kusema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Video: Hatimaye wana CCM majasiri waanza kujitokeza na kusema Samia amevunja katiba ya chama kujiteua mgombea u - Rais. Atakiwa kujiuzuru

    https://youtu.be/Gl_enK_qbVg?si=XGMbUj8hTJxGpgyp ➡Hatimaye matunda ya kilichofanyika Dodoma tarehe 19/01/2025 kwa Bi Samia Suluhu Hassan kujiteua mgombea u - Rais huku akimwingiza kwenye mkumbo huo Dr Emmanuel Nchimbi kama mgombea mwenza wake, yaanza kujidhihirisha na kupingwa waziwazi.. ➡Mzee...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Itoshe kusema CHADEMA inapendwa, tazama vaibu la Wanawake wa Nkasi wakijiandaa kwa Siku ya Wanawake Duniani

    Wakuu Itoshe kusema kuwa CHADEMA inapendwa, jambo linalodhihirishwa na hamasa kubwa ya wanawake hawa wa Nkasi, Kasikazini, katika Kata ya Kirando wakijiandaa kwa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani itakayofanyika Jumamosi, Machi 8, 2025. Soma, Pia: Siku ya Wanawake Duniani watumishi...
  3. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Unakuta tu amefika mji fulani kikazi anaanza kusema "duh huu mji una guest houses nyingi". Sasa unajiuliza jamaa akaenda kufanya sex tour ama nini😂

    Wewe umejuaje ni nyingi,😂😂😂 Shauri yako na wakati huu mtakondeana kama mshumaa kwa maana USAID wamed*nda hawatoi mavidonge ya bure
  4. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mzee Wasira: Wananchi wana njaa, hawawezi kula Katiba

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa serikali imetekeleza madai yote yaliyowasilishwa na vyama vya upinzani, ikiwemo maridhiano, kurejea kwa wanasiasa waliokimbilia uhamishoni, msamaha kwa waliokuwa gerezani, pamoja na kuruhusu maandamano na mikutano...
  5. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Lini Watanzania tutaamka na kusema IMETOSHA?

    Ukiniuliza kama Tanzania ina kiongozi, nitajibu kuwa ina rais lakini si kiongozi. Ukiuliza kama Tanzania ina sera, nitakujibu kuwa ipo sera ya uchawa. Ukiuliza, kiuchumi Tanzania inaongozwa na nini, nitakujibu kuwa sera yake ni ya shamba la bibi ambapo wezi huja na kugema watakavyo. Ukiuliza...
  6. Killing machine

    JamiiForums Tanzania Kusema hapana sio dhambi

    Kuna wakati tunaingia kwenye ugomvi na watu kwasababu ya kushindwa kusema hapana Na Kuna wakati tunaingia kwenye magumu ambayo hatuku paswa kuya pitia kwa kushindwa kusema hapana Unapo shindwa kufanya Jambo na watu wakataka kukupa dhamana ya kulifanya ili Hali unajua huwezi kulifanya basi una...
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Waziri wa Fedha amekopa na kutumia Zaidi ya Tsh. Trilioni 7 Bila kuingizwa kwenye Mfuko Mkuu wa Serikali

    Mambo yanazidi kua ya moto. Watu wanajiuliza jamaa anapata wapi Hela namna hiii za kumwaga pale Klabuni?.
  8. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Putin ampongeza Trump na kusema yupo tayari kusuluhishwa na Ukraine vita iishe

  9. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa rafu nilizoziona za Chama cha Mapinduzi kwenye mkutano mkuu itoshe kusema Lissu ni tishio kwa chama kile hivyo hawezi kushinda uchaguzi

    Utaratibu wa kawaida wa chama kile ni mgombea wa urais ni kujaza fomu ya kuomba apate ridhaa ya kukiwakilisha chama kwa kuzunguka mikoani kutafuta wadhamini ili athibitishwe kuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya chama hicho. Lakini hilo suala jana limetupwa kampuni na hatimaye wajumbe...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Wakitoka hapa wanakubaliana na si mmoja wao kesho kusema sihusiki kama Lisu anavyosema kuhusu maridhiano

    Israel's Cabinet approves a deal for a ceasefire in Gaza and the release of dozens of hostages https://www.yahoo.com/news/israels-security-cabinet-convenes-approve-094746734.html
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe siku zote alijua watekaji na wauaji ni nani na kituo chao kipo wapi, hakutaka kusema hadi alipoona itamnufaisha binafsi kisiasa?

    Nimekuwa shocked na maelezo ya Mbowe yakionyesha kumbe kwa muda mrefu amejua watekaji na wauaji ni nani, kwamba kilikuwa kikosi maalumu kilichoundwa na serikali kwa madhumuni ya "amani na usalama", kikijumuisha Polisi, TISS na JWTZ. Na hata ameeleza kwamba baadae JWTZ walichukua uamuzi wa...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Musiba: Tundu Lissu hafai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, ni mkweli mno

    Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema Tundu Lissu amekosa sifa za kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kwa sababu ya tabia yake ya kusema ukweli kila wakati kitendo ambacho sio kizuri kwa kiongozi wa ngazi ya Kitaifa. Soma, Pia: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea...
  13. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kusema aliokoa maisha ya Tundu Lissu ni kauli ya kufuru na ya ovyo

    Hii kauli ni kufuru. Lissu kupona ni miujiza ya Mungu na sio Mbowe wala mwanadamu mwingine yeyote. Pia mchakato wa kumtoa Lissu Dodoma hadi Nairobi ulihusisha watu wengi sana na sio Mbowe tu. WanaCCM wengi tu walishiriki kumkimbiza Lissu hospitalini. Kauli ya Mbowe kuwa aliokoa uhai wa Lissu ni...
  14. FYATU

    JamiiForums Tanzania Hivi kila kilichoandikwa au kusemwa kuhusu Idd Amin kilikuwa cha kweli?

    Wahenga Wenzangu wanaweza kukumbuka vizuri taarifa mbalimbali tulizokuwa tukizisikia kumuhusu Idd Amin Dada.Kuna baadhi ambazo nani nilifanikiwa kuzisikia kama vile kusomba Walemavu ombaomba wote pale Kampala na kwenda kuwamwaga ziwa Victoria ili jiji libaki safi,kuwepo kwa vichwa vya Watu...
  15. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Kabendera anawezaje kusema Hayati Magufuli alienda na pajama kwa Makamu wake je walinzi wake na Walinzi wa Makamu walikuwa wapi?

    Kabendera sisi tunauelewa wa kutosha ni kweli unachuki na jpm lakini uongo huu uliouandika hauna tofauti na vitabu vya yericko nyerere mwenye elimu ya hapa na pale. Wote tunafahamu raisi ni kiongozi wa umma na makamu wake hao wote safari yoyote hutoka na walinzi. Pili wabapoishi huishi na...
  16. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Jipige kifua mara tatu na kusema; mwaka 2025 nitafanya mambo yafuatayo:

    1. Kufanya ibada kama ilivyo amriwa; 2. Kufanya mazoezi na kula kwa staha na kiasi kama anavyoshauri Prof. Janabi; 3. Kuchamgamkia fursa na kupiga vita umasikini na ufukara; 4. Kupunguza liabilities, mke, mchepuko na mademu kausha damu; 5. KUshiriki kikamilifu kwenye siasa, kuchagua au...
  17. Knock life

    JamiiForums Tanzania Ni mtu mjinga ndo anaweza kusema CCM itatawala milele , jibu ni wakati wa CCM ukifika kuondoka itaondoka kama MBOWE.

    Leo mgefikiria mtu Kama Mbowe kukataliwa na kila mtu . Hii ni weak up call kuwa katika kila kitu kuna majira yake . Hivyo ikifika wakati wa Ccm kuondoka wataondoka . Ni swala la muda tu.
  18. E

    JamiiForums Tanzania Itoshe kusema Wenje alijitaja mwenyewe kuwasiliana na kujuana na Abdul , Tundu lissu ni mkweli na hana pengine pa kusemea

    TL alitwambia muda mrefu sana Abdul na Kiongozi CDM kumfuata kutaka kumpa Rushwa. Muda umeongea , Tumuamini lissu
  19. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Kwa haya majibu ya lissu itoshe kusema Chadema ni wa kuogopwa kama ukoma

    Ifike mahali tuwaache wapasuane wavuane nguo hawa ni genge la wahuni, Genge la watu wasio na busara je hii vita ya maneno ni uenyekiti tu au kuna jengine limejificha, Lissu yupo kwenye koma ya hasira ameamua kurusha kila silaha bila staha lissu hana tofauti na slaa ile siku ya hotuba yake serena...
  20. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Unalipi la kusema juu ya mtandao wa YAS

    Ndugu zangu siku za karibuni mliifahamu kama kampuni ya TIGO sasa imekuwa YAS una lipi la kusema juu ya mabadiliko haya Hii imekaaje tangu ilipobadilishwa na kuitwa YAS huku huduma ya fedha ikiitwa MIXX by YAS badala ya TIGO PESA?? Je tutegemee mafanikio makubwa ama kifo cha mende??
Back
Top Bottom