DELL kupunguza Wafanyakazi 6,650 baada ya soko la Kompyuta kushuka duniani

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
Kampuni ya kuunda Vifaa vya Kielektroniki ya Dell itawaachisha kazi Wafanyakazi 6,650 sawa na 5% ya Wafanyikazi wote kutokana na mauzo ya Kompyuta kupungua kwa 28% kila mwaka.

Dell imeripoti kushuka kwa soko la nje la Kompyuta kwa 37% katika kipindi cha mwaka 2022 huku washindani wao, kampuni ya Lenovo ikishuka kwa 28%, HP 29% na Apple 2%.

Kufikia Januari 28, 2022, Dell ilikuwa na Wafanyakazi 133,000. Kampuni nyingine za Teknolojia zilizopunguza Wafanyakazi hadi sasa ni PayPal, Twitter, Google, Microsoft, Salesforce, Amazon, META, Adobe, Cisco, HP na Intel.

===============

Dell on Monday announced plans to lay off 5% of its workforce, or about 6,650 employees, according to an SEC filing.

The cuts at Dell come as demand for PCs and laptops has slowed globally. Global shipments of PCs were down 28% year over year in the fourth quarter of 2022, according to industry analysts at IDC. Computer shipments at Dell fell 37% for that same period, while competitors Lenovo, HP and Apple were down 28%, 29% and 2%, respectively.

In a memo to employees, Jeff Clarke, co-chief operating officer at Dell, said the cuts were made in an effort to "stay ahead of downturn impacts." He said the moves Dell had already implemented, like limiting travel, pausing external hiring and reducing outside services spending, were no longer sufficient.

"Unfortunately, with changes like this, some members of our team will be leaving the company," Clarke said. "There is no tougher decision, but one we had to make for our long-term health and success."

As of Jan. 28, 2022, Dell had 133,000 total employees, according to a company filing with the SEC.

In the memo to employees, Clarke said Dell has navigated economic downturns before, and "emerged stronger" as a result.

"We will be ready when the market rebounds," he wrote.

The company's layoff announcement marks the latest round of job cuts in the tech industry, as PayPal
on Tuesday announced plans to cut 2,000 jobs. In January, Google revealed plans to lay off more than 12,000 workers, Microsoft disclosed plans to cut 10,000 employees and Salesforce announced plans to lay off 7,000 workers.

CNBC
 
Juzi nimeangalia kuna kampuni inaitwa Byone,Dere,kingnovy,toposh,ysjmn,Mi-Mijja,Justthink. Hizo ni kampuni chache zinatengeneza kompyuta kwa bei nzuri na high quality.

Asus zen pro dual screen inauzwa milioni 3.8 ila kwenye hizo kampuni inauzwa 1.4.

Lazima utakimbilia huko tena ina specif safi bei kitonga 1.4

dell ikifa basi internet inazima 😂 , hakuna anaetengeneza computer zilizojazwa material kama DELL, ukiingia kwenye website yoyote online chances ni kubwa ni DELL inatumika kuweka hio website online,

pia kwenye upande wa graphics , zipo computer nyingi ila DELL inaendana na video cards aina nyingi zaidi, japo sio the best but you will be served well with a dell
 
kwa nini Apple anauza sana computers zao wakati computers zenyewe hata haziko kikazi kama computers zinazotumia Windows ? 🤔
 
Chazo cha data zako ni kipi? Brand zinazoongoza Kwa mauzo ya laptop/pc Kwa data za 2021/2022 ni
1. Lenovo
2. Hp
3. Dell
Halafu ndio inafuata apple
kwani ni mimi ?

mleta uzi kaandika hv:

Dell imeripoti kushuka kwa soko la nje la Kompyuta kwa 37% katika kipindi cha mwaka 2022 huku washindani wao, kampuni ya Lenovo ikishuka kwa 28%, HP 29% na Apple 2%.

kwa hio katupiga na kitu kizito kichwani ?
 
kwani nj mimi ?

mleta uzi kaandika hv:

Dell imeripoti kushuka kwa soko la nje la Kompyuta kwa 37% katika kipindi cha mwaka 2022 huku washindani wao, kampuni ya Lenovo ikishuka kwa 28%, HP 29% na Apple 2%.

kwa hio katupiga na kitu kizito kichwani ?
Mbona hakuna sehemu aliyosema apple inauzwa Sana?
 
wauzo yamepungua sana kwa kampuni zingine ila Apple yamepungua kidogo it means kwenye mauzo yao ya mwaka yamepungua kidogo ina maana wameuza sana kuliko kampuni zingine.

Kama una watoto 9 darasa lenye watoto 15, halafu ikatokea wanafunzi hao wote wa darasa wameugua surua, wewe ndiye utakuwa na wahanga wengi zaidi tofauti na mwenye watoto 2.

Ndio maana ya maelezo hayo.

Zikiletwa taarifa manunuzi ya simu yashuka kwa 50% dunia, mhanga wa kwanza ni Apple na samsung maana ndio wanauza sana.
 
oya unanichanga ujue ?

sasa hapo si ina maana hao wote ni wahanga wakubwa kuliko Apple ina maana Apple kauza sana kuliko wao ?

au mimi nilikimbja shule ?🤔
 
oya unanichanga ujue ?

sasa hapo si ina maana hao wote ni wahanga wakubwa kuliko Apple ina maana Apple kauza sana kuliko wao ?

au mimi nilikimbja shule ?

Huko kuna kitu kinaitwa market share,yaani bidhaa husika nani nauza zaidi.

Sasa upande wa computer mwenye market share kubwa ni huyo dell,apple ni wa nne kumfuatia.

So chanagamoto yoyote itakayoikumba biashara hiyo,mwenye market share kubwa ndio anapata pigo kubwa zaidi.
 
wauzo yamepungua sana kwa kampuni zingine ila Apple yamepungua kidogo it means kwenye mauzo yao ya mwaka yamepungua kidogo ina maana wameuza sana kuliko kampuni zingine.
Market share ya pc kwa mwaka 2021, Lenovo: 24%, HP: 21%, Dell: 17%, Apple: 8%

Maana yake kama pc 1000 ziliuzwa mwaka 2021 basi kila kampuni itakuwa imeuza idadi ifuatayo.

Lenovo: 240 pcs
HP: 210 PCs
Dell: 170PCs
Apple: 80PCs

Kutelemka kwa mauzo mwaka 2022 kwa mujibu taarifa iliyopo, Lenovo: 28%, Dell: 37%, HP: 29% na Apple: 2%
Baada ya mauzo kushuka idadi ya pc kwa kila kampuni itakuwa kama ifuatavyo
HP: 210 - (210*29%) = 149 PCs
Lenovo: 240 - (240*28%) = 172 PCs
Dell: 170 - (170*37%) = 107 PCs
Apple: 80 - (80 * 2%) = 78 PCs

Kwa hesabu hizo hapo ni kampuni ipi ambayo imeuza PCs nyingi zaidi kwa mwaka 2022? Na ukiulizwa kampuni ipi imeongoza kwa mauza unasema ni apple?
Au definition ya mauzo kwako ikoje?
 
Back
Top Bottom