Leo natamani kusikia kutoka kwenu wadada

Leo natamani kusikia kutoka kwenu wadada, kuna mambo ambayo sisi wanaume tuna yafanya na yamekuwa kero sana kwenu ila mnashindwa kutuambia.

Leo tupo hapa kusikiliza vitu ambavyo huwa tuna wakera ila hamtu ambiagi kwenye mahusiano.
Badala ya kutaka kujua mambo yanayo wakera wanawake, ingependeza kama ungempa nafasi mpenzi wako, ili ujue yanayomkera juu yao
 
Back
Top Bottom