Kwanini kila mtu anataka kushindana na Diamond Platnumz?

sonofobia

JF-Expert Member
Jun 21, 2015
384
2,525
Wasanii wote wanalilia kushindana/kushindanishwa na Diamond. Tangu enzi za kina Marlaw na Belli 9 mpaka sasa madogo kina Chino wanaman Konde Boy. Bila kusahau Ali Kiba.

Je, kuna manufaa yoyote wakipambanishwa na Diamond? Kwa nini hawataki kushindana wao kwa wao au kushindana na Ali Kiba wote focus yao ni Diamond? Thread tayari
 
Mwaka gani
2008 kuja 2010 kipindi hicho Diamond yupo K/Koo anasema yeye ni MB Dogg kila watu wakimuuliza anajiita MB Dogg kipindi hicho anaimba nyimbo za MB Dogg na hajatoa nyimbo hata 1

Jambo hili amewahi kulisema mwenyewe redioni redio session ya Clouds akiwa anahojiwa maana wazee wakubisha hawakosekani hamtaki muulizeni Mzee wa Kudere
 
Wasanii wote wanalilia kushindana/kushindanishwa na Diamond. Tangu enzi za kina Marlaw na Belli 9 mpaka sasa madogo kina Chino wanaman Konde Boy. Bila kusahau Ali Kiba.

Je, kuna manufaa yoyote wakipambanishwa na Diamond? Kwa nini hawataki kushindana wao kwa wao au kushindana na Ali Kiba wote focus yao ni Diamond? Thread tayari
Diamond ni SI unit...
 
Back
Top Bottom