kushuka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Daby

    JamiiForums Tanzania Msanii nguli na mzuri anajua wakati wa kushuka stejini.

    Siasa za Tanzania na zile za South Africa zinaufanano kwa mbali hasa kwa vyama vya CHADEMA na EFF. Mosi ni itikadi zao zilizojikita mizizi kwenye harakati za kutetea wanyonge. Pili ni viongozi wa wakuu kukaa madarakani kwa muda mrefu. Tatu ni kuhamahama kwa viongozi waandamizi wa vyama...
  2. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania Kushuka kwa dolla ni hatari kwa uchumi

    Tunaweza kusema Dolla ya Marekani umeshuka thamani lakini pia Shilingi ya Tanzania imeimarika. Katika hali zote, zipo sababu nyuma yake ambazo zimepelekea hali hii. Katika miezi michache nyuma thank ya Dolla ilikua mpaka Tsh2720 kwa Dola Moja. Imekua ikishuka thamani kwa Kasi sana mpaka hii leo...
  3. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Dollar yaanza kushuka kwa kasi

    Baada ya dollar ya Marekani kupanda mfululizo mwaka huu hadi kufika 2750 kutoka 2250 hatimaye wiki hii imeanza kushuka kwa kasi nakufikia muda huu naandika nakala, hii imefikia 2375 huku ikitarajiwa kushuka zaidi siku zijazo. Kulikoni nini kimetokea? Hii ina maana kwa mtu aliyenunua dollar wiki...
  4. econonist

    JamiiForums Tanzania Tanzania tupo kwenye mfumo wa chama kimoja ulioshirikisha vyama vingi

    Ni uongo kusema ya kwamba Tanzania inafuata mfumo wa vyama vingi. Ni kwamba serikali ya Mwinyi ya mwaka 1992 iliruhusu uwepo wa vyama vingi ndani ya mfumo wa chama kimoja. Na hili ndio tatizo, vyama vingi vipo ila mfumo ni wa chama kimoja. Ili mfumo uitwe wa vyama vingi inatakiwa yafuatayo...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ghorofa laendelea kushuka, zoezi la uokoaji lasimama, mwananchi watawanywa

    Mamlaka zimesitisha kwa muda zoezi la uokoaji hapa Kariakoo kutokana na jengo kuzidi kutitia na kuongeza wasiwasi wa kuongezeka kwa maafa. Bado inasadikika kuwa kuna idadi ya watu wengine chini ya kifusi japo baadhi wamekoma kuwasiliana na ndugu waliopo nje.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Je, Allah alikuwepo kabla ya kushuka Quran?

    Wataalamu wa dini na wana historia wabobevu naomba mnisaidie hii mada maana imekuwa ikiniumiza kichwa kwa muda mrefu.Inasemekana uislamu ulikuja enzi za nabii Muhammad na ndio kipindi ambacho ilishushwa qurani. Muhammad katika utoto wake wote mpaka anafikisha miaka 40 hakuwahi kuwa muislamu na...
  7. mr pipa

    JamiiForums Tanzania Ukimkopesha mtu laki tatu kushuka chini wewe tegemea umemsaidia wewe unazani atafanyia nini?

    Huwa nashangaaga sana taasisi, watu binafsi, kausha damu, kwanini umkopeshe mtu hiyo pesa alafu utegemee akulipe hebu vaa viatu vya mkopaji unamkopesha mtu elfu 50 alafu unakaa wiki mbili zikipita unategemea malipo? Ni biashara gani atafanya apate faida akupe hiyo elfu hamsini muwe na huruma...
  8. chiembe

    JamiiForums Tanzania Nani anamfadhili Luhaga Mpina? aweka mawakili 100 kupambana na CCM na serikali, haipungui bilioni moja. Anapinga sukari kushuka kutoka 5000 mpaka 2300

    Mawakili 100, kwa walau shilingi million kumi kwa wakili, ni takribani bilioni moja. Mpina kazitoa wapi? Nani anamfadhili? Na kwa nini anasumbua viongozi na mambo yake, mpaka anawanyima muda wa kutekeleza ilani na kuhudumia wananchi?. Yaani Mpina anachukia watanzania wakinunua sukari kwa bei...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Bei ya Petroli, Dizeli Oktoba sasa kitonga, sababu za kushuka zatajwa

    Bei ya petroli na dizeli ya rejareja kwa Oktoba 2024 imeshuka nchini, ikilinganishwa na Septemba, huku sababu kadhaa zikitajwa, ikiwamo kushuka kwa gharama za soko la Uarabuni. Taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) inaonyesha bei za mafuta kuanzia leo...
  10. Mystery

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan, inatubidi tukueleze wazi kuwa mvuto wako unazidi kushuka hapa nchini na katika Jumuiya za kimataifa

    Nalazimika kukueleza Rais wangu Mpendwa, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, kuwa mvuto wako unazidi kushuka, kadri siku zinavyosonga mbele. Kwa kweli Mimi nilikuwa mmojawapo niliyekuwa nakuunga mkono sana, baada ya wewe kuchukua mikoba ya aliyekuwa Rais wa awamu ya 5, Rais John Magufuli baada ya...
  11. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Kuna gari mbili zimepaki hapa masaa mawili bila watu kushuka

    Nimeongea na mjumbe serekali za mtaaa kumtaarifuu juu ya gari hz ambazo zimepaki bila watu kushuka, nae akasema mpaka awasiliane na mwenyekiti kwanza sasa mwenyekiti hapokei simu Gari ni Nissan cibin na Nissan patrol Je tumchukuwe hatua gani kama raia
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mazda CX5 ya mwaka2014 kushuka chini ndo budget yangu

    Wakuu mfuko wangu unaniruhusu kununua Mazda CX5 yakuanzia mwaka 2014 kushuka chini...msaada wenu nichukue ya specification zipi kuanzia engine,rangi nakila kitu
  13. Bull Striker

    JamiiForums Tanzania Uwezo wa kufanya mapenzi katika Jamii hushuka kila uchwao...

    Jamii sasa imekumbwa na kupungufu uwezo wa kufanya mapenzi. Labda vizazi vyetu havina nguvu wala uwezo huwenda kutokana na sababu mbali mbali. Mfano moja wanawake wawili Kati ya kumi ndo huweza kufika kilele (Mshindo) Wanawake wengi wanafanya mapenzi na hawafiki kileleni. Wanaume wengi...
  14. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Kushuka kwa thamani ya shilingi, zigo lililomshinda Mwigulu kulielezea kiuchumi

    Kulingana na data zilizopo hata mtandaoni, shillingi yetu imeshuka kwa kiwango cha kutisha. REKODI ZIPO HIVI: Mwaka 2020. 1 Dollar -Tshs 2,314.8 Mwaka 2021. 1Dollar -Tshs 2,314.3 Mwaka 2022. 1Dollar- Tshs 2,326.1 Mwaka 2023 1Dollar- Tshs 2,419.6 Mwaka 2024 1Dollar-...
  15. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kwa Million 15 Kushuka chini, naweza kupata Gari kutoka Japan?

    Habari za mishe mishe wakuu. Kila mtu anatamani harufu ya gari kutoka Japan. Tatizo linaweza kuja kwenye budget. Sasa tu-assume tuna maximum budget ya Mil 15 tu, je tunaweza kupata gari kutoka JP? Magari ya Million 15 na kushuka chini 1. Honda Fit (2nd gen, 2007 -2012) Unaweza ukapata hii...
  16. Poker

    JamiiForums Tanzania Hali ya kiuchumi Arusha inazidi kushuka kila uchwao

    Hili jiji la arusha ambalo linasifika kwa utalii na ambalo lina historia nzuri ya kutoa wasanii, waigizaji na watangazaji maarufu, sifa zake kwa nje ni nyingi na nzuri sana. Ila kwa uhalisia ukifika ndani ya jiji hilo ni shida tupu. Biashara ndani ya jiji hilo ni ngumu sana, watu wanafanya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Tumepokea kwa shangwe kushuka kwa utajiri wa Elon Musk na kuwa watatu

    Ebana wanajamvi inakuwaje! Ni chereko, nderemo, shangwe, vifijo na furaha baada bilionea wa Tesla utajiri wake kushuka hadi 198 billion usd na kuwa watatu nyuma ya Bernard Arnault mfaransa na billionaire wa Amazon Jeff Bezos. Ikumbukwe huyu Elon Musk ni mbaguzi na kujifanya Mungu mtu...
  18. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Korea Kusini: Viwango vya Uzazi vyazidi kushuka. Hofu ya kutoweka kwa Taifa yaibuka

    Viwango vya uzazi nchini humo (ambavyo tayari ni vya chini kabisa duniani) vimepungua tena, huku kukiwa na hofu ya "kutoweka kwa taifa", wakati ambao Serikali imekuwa ikitumia Mabilioni ya Dola kujaribu kubadili mwelekeo huu Takwimu zimeonesha kulikuwa na upungufu wa 8% katika Viwango vya Uzazi...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kweli sasa Shilingi yetu inazidi Kushuka thamani yake kama Chama Kimoja Kikongwe cha Siasa kinavyozidi Kushuka thamani Barani Afrika

    Kwa wale tuliosoma au kuishi Uganda miaka ya katikati ya 90 na mwanzoni mwa miaka ya 2000 mtakubaliana nami GENTAMYCINE kuwa tulikuwa tukija Uganda na TSHS 200,000 basi huku tukizibadili tunakuwa Matajiri na Kula sana Bata maeneo ya Club Silk na Ange Noir kwani tulikuwa tunapata UGX 400,000...
  20. Not_James_bond

    JamiiForums Tanzania Kushuka kwa thamani ya Tshs dhidi ya USD tatizo ni nini?

    Thamani ya Ksh inaonekana kuimarika dhidi ya Dollar lakin kwa Tsh inazidi kuporomoka na dollar inazidi kuwa adimu ni jambo gani hawa majiran zetu wanafanya vyema zaidi sisi hatukifanyi?
Back
Top Bottom