Ndugulile: Nilikuwa na wakati mgumu kushindana na Makonda Kigamboni

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
1694631004759.png

"Niseme Tu kwamba uchaguzi wowote si uchaguzi mwepesi lakini Sisi kama wanasiasa mara nyingi tunafanya tathimini zako unaangalia endapo utagombea mapokeo ya wananchi yatakuwaje?

Mwaka 2020 uchaguzi ulikuwa mgumu (ulikuwa na ugumu wake) ikiwemo mazingira ambayo yalitokea matokeo ya uchaguzi Mkuu lakini pia na aina ya wagombea ambao tulikuwa tunakwenda kushindana nao. Kama utakumbuka 2020 nilikuwa Naibu Waziri wa Afya lakini nilitenguliwa mwezi Mmoja kabla ya Bunge kuvunjwa na Miezi miwili kabla ya kuelekea uchaguzi Mkuu. Ilileta changamoto kidogo.

Lakini pia nilikuwa nashindana na aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda nayo pia ilikuwa na changamoto zake kwa sababu wakati tulipokuwa tunaelekea kwenye michakato ile alikuwa akivaa kofia zote mbili za ukuu wa Mkoa na Mgombea nafasi ya ubunge. Ilileta changamoto.

Sambamba na hilo siku Mbili kabla ya uchaguzi nilimpotezea Mzee wangu (Baba Yangu). Nilipitia mapito magumu. Nawashukuru Sana wananchi wa Kigamboni Imani yao ilikuwa kubwa Sana kwangu" Dkt Faustine Ndugulile @Faustine_ndugulile, Mbunge wa Jimbo la Kigamboni.
 
Mbona sasa? Kwakua bado MIAKA 2 uchaguzi. Naona unahitaji huruma ya wananchi (Kigamboni?)
 
View attachment 2748393

"Niseme Tu kwamba uchaguzi wowote si uchaguzi mwepesi lakini Sisi kama wanasiasa mara nyingi tunafanya tathimini zako unaangalia endapo utagombea mapokeo ya wananchi yatakuwaje?

Mwaka 2020 uchaguzi ulikuwa mgumu (ulikuwa na ugumu wake) ikiwemo mazingira ambayo yalitokea matokeo ya uchaguzi Mkuu lakini pia na aina ya wagombea ambao tulikuwa tunakwenda kushindana nao. Kama utakumbuka 2020 nilikuwa Naibu Waziri wa Afya lakini nilitenguliwa mwezi Mmoja kabla ya Bunge kuvunjwa na Miezi miwili kabla ya kuelekea uchaguzi Mkuu. Ilileta changamoto kidogo.

Lakini pia nilikuwa nashindana na aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda nayo pia ilikuwa na changamoto zake kwa sababu wakati tulipokuwa tunaelekea kwenye michakato ile alikuwa akivaa kofia zote mbili za ukuu wa Mkoa na Mgombea nafasi ya ubunge. Ilileta changamoto.

Sambamba na hilo siku Mbili kabla ya uchaguzi nilimpotezea Mzee wangu (Baba Yangu). Nilipitia mapito magumu. Nawashukuru Sana wananchi wa Kigamboni Imani yao ilikuwa kubwa Sana kwangu" Dkt Faustine Ndugulile @Faustine_ndugulile, Mbunge wa Jimbo la Kigamboni.
Aseme pia hakushinda Kihalali
Alibebwa na Ghiliba na Sanaa, plus uhuni wa Jiwe kwenye 2020 Election
 
Watu wakuchukie lakini mimi nakuheshimu kwa uungwana wako. Kiongozi ni yule ambaye yuko tayari kuongozwa. Na ukiwa tayari kuwatumikia wananchi bila kuwa waziri, basi unafaa kuitwa mbunge.
Maana ndani ya ccm kuna rafu sana linapokuja swala la vyeo, nakuona umeukubali ubunge, na hupigi kelele usikike.Unapoonyesha kuridhika na mahala ulipo inaonyesha unafaa kupanda juu.
Kila la kheri.
 
TISS mbobevu huyo,Makonda profile yake siyo nzito,kama ya Dr.Ndungulile,anajua wapi pakushika apite hata pasipopitika kirahisi.JPM mwenyewe alivyochungulia profile yake,alisanda mwenyewe.
Wachaaa we

Ova
 
Ni aibu Kwa a Senior JF member kama wewe ku wish Nchi kuwa na Raisi kama Makonda
Kwani sifa za kugombea urais kwa mujibu wa katiba yetu ni zipi?, jee Makonda anapungukiwa sifa?. Umenisoma vizuri, ni kwanini Makonda angetufaa sana baada ya Magufuli?. Umenisoma hiyo sifa ya Makonda ambayo ni zaidi ya Magufuli?.
Pia aibu kwa a Senior JF member kama wewe ku comment kwa kusoma heading only!, it's the contents that matters. Nisome tena huku ukishirikisha all faculties of your medulla oblongata!.
P
 
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kwani sifa za kugombea urais kwa mujibu wa katiba yetu ni zipi?, jee Makonda anapungukiwa sifa?. Umenisoma vizuri, ni kwanini Makonda angetufaa sana baada ya Magufuli?. Umenisoma hiyo sifa ya Makonda ambayo ni zaidi ya Magufuli?.
Pia aibu kwa a Senior JF member kama wewe ku comment kwa kusoma heading only!, it's the contents that matters. Nisome tena huku ukishirikisha all faculties of your medulla oblongata!.
P
Na Mimi sijasoma content ....ila ushabiki wako kwa mambo mengine ,hususan ya CcM humfanya mtu ajue lengo lako!
 
TISS mbobevu huyo,Makonda profile yake siyo nzito,kama ya Dr.Ndungulile,anajua wapi pakushika apite hata pasipopitika kirahisi.JPM mwenyewe alivyochungulia profile yake,alisanda mwenyewe.
Mbona alitengua uwaziri wake?
 
TISS mbobevu huyo,Makonda profile yake siyo nzito,kama ya Dr.Ndungulile,anajua wapi pakushika apite hata pasipopitika kirahisi.JPM mwenyewe alivyochungulia profile yake,alisanda mwenyewe.
Hizi kauli Huwa mnazitoa wapi? Tanzania yetu hii TISS KAZI zao kufuatilia nani kamkosoa Rais, nani kmtukana DC, RC na wakubwa wengine, TISS imejikita kwenye ushabiki wa vyama,TISS kupambana CCM ibaki madarakani, but Kuna mengi ya msingi ambayo yangekuwa yanafanywa na Idara hii ili kulisaidia Taifa kupiga hatua ki uchumi na mengine ya msingi zaidi ya hayo yanayofanywa Sasa hivi. Alafu eti TISS mbobevu
 
Back
Top Bottom