Nini kilichosababisha gharama za internet kupanda? Mkongo wa taifa hauna mahusiano na kupanda au kushuka kwa internet?

Sultan MackJoe Khalifa

JF-Expert Member
Nov 24, 2022
5,531
11,341
Ilikua hivi 👇
1GB+dakika 100+100 SMS = Tsh. 1,000/= 7days.

sasa ni 👇
MB 449+dakika 25+50 SMS kwa Tsh. 1,000/=

Nilikuwa nikimnnunulia mdogo wangu internet za 10,000 Tsh. = 10GB, kwaajili ya kufatilia masomo youtube na kushiriki mijadala ya masomo kwenye laptop yake zilikua zikimtosha.

Ila kwa sasa 10,000 Tsh. = 5GB analalamika zinaisha haraka na azimtoshi analazimika kukatisha anachokisoma mtandaoni.

Nini kilisababisha kupanda kwa vifurushi vya internet? Vipi kuhusu mkongo wa taifa wa mawasiliano hauna mahusiano ya moja kwa moja ya kupanda au kushuka kwa vifurushi hasa internet?
 
ilikua hivi.
👇
1gb+dakika 100+100 sms=tsh 1,000/= 7days.

sasa ni 👇
mb 449+dakika 25+50 sms kwa tsh 1,000/=

nilikua nikimnnunulia mdogo wangu internet za 10,000tsh= 10 gb,kwaajili ya kufatilia masomo youtube na kushiriki mijadala ya masomo kwenye laptop yake zilikua zikimtosha.

ila kwasasa 10,000tsh=5gb analalamika zinaisha haraka na azimtoshi analazimika kukatisha anachokisoma mtandaoni.

nini kilisababisha kupanda kwa vifurushi vya internet?.
vipi kuhusu mkongo wa taifa wa mawasiliano auna mahusiano ya moja kwa moja ya kupanda au kushuka kwa vifurushi hasa internet?
Seikali ya Mhe.Rais wetu Samia waliangalie hili Kwa kweli.Tanzania Bando la internet imekuwa kama Anasa😭😭😭
 
ilikua hivi.
👇
1gb+dakika 100+100 sms=tsh 1,000/= 7days.

sasa ni 👇
mb 449+dakika 25+50 sms kwa tsh 1,000/=

nilikua nikimnnunulia mdogo wangu internet za 10,000tsh= 10 gb,kwaajili ya kufatilia masomo youtube na kushiriki mijadala ya masomo kwenye laptop yake zilikua zikimtosha.

ila kwasasa 10,000tsh=5gb analalamika zinaisha haraka na azimtoshi analazimika kukatisha anachokisoma mtandaoni.

nini kilisababisha kupanda kwa vifurushi vya internet?.
vipi kuhusu mkongo wa taifa wa mawasiliano auna mahusiano ya moja kwa moja ya kupanda au kushuka kwa vifurushi hasa internet?
Nape sialisema yupo humu ndani ngoja aje akujibu.
 
Samia Samia akishirikiana na Nape na Mwigulu hao ndo wauaji.
 
Tanzania tunaibiwa sana gharama za Internet na wameweka meseji za WhatsApp huwezi kutuma data ikiisha wakati Nchi nyingi kama Kenya,SA data ikiisha huwezi kupiga au kupokea Video call ila sio kutuma au kupokea ujumbe hata wa sauti Bongo wezi sana na Serikali hivyo vitu hata haizingatii kwa Wananchi wake wanapend wawe na Taifa lililolala...wenzetu hadi kwenye matatu chakavu zina WiFi tena kwa gharama ndogo tu vimgahawa navyo hivyo hivyo..
 
La ushuru wa magari wamelikalia kimyaa, la bundles wanajisahaulisha, sasahivi ni mwendo wa kutozwa makodi yasiyo na ulazima wowote, nasubiri tozo za kutoka manyumbani, unatoka tu unakumbana na kodi na ukirudi unakumbana na kodi

Serikali inakusanya kodi kama haina akili, ukitajiwa kodi za mwaka mzima utapigwa butwaa, chukulia mfano mkoa mmoja inatoza mabasi, magari madogo na boda boda na waingia kwa miguu ndani ya stand za mabasi utapata jibu.
 
Back
Top Bottom