kushindana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Augustine kuwa Ghana haijaweza Kushindana Kindumba na Kwao Max huko Gongo DR

    Yaani utoke tu huko Kwenu Ghana ghafla utake kuja Kuvunja Ufalme wa Mtoto wa Kikongo ambaye Mganga wake wa Kienyeji kamwambia mpaka Boksa na Chupi yake ikiwezekana nazo awe Anazichomekea vile vile. Na wa upande wa Pili nasi tumemsaidia Mkongo kupiga huo Msumari wa Moto na hapo bado hadi arejee...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Sina Uongozi thabiti, Kocha mahiri na Kikosi cha Kushindana kweli Kimataifa period

    Asante kwa Jini letu Kumchanganya Beki ili aone kuwa anaokoa kumbe anajifunga Mwenyewe vinginevyo leo ilikuwa ni 'Kuchapana Bakora na Kutimuana Day' tu na hakika tungeumizana Mbagala.
  3. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Ni utoto, ujinga, ushamba na ulimbukeni kwa vijana kushindana kukimbiza magari ovyo ovyo mitaani

    Kuna mtindo wa kitoto, kijinga, kishamba na ulimbukeni unaokuwa kwa kasi miongoni mwa vijana wa sasa kujivunia kukimbiza magari ovyo ovyo mitaani, yaani kuanzisha ligi na mtu yoyote wanayemkuta barabarani hususani safarini maeneo ya high way, akiwa anaendesha gari yake, basi ghafla hupambana...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ndugulile: Nilikuwa na wakati mgumu kushindana na Makonda Kigamboni

    "Niseme Tu kwamba uchaguzi wowote si uchaguzi mwepesi lakini Sisi kama wanasiasa mara nyingi tunafanya tathimini zako unaangalia endapo utagombea mapokeo ya wananchi yatakuwaje? Mwaka 2020 uchaguzi ulikuwa mgumu (ulikuwa na ugumu wake) ikiwemo mazingira ambayo yalitokea matokeo ya uchaguzi Mkuu...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tunaposema upinzani utapata tabu sana kushindana na kuishinda CCM kwa nusu karne ijayo tunamaanisha haya

    Kufuatia mabadiliko makubwa yaliyofanywa CCM na Mwenyekiti wa tano wa CCM na ambayo yanaendelea kufanywa na Mwenyekiti wa Sasa wa CCM, sioni kabisa wa kuweza kuishinda CCM iwe ni chama na mgombea binafsi kama utaratibu huo ukiruhusiwa na kuanza kutumika kwa nusu Karne ijayo kuanzia 2025 mpaka...
  6. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Kwanini kila mtu anataka kushindana na Diamond Platnumz?

    Wasanii wote wanalilia kushindana/kushindanishwa na Diamond. Tangu enzi za kina Marlaw na Belli 9 mpaka sasa madogo kina Chino wanaman Konde Boy. Bila kusahau Ali Kiba. Je, kuna manufaa yoyote wakipambanishwa na Diamond? Kwa nini hawataki kushindana wao kwa wao au kushindana na Ali Kiba wote...
  7. V

    JamiiForums Tanzania Mkataba hauifungi DP World isiwekeze Congo na Rwanda. Waliizunguka Djibouti mizigo ya Ethiopia na Somalia ikawa kesi

    Associated Press Djibouti walicheza ngoma bandarini siku ya kwanza. Leo Djibouti wanalia machozi, DP World wamefukuzwa, Djibouti wanasema wameibiwa, wamelipa madola ya mafaini na magharama ya kesi za kimataifa. Hukumu ya siku za karibuni ilitoka mwezi May 2023 Washington DC. Kesi mahakamani...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania META yazindua 'App' nyingine kwaajili ya kushindana na Twitter

    Mkurugenzi Mkuu wa META, Mark Zuckerberg amesema japo itachukua muda kidogo kuifikia Twitter lakini Mtandao huo uliopewa jina la 'Threads' unalenga kuhudumia zaidi ya Watu Bilioni 1. META imeeleza kuwa 'Threads' haitopatikana kwenye Nchi za Umoja wa Ulaya kwa sasa, itaruhusu Mtumiaji kuchapisha...
  9. HPAUL

    JamiiForums Tanzania Simba hatuna timu ya kushindana na Yanga msimu huu

    Nawashauri Simba wenzagu, kwenye dirisha dogo tusajili wachezaji watakaotusaidia zaidi katika kombe CAF club championship, NBC kwa vyovyote we can't compete with Yanga labda Azam Confederation. Mnakaribishwa kuchangia hoja.
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mnyonyaji 'Panjuani Kibyongo' anatudanganya kaweka 20B halafu tunasajili akina Kapama na Okwa na tunataka kushindana na watu makini kama Yanga SC?

    Ismail Aden Rage (boss wa zamani) Simba SC aliona mbali sana, na alipatia mno kutuita wana Simba SC (GENTAMYCINE) nikiwemo mimbumbumbu (mipan'gang'a), kwani tunastahili kuitwa hivyo. Hivi kweli mtu aweke Msimbazi 20B ndiyo tusajili takataka na mizigo akina Kapama na Okwa? Yaani 20B iwekwe...
  11. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Siasa ni kushindana kwa hoja sio kufokeana wala kupigana wajameni

    Katika suala ambalo napenda kuwaasa watanzania wenzangu. Siasa ni mchezo kama michezo mingine. Tushindane kwa hoja sio kutishana wala kuwekeana maneno ya ugomvi. Tujibizane kwa hoja ndio siasa. Mimi ni kijana mdogo tu japo sijafanikiwa kuingia kwenye mfumo wa serikali. Ila natambua siasa sio...
  12. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Mtumishi Serikalini kushiriki mashindano ya ku-rap ni sawa?

    Nina rafiki ambae ni mtumishi wa umma katika shirika mojawapo kubwa tu, hivi sasa kuna mashindano ya freestyle ya kurap yanaendelea na yeye ni mshiriki. Kuhusu kipaji anacho cha kuchana mistari na anavutia hadhara pale anaposhika kipaza akianza kurap , ubaya ni kwamba kwenye hizi freestyle...
  13. Jerlamarel

    JamiiForums Tanzania Kumbe tozo zililetwa ili kushindana mapato wanayopata mitandao ya simu na mabenki?

    Hebu tuzitafakari hizi kauli mfu za Naibu Spika: Ukizifikiria hizi kauli za Naibu Spika, utagundua ni kama serikali inaona gere kwa mapato wanayopata makampuni ya simu na mabenki kwenye miamala tunayoifanya wananchi. Na ndiyo maana mara ya kwanza kabisa tozo zilipoletwa mwaka jana zilikuwa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mabadiliko ya mfumo wa elimu ili kijana wa Tanzania aweze kushindana katika soko la ajira kitaifa na kimataifa

    nipende kuchukua fursa hii kuipongeza sana serikali ya Tanzania KATIKA jitihadaa zake za kuhakikisha kila Mtanzania anapata elimu angalau ya sekondari ili kufukuza ujinga ,hii Ni baada ya kuifanya ELIMU ya msingi na sekondari kuwa bure, lakini ELIMU ya Tanzania bado haijafanikiwa kumkomboa...
  15. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Mkinga sio mtu wa kushindana nae kwenye Biashara!

    Mkinga anaweza kuanza biashara ya kuuza maji ya kandoro tu, mtaji elfu 15. Baada ya Mwaka unakuta anamiliki kiwanda cha Maji Huko Boko mtaji milioni 50😂😂😅😅😅 Usiniulize kafikaje huko, hawa watu wana miujiza sana kwenye biashara na kamwe hawatoi siri
  16. BigTall

    JamiiForums Tanzania Emmanuel Macron, Marine Le Pen kushindana raundi ya pili kuwania Urais wa Ufaransa

    Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron ameongoza kwenye duru ya kwanza ya uchaguzi, akimshinda kwa tofauti kubwa kuliko ilivyotarajiwa mpinzani wake, Marine Le Pen na hivyo watakutana katika duru ya pili kati ya wawili hao baadaye mwezi huu. Matarajio yalionyesha Macron atashinda kwa kati ya...
  17. karv

    JamiiForums Tanzania Mkishindwa kushindana, muungane

    Katika siku ambayo Dauda ameongea maneno ya hekima na busara basi ni jana YANGA kuna haja kubwa ya kujifunga kutoka kwa watani zenu "Kuna wakati wengine wakae na Viongozi wa Simba mnajadiliana tu kuwa imewezekana vipi kuwa na mwendelezo kwa misimu mitano, ipi siri! Nanyi mnajifunza Real Madrid...
  18. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Humprey Polepole na Genge lako mtakwama sana, hamuwezi kushindana na dola.

    Kuna sababu nyingi sana za kuwaambia kua mtakwama sana kukivuruga chama na serikali, sababu kuu ni hizi; 1.Ninyi ni wageni kwenye chama hamjui historia na itikadi za chama nyie. 2.Mmejaa visasi na roho mbaya 3.Dola ni kubwa kuliko kikundi chenu 4.Chama ni kikubwa kuliko nyie 5.Kuna wakati ni...
  19. James Martin

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ni bora uwe mpole tu uendelee na mambo yako lakini ukitaka kushindana na shemeji yako utaumbuka

    Habari wana Jamìi Forum popote mlipo. Nilitaka tu kumpa ushauri wa bure Askofu Gwajima kwasababu naona huko anakoelekea atakuja kujuta. Nilianza kuona viashiria tangu wiki za nyuma baada ya watu mbalimbali kuanza kumuongelea Askofu kuhusu chanjo ya Uviko. Sasa nasikia waziri wa afya, Dk...
  20. Rama N Ally

    JamiiForums Tanzania Ni muhimu kushindana kwa hoja katika kuidai au kuipinga Katiba Mpya

    Wanaotaka katiba mpya na wasioitaka wote ni watanzania. Katiba mpya siyo chokochoko wala chanzo Cha uhasama, isiwe chanzo cha machafuko au kupeana majina mabaya kama ya usaliti, adui wa maendeleo, kutumika na ubeberu, udikteta , n.k. Hoja za pande zote ziheshimiwe na kuwekwa mezani. Ni muhimu...
Back
Top Bottom