Hii inahudhunisha sana, inaumiza sana na inakera sana, yaani watu wanapotezwa kila uchwao harafu Rais anaongea kwa dhihaka eti wanafanya drama! , Mzee Ali kibao ni drama? Mdude ni drama? Waliotekwa kisutu na kuteswa na kuvunjwa miguu na mikono ni drama? Azory Gwanda ni drama? Ben saa nane ni...
Hatuwezi kusema na haiwezekani tuchunguze kitu ambacho watu zaidi ya maelfu wana tunyooshea videlo kama wahusika na utekaji wa mdude, alafu tuje na majibu mepesi kwamba tunachunguza hamuwezi kujichunguza.
Wananchi wa mbeya wanayo haki ya kuchunguza tukio hilo na kujilinda dhidi ya wahalifu...
Chadema chini ya Lisu wanatete maskini na kura zao kuheshimiwa pindi wanapopiga kura na mshindi aliyeshinda ndo atangazwe tofauti na sasa ambapo kura huwa zunapinduliwa aliyeshindwa na anatangazwa mshindi mfano Nape, gwajima, majaliwa nk walitangazwa bila kushinda
Kwahiyo hao wanaohama wanataka...
Kiongozi mkubwa wa KMC amedai kuwa wameamua kucheza mechi yao na simba Dar es salaaam katika uwanja wa KMC tofauti na walivyopanga awali kucheza mechi hiyo tabora kwakuwa simba wameingia fainali na wanataka wasiwachoshe simba ili wapate muda mzuri wa Kujiandaa na mechi ya Fainali.
Kitendo hicho...
Wakuu,
Tusubirie kusikia na huyu ameshambuliwa kwa sababu ya kusema ukweli? Tusubiri kusikia na huyu amepigwa vibaya na kuchukuliwa na watu wasiyojulikana sababu amesema ukweli?
Wataumiza na kuua wangapi mpaka wajue hawawezi kunyamazisha watu kusema kweli isipokuwa tu kwa kubadilisha mienendo...
agenda
father
kuelekea 2025
kusema
mama samia
mungu
padri muchunguzi
padri samwel muchunguzi
samia
siasa
siasa na dini
siasa za tanzania
watumishi
watumishi wa mungu
Unajua manara ana hii tabia ya kuchonganisha watu pia ana tabia ya kuwapondea watu anapokuwa amezungukwa na watu, alishawai kumzungumzia vibaya Hersi ambaye ni Rais wa Yanga. Pia safari hii amewaponda sana Mabosi zake ambao ni GSM na Salaah na Wake zao.
https://youtu.be/j_9LbO4AGaA
Yakitokea yale ya Magufuli tusije kusema alikuwa mtu wa haki kinafiki. Maana yatatokea mtakuja hapa na kusema alikuwa mtu wa haki sijui nini wakati Polisi wanavunja miguu watu wakienda mahakamani kutafuta haki! stay tuned Mungu achezewi anakupa nafasi ukiipata itumie kwa mazuri akija kuiondoa...
Majibu ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Rev Dkt. Charles Kitima baada ya kuulizwa kuhusu sakata la viongozi wa Dini kuonekana wanachanganya Dini na Siasa pale ambapo wanatoa matamko kuhusu mambo mbalimbali ya kiutawala yanayoendelea nchini. Amesema;
Kupata...
Ndiyo, katika Qur'an, kuna maeneo ambayo zinazungumzia hali maalum ambapo kusema uongo inaweza kuwa ruksa (inaweza kuruhusiwa) katika hali fulani, lakini ni kwa ajili ya maslahi ya kijamii au usalama wa mtu au jamii. Hizi ni situations tatu zinazozungumziwa katika baadhi ya tafsiri za Qur'an na...
Nilimsikia Rais Samia anasema upinzani umehamasisha vurugu kwa kutaka mabadiliko kwenye uchaguzi sasa kuhamasisha mabadiliko ni vurugu za wapi ?
Ni wazi Samia anakaa anaongea uongo na kukuza mambo ili kukwepa hoja ya kufanya mabadiliko hayo, hii ina maana Samia anaenda kuwa Dikteta kwenye nchi...
Katika jamii mbalimbali maneno: “Bwana Yesu asifiwe” au “Tumsifu Yesu Kristo,” yamekuwa yakitumika kama salaam za kawaida - wakati mtu anapowasalimia waliohudhuria sherehe, mkutano, ibada nk.
Kwa ujumla, maneno hayo sio ya kusalimiana. Hayo ni maneno ya kumsifu Mwokozi wetu Yesu Kristo...
Soma hii habari ya Al-jazeera. Wanafunzi wanafutiwa visa, kukamatwa na wengine kurudishwa makwao kisa kuandamana kupinga mauaji huko Palestina. Hii sio sawa.
===========
Mamia ya wanafunzi na wahitimu wapya wamefunguliwa mashitaka na pia kuondolewa visa zao na maafisa wa uhamiaji tangu Rais wa...
HUU NDIO UKWELI AMBAO WATU WENGI WANAOGOPA KUSEMA.
Leo Ijumaa Kuu kwetu wakristo tunaiita ni siku ya kumbukizi ya Mateso kwa mwana wa Mungu.
Nami nimeona sio vibaya niseme maneno ambayo baadhi ya watu wanaogopa hata kuyasikia.
Lengo langu sio kuhimiza uasi wala ubaya ila napenda kusema...
Dah! Asikwambie kitu, Dar ina wanawake wazuri lakini sikuwahi kuona mwanamke kama niliyemuona siku ya leo
Siku ya leo nimeamua kutoka kwangu, somewhere X nikatembelea maeneo fulani hivi ya uswazi kumcheki mshkaji wangu ambaye nilikuwa naye pale UDSM kitambo kile
Wakati tukiwa nje ya fremu...
Kwa sasa hata marafiki zangu wa karibu waliokuwa wananishauri kuhusu mahusiano yangu wakiniona wanaanza kukohoa kama sio kucheka kama mimbuzi
Yule wa juzi nilimfuma koridoni akiwa kwenye mzio mzito na jirani yangu
Nikabaki na kiliwazio (Binti fulani hivi wa Mtwara ambaye alinitamkia kunipenda...
Bashe anapenda kulimia mdomo na kupiga sound sana! Anamchapa sound mama anaingiza mihela tu! Hussein Bashe ana kilimo cha kwenye makaratasi, mabilioni ya pesa yanapotelea kwenye mikono yake! Angalia mradi wa BBT unavyomdhalilisha! Alitaka kulima kwa makaratasi na mdomo ! Mahindi Yale hata kwa...
Pongezi na pole ziende kwa Wachokonozi na huyu mwamba mpya anaitwa Chihonda.
Hawa jamaa uwezo wao wa kuchallenge foundation za jamii kuhusu Imani na tamaduni zake inastaajabisha.
Tena wanasema na kuongea hadharani.............
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara Tundu Lissu aliwahi kueleza hadharani namna kada wa chama hicho Edgar Edson Mwakabela (SATIVA) alivyomlipia fomu ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho Taifa. Ikumbukwe Stavia ni Afisa Ubashiri hivyo fedha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.