Rashda Zunde
JF-Expert Member
- May 28, 2022
- 297
- 285
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara Tundu Lissu aliwahi kueleza hadharani namna kada wa chama hicho Edgar Edson Mwakabela (SATIVA) alivyomlipia fomu ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho Taifa. Ikumbukwe Stavia ni Afisa Ubashiri hivyo fedha zake zinatokana na betting.
Hivi karibuni Makamu Mwenyekiti wa Chadema, John Heche wakati alihutubia katika Jimbo la Mafinga Mjini wilayani Mufindi aliweka wazi kwamba endapo chama hicho kitashinda basi kitahakikisha kwamba hakutakuwa tena na michezo ya ubashiri (betting).
Kwa muktadha huu, Chadema imewageuka wanachama wake, inataka kuwaondolea vijana ajira na pia imekuwa kinyonga.