kushuka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI wanachangia sana kushuka kwa elimu nchini

    Ifike mahali sasa OR-TAMISEMI wapunguziwe majukumu. Kwa kiasi fulani nadhani nao ni sehemu ya kuharibu ubora wa elimu nchini. Najua TAMISEMI wanahusika na TSC, TARURA, DART, Afya, Elimu, etc yani kwa ufupi ni kama wapo kila kona, pamoja na hayo eneo ambalo unaweza kuona wamejikita na wanasikika...
  2. dyuteromaikota

    JamiiForums Tanzania Mbona kama Dualis zinaanza kushuka?

    Kuna habari gani?
  3. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Marumo Gallants wamefikaje nusu fainali CAF? Wako mbioni kushuka daraja

    Picha chini inajieleza, hao Marumo Gallants wako nafasi ya 14 kwenye ligi kuu ya Afrika kusini, in short wanaelekea kushuka daraja. Mtu aniambie, ni lini hapa duniani timu inayoshiriki nusu fainali ya mashindano ya vilabu ya bara husika ikawa kwenye mkia wa ligi kuu ya nchi yake kiasi cha...
  4. Sultan MackJoe Khalifa

    JamiiForums Tanzania Nini kilichosababisha gharama za internet kupanda? Mkongo wa taifa hauna mahusiano na kupanda au kushuka kwa internet?

    Ilikua hivi 👇 1GB+dakika 100+100 SMS = Tsh. 1,000/= 7days. sasa ni 👇 MB 449+dakika 25+50 SMS kwa Tsh. 1,000/= Nilikuwa nikimnnunulia mdogo wangu internet za 10,000 Tsh. = 10GB, kwaajili ya kufatilia masomo youtube na kushiriki mijadala ya masomo kwenye laptop yake zilikua zikimtosha. Ila kwa...
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bei za vitu kushuka Kenya, sisi tunakwama wapi?

    Kufuatia maandamano ya kizalendo Kenya, serikali ya huko, imeamua kushusha bei za vyakula. Upinzani unataka bei ya unga kwa kilo isizidi 2,000/- za kitanzania, vinginevyo wanarudi Tahrir. Bei ya Unga itashuka kuanzia wiki ijayo, Rais Ruto aahidi Hakuna mahali popote Kenya (au kwingine)...
  6. Desierto

    JamiiForums Tanzania Kilichonitokea kituo cha Daraja la Salenda baada ya kushuka kwenye daladala saa nne usiku

    Nakumbuka nikitokea maeneo ya Slipway baada ya boss wangu kunipa laki moja nikatafute samaki, Nikaenda msasani nikakosa hivo nikaona niende feri, nikapanda gari la kwenda Kariakoo tulipokaribia Salender nikamwomba konda anishushe hapo, konda kwa mshtuko, unasema? Nikamwambia tena nishushe...
  7. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Habari njema: Bei ya umeme kushuka kutoka Sh.600/= hadi Sh. 35/= kwa unit moja bwawa la Nyerere likikamilika

    https://www.instagram.com/reel/CxkxrEitPXL/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ== ========================== Itafika mahala tutagundu kwamba haya mafuriko yanayotokea huko mbugani maji yake yana thamani sana, hii ni kwa sababu nguvu ya maporomoka ya hayo maji kuelekea baharini inauwezo wa kuzalisha umeme...
  8. comte

    JamiiForums Tanzania Kushuka kwa bei ya disesel ni matunda ya kuheshimu mwenendo wa soko

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza bei mpya za ukomo wa mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa huku bei ya bidhaa hizo ikipungua ikilinganishwa na mwezi Machi. Italeta ahueni ndivyo unavyoweza kusema, baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji...
  9. Izy_Name

    JamiiForums Tanzania vita ya kushuka daraja premier league

    Wakati Ligi Kuu ya Uingereza inaanza tena mwishoni mwa wiki hii, vita ya kuepuka kushuka daraja inageuka kuwa kama filamu ya kusisimua, huku pointi nne pekee zikiwatofautisha timu tisa za chini. Timu sita kati yao zimebadilisha makocha ili kuepuka janga la kushuka daraja ambalo linaweza...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kitwanga: Bei ya mafuta ilipaswa kushuka ila tunaibiwa na wanaCCM

    Duh
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania DELL kupunguza Wafanyakazi 6,650 baada ya soko la Kompyuta kushuka duniani

    Kampuni ya kuunda Vifaa vya Kielektroniki ya Dell itawaachisha kazi Wafanyakazi 6,650 sawa na 5% ya Wafanyikazi wote kutokana na mauzo ya Kompyuta kupungua kwa 28% kila mwaka. Dell imeripoti kushuka kwa soko la nje la Kompyuta kwa 37% katika kipindi cha mwaka 2022 huku washindani wao, kampuni...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe: Bei za vyakula nchini zitaanza kushuka mwezi Machi 2023

    BEI ZA CHAKULA KUSHUKA MACHI - SERIKALI Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, asema bei za chakula nchini zitaanza kushuka mwezi Machi mwaka huu, huku akitangaza mpango wa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan kuwasaidia wakulima waongeze tija kwenye uzalishaji wa chakula nchini
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Jinsi viwango vya Ufaulu Kidato cha Pili vinavyozidi kushuka

    Idadi hiyo sawa na 14.72% ya waliofanya Mtihani Nov 2022, watalazimika kukariri Masomo ya Kidato cha 2 kutokana na kufanya vibaya kwenye Mtihani wa Upimaji na kupata Daraja 0 (#Division0) Pia, Wanafunzi 372,113 (58.74%) licha ya kufaulu, wamevuka Darasa kwa kupata kiwango cha chini ambacho ni...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Watu tunasherekea utajiri wa Elon Musk kushuka

    Ngebe, nyodo, madharau, majigambo, kiburi, kujiona na kujiinua vimefika ukingoni. Ni chereko na vifijo. Elon Musk (Mwafrika Uchwara) mmiliki wa Tesla, Space X na Twitter utajiri wake umeshuka kutoka dollar billion 230 hadi dollars billion 168 na kujikuta kupoteza nafas ya kwanza utajiri...
  15. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania SI KWELI UKIMWI hausababishwi na HIV, kwamba agenda nzima ni scam na kuwa hakuna kipimo cha kupima HIV bali vilivyopo hupima tu kushuka kwa kinga

    Peace be upon ya' all, Hili swala limezua mjadala wa mda mrefu sana baina ya madaktari wao kwa wao wakivutana kwa hoja kuntu kabisa. Je ni kweli UKIMWI hausababishwi na HIV kwamba agenda nzima ni scam na kuwa hakuna kipimo cha kupima HIV bali vilivyopo hupima tu kushuka kwa kinga?
  16. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa nauli hazijashushwa licha ya mafuta kushuka bei

    Inasikitisha watu wanapanda usafiri kwa nauli zilizopandishwa kipindi cha mafuta kupanda lakini licha ya kushuka bei wao wananchi hawahoji wanapanda huku wamekenua mimeno nje kama malofa.
  17. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta yazidi kushuka

    Vicheko vitaendelea kutawala Oktoba kwa watumiaji wa mafuta kufuatia kushuka kwa bidhaa za mafuta kama mwenendo wa bei ulivyotolewa leo Oktoba 4. Taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) inaonyesha kuwa bei za mafuta kuanzia Oktoba 5 zimeshuka hivyo...
  18. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Top ten ya wasanii ambao ni kama Kagera Sugar FC yaani namba moja hawashiki ila hawajawahi kushuka daraja.

    Wafuatao ni wasanii kumi ambao hawajawahi kuwa namba moja kwenye muziki lakini pia hawajawahi kupotea kabisa kwenye muziki yaani kwenye mpira tunaweza kuwafananisha na Kagera Sugar FC. Kama mjuavyo huwa Kagera haichukui kombe lakini pia haishuki daraja. 1. Ambwene Yesaya (AY) 2. MwanaFA 3...
  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Soko la hisa la Urusi lazidi kushuka na kuvurugika huku vikwazo zaidi vikitazamiwa

    MARKET EXTRA Russian stocks sunk to levels not seen since 2017 on Monday, weighed by a global market selloff, threats of more sanctions and signs of continued unrest after last week’s partial mobilization. MSN
  20. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mayai ya Kuku kutoka nje ya Tanzania, yalisababisha kushuka kwa bei ya Mayai

    Juni 14, 2021 mitandao mbali mbali ya kijamii ilirindima kwa uvumi kuwa kuna mayai ya kuku kutoka nje ya Tanzania ambayo yamefanya mayai nchini yauzwe kwa Tsh. 4000 kwa trei la mayai 30, hali iliyoleta taharuki kwa wafugaji wa kuku nchini.
Back
Top Bottom