stan john Member Joined Feb 17, 2022 Posts 86 Reaction score 92 Jun 22, 2025 #1 Habari, Bei ya Michele ipoke uko kyela ,mbalali,morogoro ,Michele unaanza kushuka Bei lini
Mayu JF-Expert Member Joined May 11, 2010 Posts 8,573 Reaction score 14,175 Jun 22, 2025 #2 Huu ndio msimu wenyewe wa kuvuna kwa mvua za masika
KINAMBUA MDONKOLO JF-Expert Member Joined Apr 18, 2018 Posts 1,181 Reaction score 1,694 Jun 25, 2025 #3 Mchele hauta shuka bei zaidi ni utapanda zaidi bei.
U Umsolopagaasi JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 940 Reaction score 975 Jun 25, 2025 #4 Write your reply...kyela tangu lini wakawa na mchele wa kuuza nje ya kyela? Mmekariri
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 16,409 Reaction score 42,397 Jun 25, 2025 #5 Mwandishi wa Uzi ni fomfoo felia.
M Magezi bugaga JF-Expert Member Joined Jul 7, 2021 Posts 1,657 Reaction score 2,143 Jun 27, 2025 #6 Mwaka huu ni mgumu sana aisee chenye bei ndogo ni kiazi tu
feisar wa moro JF-Expert Member Joined Mar 17, 2020 Posts 371 Reaction score 865 Jul 1, 2025 #7 Hautashuka bei maeneo mengi watu wamekosa mpunga!