Tunaposema upinzani utapata tabu sana kushindana na kuishinda CCM kwa nusu karne ijayo tunamaanisha haya

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
2,590
4,603
Kufuatia mabadiliko makubwa yaliyofanywa CCM na Mwenyekiti wa tano wa CCM na ambayo yanaendelea kufanywa na Mwenyekiti wa Sasa wa CCM, sioni kabisa wa kuweza kuishinda CCM iwe ni chama na mgombea binafsi kama utaratibu huo ukiruhusiwa na kuanza kutumika kwa nusu Karne ijayo kuanzia 2025 mpaka 2075.

Mabadiliko yaliyofanywa na yanayofanywa yanabaki na yatabaki kuwa msingi mkubwa wa uongozi na siasa za CCM kwa miaka mingi ijayo ikizingatiwa kwamba ni mabadiliko chanya pia katika siasa za Tanzania.

Kwanza, tutakubaliana kwamba upinzani ulipata nguvu maradufu kuelekea 2015 na taratibu ukaanza kudhoofika kuelekea 2020 na kuelekea 2025 upinzani unaweza kubaki jina tu. Ni kwa sababu umaarufu wa upinzani sio wao bali ulitokana na CCM.

Kuelekea 2015, baadhi ya wanachama walijijengea na kujitengeneza Umaarufu mkubwa ndani ya CCM ambayo kimsingi ungeweza kuhatarisha uwepo wa CCM kama usingeweza kudhibitika lakini Kwa Sasa sioni wanachama maarufu ndani ya CCM Zaidi ya Mwenyekiti na CCM yenyewe.

Hawa watu maarufu ndani ya CCM walijiona wamekuwa wakubwa kuliko CCM na ndio maana tukaona yaliyotokea kuanzia mwaka 1995 wakati wa Hayati Mrema, mwaka 2015 wakati wa Mzee Lowassa na 2020 wakati wa Hayati Membe na Upinzani ukatumia karata za wanasiasa hao kujieneza na kujiona wanaweza kushindana na CCM na wakashinda.

Kwa sasa, sioni mwanachama au wanachama ndani ya CCM wanaoonekana wana nguvu sawa na chama hivyo yale yaliyojitokeza miaka niliyoitaja hapo juu hayatajitikeza tena na ndio maana nikasema upinzani hautaweza kushindana na CCM kwa nusu Karne ijayo kwa sababu hakutakuwa na wanachama wa kuwavizia kutoka CCM ili kuwapatia Umaarufu.

Kwa Sasa, mtazamo wa wanaCCM kwa CCM ni mtazamo wa mimi na CCM na sio mtazamo wa sisi na CCM. Kila mwanaCCM anasimama yeye kama yeye na nafasi yake inahesabika ni Moja tu ndani ya Chama hata kama likitokea kama lililotokea 2015 la mgombea kuhama chama basi hakutakuwa na kuhama na wanachama bali ni kuhama mwenyewe.

Haya ni matokeo ya mabadiliko makubwa yaliyofanywa CCM na Mwenyekiti wa tano na ambayo yanaendelea kufanywa katika awamu ya Ndg. Samia Suluhu Hassan, Mwenyekiti wa CCM wa sasa.

Kwa sasa, kuna heshima na ufahari mkubwa kwa wanaCCM kuwepo CCM kuliko kutangatanga. Kuna siku tulikuwa na mazungumzo na wanaCCM na wananchi huko vijijini wakasema, nanukuu "CCM ni fahari yetu, sisi ndio tunaipambania iendelee kuwepo na tunafanya hivyo Kwa ajili ya Tanzania".

Bila CCM kuwa imara inakuwa ni fursa kwa upinzani lakini kwa sababu fursa hii haipo tena basi ndio wanakosa fursa ya kushika Dola. Ndio maana kama unafuatilia mikutano ya upinzani huwezi kuona wana CCM wakirudisha kadi za CCM na kuchukua za Upinzani, hii inamaanisha kwamba bado ni wamoja.

Kwa sasa, CCM ina sababu ya kushinda na itafanya Kila inachoweza kushinda na ushindi wa CCM ni ushindi wa Tanzania. Kuna mengi makubwa na mazuri inataka kuendelea kuifanyia Tanzania na hio sababu kubwa ya kushinda kwa sababu CCM ina sababu za kushinda na ni lazima ishinde basi upinzani wanatakiwa kuja na sababu kwanini CCM hawatakiwi kushinda na sababu hizo ziweze kunishawishi moja kwa moja.

Huu ni ukweli mchungu ambayo hatuna budi kukubaliana nao ili Tanzania isonge mbele.
 
Kumiliki akili ni kazi ngumu Sana.
 
Ningeshangaa sana kukosa kuona likes ya le kamarada luka del mwamsh.. Kwenye huu uzi
 
Hivi unajua kuwa Tz hakuna hiyo kitu ya vyama vya siasa mbadala wa CCM? ni vikundi tu vya kula good time
 
Nchi ina watu wenda wana pesa ,ila upumbavu umewajaa, bado hufikili kesho ni kama jana, endeleeni na mazalau ,mda ni mwalim
 
Huu ni uchambuzi wa kijinga Sana, upinzani hautegemei rejects za CCM, Lipumba, Slaa, More, Lisu,wanatosha, CCM hawajawahi kushinda uchaguzi baada ya Mkapa,
Uchaguzi uliopita hakuna record JPM na samia walipata Kira ngapi kila kituo,
CCM ni majizi tu,
 
Hao unaowaita reject za CCM ndio waliofanya upinzani ukue, tukianza na Hayati Mrema, Hayati Seif ,Mzee Lowassa na wengineo bila hao heshima waliyonayo isingekuwepo hivi
 
Kufuatia mabadiliko makubwa yaliyofanywa CCM na Mwenyekiti wa tano wa CCM na ambayo yanaendelea kufanywa na Mwenyekiti wa Sasa wa CCM, sioni kabisa wa kuweza kuishinda CCM iwe ni chama na mgombea binafsi kama utaratibu huo ukiruhusiwa na kuanza kutumika kwa nusu Karne ijayo kuanzia 2025 mpaka 2075.

Mabadiliko yaliyofanywa na yanayofanywa yanabaki na yatabaki kuwa msingi mkubwa wa uongozi na siasa za CCM kwa miaka mingi ijayo ikizingatiwa kwamba ni mabadiliko chanya pia katika siasa za Tanzania.

Kwanza, tutakubaliana kwamba upinzani ulipata nguvu maradufu kuelekea 2015 na taratibu ukaanza kudhoofika kuelekea 2020 na kuelekea 2025 upinzani unaweza kubaki jina tu. Ni kwa sababu umaarufu wa upinzani sio wao bali ulitokana na CCM.

Kuelekea 2015, baadhi ya wanachama walijijengea na kujitengeneza Umaarufu mkubwa ndani ya CCM ambayo kimsingi ungeweza kuhatarisha uwepo wa CCM kama usingeweza kudhibitika lakini Kwa Sasa sioni wanachama maarufu ndani ya CCM Zaidi ya Mwenyekiti na CCM yenyewe.

Hawa watu maarufu ndani ya CCM walijiona wamekuwa wakubwa kuliko CCM na ndio maana tukaona yaliyotokea kuanzia mwaka 1995 wakati wa Hayati Mrema, mwaka 2015 wakati wa Mzee Lowassa na 2020 wakati wa Hayati Membe na Upinzani ukatumia karata za wanasiasa hao kujieneza na kujiona wanaweza kushindana na CCM na wakashinda.

Kwa sasa, sioni mwanachama au wanachama ndani ya CCM wanaoonekana wana nguvu sawa na chama hivyo yale yaliyojitokeza miaka niliyoitaja hapo juu hayatajitikeza tena na ndio maana nikasema upinzani hautaweza kushindana na CCM kwa nusu Karne ijayo kwa sababu hakutakuwa na wanachama wa kuwavizia kutoka CCM ili kuwapatia Umaarufu.

Kwa Sasa, mtazamo wa wanaCCM kwa CCM ni mtazamo wa mimi na CCM na sio mtazamo wa sisi na CCM. Kila mwanaCCM anasimama yeye kama yeye na nafasi yake inahesabika ni Moja tu ndani ya Chama hata kama likitokea kama lililotokea 2015 la mgombea kuhama chama basi hakutakuwa na kuhama na wanachama bali ni kuhama mwenyewe.

Haya ni matokeo ya mabadiliko makubwa yaliyofanywa CCM na Mwenyekiti wa tano na ambayo yanaendelea kufanywa katika awamu ya Ndg. Samia Suluhu Hassan, Mwenyekiti wa CCM wa sasa.

Kwa sasa, kuna heshima na ufahari mkubwa kwa wanaCCM kuwepo CCM kuliko kutangatanga. Kuna siku tulikuwa na mazungumzo na wanaCCM na wananchi huko vijijini wakasema, nanukuu "CCM ni fahari yetu, sisi ndio tunaipambania iendelee kuwepo na tunafanya hivyo Kwa ajili ya Tanzania".

Bila CCM kuwa imara inakuwa ni fursa kwa upinzani lakini kwa sababu fursa hii haipo tena basi ndio wanakosa fursa ya kushika Dola. Ndio maana kama unafuatilia mikutano ya upinzani huwezi kuona wana CCM wakirudisha kadi za CCM na kuchukua za Upinzani, hii inamaanisha kwamba bado ni wamoja.

Kwa sasa, CCM ina sababu ya kushinda na itafanya Kila inachoweza kushinda na ushindi wa CCM ni ushindi wa Tanzania. Kuna mengi makubwa na mazuri inataka kuendelea kuifanyia Tanzania na hio sababu kubwa ya kushinda kwa sababu CCM ina sababu za kushinda na ni lazima ishinde basi upinzani wanatakiwa kuja na sababu kwanini CCM hawatakiwi kushinda na sababu hizo ziweze kunishawishi moja kwa moja.

Huu ni ukweli mchungu ambayo hatuna budi kukubaliana nao ili Tanzania isonge mbele.
kichwa kisicho na akili ni mzigo kwa shingo.
 
Back
Top Bottom