani kama mipakani nk
Naskia wamatembea na majiko yao kabisa pia wakiwa na unga, vitunguu, mboga, nyanya yaani wakifika mahali wanashuka wanakaa wanapika...
Ifikie wakati tuache kuona kila anachofanya Raisi ni msaada kwetu na si majukumu yake.
Hizi sifa za uongo zimekuwa nyingi mpaka kuondosha mantiki ya uhalisia wa utendaji wake.
Alichosema Jenerali Ulimwengu
"Mimi inanichosha kusikia sifa za rais kila dakika. Rais ni mtu mwema nadhani. Lakini...
Miezi kadhaa iliyo pita nilianzisha Uzi hapa jukwaani nikielezea "FAIDA"nilizo zipata baada ya kuwahamisha watoto wangu kutoka English Mediums na kuwapeleka kayumba.
U know what? Ilikuwa ni umasikini mkuu. Umasikini mbaya sana. The evil spirit of poverty is very evil. Ndio maana huko...
Ndugu na dada,
Naomba kuuliza kama alarm za hivyo zipo hapa bongo au ni mpaka kuagiza nje.
Kama zipo naomba kuelekezwa namna ya kuzipata and the price.
Yeyote anayezifahamu kindly share. Sio lazima iwe specific kwa mtu asiyesikia ila necessarily ya kuweza kumstua kwa vibration ya kutosha or...
Ilikuwa 2000 hiyo. Nimetoka shule kama kawaida, baada ya kubadilisha tu sare na kupata msosi, nikaelekea kijiweni tulikokuwa tunacheza mpira kukiwakilisha kitaa timu yetu ya mtaa. Hapo tulikuwa na kocha wetu na timu ilikuwa na mchanganyiko wa watu mbalimbali; wavuvi, wa vijiweni tu na siye...
Jana Tanzania imefuzu kwenda AFCON baada ya kutoka suluhu na Algeria.
Imekuwa ni desturi iliyojengeka mitandaoni na vyombo mbalimbali vya redio kuisema vibaya Simba hata pale inapopata matokeo yaliyo katika malengo ya timu. Hili halijaanza msimu huu tu, tukirudi hata msimu uliopita hizi...
Narudia tena ni Udhalilishaji, Upuuzi, Ushenzi, Uchonganishi na Utapeli.
Nimefika mkoa wa Kigoma Tokea Majuzi nilicho Kikuta huku Sielewi Huku ninchi Nyingine au ni Tanzania hii hii !
Kuna kitu kinaitwa KAMCHAPE, hawa wapuuzi nani kawaleta, Hili kweli nani kalipa Baraka kufanyika karibu mkoa...
Kuna wanawake wasiri sana miaka mitatu sikuwahi kusikia,kuona wala kusikia harufu ya mashuzi,
Hata akienda chooni hakuna harufu iliyokuwa ikivuka chumbani iwe hotelini au nyumbani,kumbuka vyumba ni self.
Kivumbi kwa somoe binti wa mwananyamala sitamsahau anaachia mashuzi live kama pikipiki ya...
Maskini ni kama mchawi tu maana hupenda sana habari mbaya.
Tena ukitaka afurahi zaidi asikie kuwa tajiri kafilisika, Boss kashushwa cheo. Hata wenyewe maskini hawapendani hasa pale maskini mmoja akionekana kupata chochote kitu.
Magufuli aliijua hii kanuni, akaanza kuwasumbua matajiri. Mioyo ya...
Haya Maupuuzi yenu mnayoyafanya sasa Kutuvutia Mashabiki wenu (GENTAMYCINE nikiwemo) yatatuingia vyema Mashabiki wenu pale tu tukisia Timu (Simba SC) imesajili Watu (Wachezaji wa Kazi) tupu ili kutupa Raha katika Mashindano yote yajayo kwa Kubeba kila Kombe litakalokuja mbele yetu.
Leo natamani kusikia kutoka kwenu wadada, kuna mambo ambayo sisi wanaume tuna yafanya na yamekuwa kero sana kwenu ila mnashindwa kutuambia.
Leo tupo hapa kusikiliza vitu ambavyo huwa tuna wakera ila hamtu ambiagi kwenye mahusiano.
Nimekuwa nasoma biography ya Malcom X. Huyu mtu alikuwa wa pekee sana. Hapa nataka kuzungumzia hii hotuba yake(The ballot or the Bullet) ukweli sijawahi sikia hotuba yenye nguvu namna hii.
Hotuba nyingi bora huwa za kujifanya tu, wanasiasa wakitumia maneno makubwa, wakiongea wanayotaka watu...
Mimi niliwahi kusikia aliamuru uwanja wa ndege wa KIA ujengwe pale ulipo ili kuzuia madini ya Tanzanite yasichimbwe kwakuwa bado hatukuwa tumeelimika kuhusu madini.
Wewe ulisikia ipi?
Ndugu zangu kwema?
Kama kuna jambo zuri limefanyika sio mbaya tukipongeza. Barabara ya Mwenge kama mwezi hivi umepita kulikuwa na tabia ya magari yanayotoka Tegeta kupendelewa zaidi kwa kuruhusiwa kupita barabara zote.
Soma: Adha ya foleni katika makutano ya barabara ya Mwenge
Pamoja na...
"Changamoto tunayoiona kwenye Redio ni wamiliki wa Redio kuwaajiri watu Wenye followers wengi. Na mazingira ndiyo yametuhamisha. Kwahiyo huyu mtu mwenye 'followers' Mmiliki wa Redio anaona akichukua atamletea watu wengi"
"Ambao hao watu watamletea pesa na yeye kulipa mishahara. Athari ya hili...
Mayele alidhamiria kwenda Kumpiga Mchezaji Muzamir Yasini kabla hajazuiliwa na Mchezaji wa Simba SC Saido Ntibanzonkiza jambo ambalo Kikanuni ni Kosa Kubwa.
Najua kuna Mazuzu ( Majuha ) watamtetea kuwa hakufanya hilo Tukio ila Kisheria siyo lazime mpaka awe ametenda hicho Kitendo ila...
Namuitaga Sheikh Iddi Amini Dada mwamba aliyewatumikisha mpaka wazungu,tulisikia story nyingi mbaya kuhusu yeye za kutunga ili tumchukie.
Je, uliwahi kusikia story gani ya Iddy Amini Dada ikakupa hasira?
Kuna baadhi ya watu wenye bia mbaya na Serikali ya Rais Samia Suluhu walikua makini kusikia suala la ushoga lakini haijawa hivyo Rais Samia Suluhu hawezi kuruhusu huo upuuzi katika nchi yetu nimesikiliza speech kwa makini sana Rais Samia Suluhu amejikita katika kuhakikisha Tanzania inaendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.