Mtibwa Sugar inapanda kushuka

Mtibwa Sugar inapanda kushuka

Mpira wa bongo unaniacha hoi, kuna hao Tanzania Prisons huwa wananifurahisha sana.. Wao karibu kila msimu wanaboronga ili wacheze playoff wamkande wa championship then wabaki ligi kuu... This time around playoff amebaki na homeboy wake mbeya city.. Halafu nimekuja ku-note Tanzania Prisons amecheza ligi kuu muda mrefu zaidi bila kushuka... Ni simba na Yanga tu ndo amewakuta.
 
Sahihi kabisa, wajikite kusajili vizuri na kutoa maslahi mazuri kwa wachezaji ili waweze kubakisha baadhi ya talent na waweze kucompete kiushindani lasivyo watakuwa wanapanda na kushuka kila siku
Mtibwa ni miongoni mwa vilabu ninavyvioenda na kushaka kwake kimeniuma mono. Miaka ya nyuma walikuwa wanaibua wachezaji wakubwa mno hapa nchini.
 
Mtibwa ni miongoni mwa vilabu ninavyvioenda na kushaka kwake kimeniuma mono. Miaka ya nyuma walikuwa wanaibua wachezaji wakubwa mno hapa nchini.
Kabisa mkuu kina Mbwana Samatta, Kassim Issa, Shaban Nditi, Henry Joseph, Abdulhalim Humoud, Kelvin Sabato, Ladack Chasambi na wengineo wameibuliwa hapa imetoa vipaji kweli kweli
 
Shida ya mtibwa ipo kwenye uongozi, general manager hana muda nayo
 
Kabisa mkuu kina Mbwana Samatta, Kassim Issa, Shaban Nditi, Henry Joseph, Abdulhalim Humoud, Kelvin Sabato, Ladack Chasambi na wengineo wameibuliwa hapa imetoa vipaji kweli kweli
Ile mtibwa iliyotwaa ubingwa wa Tanzania mara mbili mfululizo chini ya kocha Shungwa ilikuwa noma sana.
 
Kuna muda utafika watapotelea huko champions league, waache waendelee na utani wao
 
Back
Top Bottom