Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,361
- 11,587
Kwa sasa hata marafiki zangu wa karibu waliokuwa wananishauri kuhusu mahusiano yangu wakiniona wanaanza kukohoa kama sio kucheka kama mimbuzi
Yule wa juzi nilimfuma koridoni akiwa kwenye mzio mzito na jirani yangu
Nikabaki na kiliwazio (Binti fulani hivi wa Mtwara ambaye alinitamkia kunipenda miezi minne iliyopita). Leo nimemfuma nyuma ya ofisi akimwambia workmate mmoja eti "Leo siko vizuri, labda Jumapili ili tupeane Fungulia Dogi"
Yule mwingine alionesha kunipenda, nimemtongoza leo kwa lengo la kuficha machungu kaishia kunisonya na kuondoka
Yule mwingine nilimfuma Rambo Bar . Dah!
Yule mwingine niliyepata dodoso kuwa ananipenda sana ilihali sikumpenda, naye anabembeleza penzi jipya
Yaani kiufupi mambo ni vururu vururu. Kwa heri mapenzi, tutaonana ahela