kushuka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Naibu waziri: Nchi yetu haijawahi kushuka uchumi wa kati chini ila uchumi wa wananchi ndio umeshuka

    Akijibu swali bungeni leo mheshiwa naibu waziri wa fedha amesema nchi yetu haijawahi kushuka toka uchumi wa kati chini tangu tulipiongia. Kilichotokea ni kushuka kwa ukuaji wa pato la taifa toka 7% hadi 4%. Ila mimi niliwahi kumsikia kiongozi mmoja akisema tulifika uchumi wa kati ila wenye...
  2. BigTall

    JamiiForums Tanzania Bondia Hassan Mwakinyo azidi kushuka viwango vya ubora wa ndondi

    Mambo yanazidi kumuendea kombo bondia Hassan Mwakinyo baada ya kuporomka kwa mara nyingine kwenye ubora. Wiki iliyopita bondia huyo namba moja nchini aliporomoka kwa nafasi 16, kutoka ya 17 hadi 33 duniani kwenye uzani wake wa super welter. Jana ameporomoka tena kwa nafasi mbili hadi nafasi ya...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Licha ya mafuta kushuka bei, LATRA yasema hakuna mpango wa kushusha nauli

    Baada ya bei ya mafuta ya Petroli, Dizeli kushuka, Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imesema hawana mpango wa kushusha nauli kwa sababu uendeshwaji wa vyombo vya usafiri hautegemei gharama za mafuta pekee. Mkurugenzi Mkuu wa LATRA, Gilliard Ngewe amesema gharama za mafuta...
  4. JF Member

    JamiiForums Tanzania Bei ya Mafuta kushuka kwa Shilingi 29, Mnaelewaje hapa?

    Hii hapa ni summary ya hotuba ya Waziri kuhusu Mafuta. Mnaonaje? Mnaielewa ama tumechezewa tu?
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ubadhirifu watajwa kushuka kitaaluma Shule za CCM

    Jumuiya ya Wazazi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) imesema moja ya mambo yaliyosababisha shule inazozimiliki kushuka kitaaluma na baadhi yake kuwa katika hatari ya kufungwa, ni ubadhirifu uliofanywva na baadhi ya viongozi wasiokuwa waaminifu. Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo, Gilbert Kalima amebainisha...
  6. OLS

    JamiiForums Tanzania CAG amesema deni la Taifa limepanda kwa 13.7% kutokana na kushuka kwa thamani ya shilingi

    Naendelea kuipitia ripoti ya CAG ambayo imesema deni la Taifa limeongezeka kwa 13.7% kwa mwaka wa fedha 2020/21 ambapo mwaka uliotanguliailiongezeka kwa 7% ongezeko limetajwa ni kwa sababu ya kushuka kwa thamani ya shilingi. Deni la nje ndio limekuwa kwa kasi kuliko deni la ndani ambapo deni la...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Thamani ya pesa

    DEFLATION Hiki ni kipindi ambacho bei za bidhaa hushuka, na hufanya thamani ya pesa kuongezeka. Hapa ndio unajikuta ukienda sokoni na 10,000 unanunua mahitaji yote ya week na change inabaki. Chanzo cha kushuka kwa bei. 1.Economies of scale. Kampuni ikiweza kuzalisha bidhaa nyingi na...
  8. Rangooo

    JamiiForums Tanzania Kushuka kwa influence ya Marekani kwenye muziki mzuri pamoja na movie

    Habari wana JF.. katika kipindi cha hivi karibuni kama miaka 5 au 6 nyuma kwa wale wafatiliaji wa entertainment hizi mbili muhimu kwa nchi ya marekani nazungumzia muziki na movie wamenotice kua kuna upungufu kidogo kwenye influence ya hivi vitu kwa sasa. Kwanini???? TUKIANZA NA MUZIKI, Baada...
  9. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Dunia ya kwanza(USA) F shuleni Finaanzia 59 kushuka chini, sisi F inaanzia 29 kushuka chini

    kwakweli hili suala linafikirisha sana. Marekani high school alama F inaanzia 59 kushuka ambayo huku ni C ya kibabe sana. Huku F inaanzia 29, yaani mtu akipata 30 kafaulu. hata logic inakataa, mtu aliyepata chini ya nusu anakuwaje kapata!!? Nafikiri ubora wa wasomi wetu unaanzia hapa.
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Kiwango cha Demokrasia kinaendelea kushuka Duniani

    Ripoti ya kila mwaka ya Faharasi ya demokrasia iliyopishwa na shirika la Economist imeonyesha kuwa demokrasia iliendelea kushuka katika mwaka wa 2021. Ripoti hiyo imesema kuwa kwa mwaka uliopita asilimia 45.7 ya watu ulimwenguni waliishi katika aina fulani ya demokrasia, ikiwa ni kiasi cha...
Back
Top Bottom