kusema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nelly

    JamiiForums Tanzania Itoshe kusema kumeanza kuchangamka.....

  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Polepole hawezi kukemea utekaji na mambo mengine ya kihuni ya serikali ya sita. Maana yote yanayotendeka sasa yalitendeka pia 2015-2021

    Atazunguka zunguka tu kutaja mchakato wa mgombea wa Urais na mchakato wake but hawezi kugusa mambo mengine. Mambo mengi ya hovyo ya kipindi hichi ni reflection ya kipindi cha Magufuli ambacho Polepole alikuwa mezani akila pamoja na Rais Magufuli. Hazungumzii jinsi wapinzani wanavyonyimwa haki...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Lugha ya kusema mgombea ni mmoja ni makosa, nilishindwa hata kuwapongeza, Unapongeza vipi kisicho halali?

    "Na hii lugha ya kusema mgombea ni mmoja ni makosa, sio kipindi hiki, hata kipindi cha Magufuli kuna baadhi ya viongozi walikuwa wanasema mgombea ni mmoja, siyo kweli na kwenye kauli rasmi ambayo mimi kwa wakati ule niliitoa kwa niaba ya Mwenyekiti wa CCM, tulisema tunafungua kwa watu wote...
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nikiangalia usajili wa timu nyengine, reserve ya pesa waliyonayo, uongozi mathubuti wao basi niishie kusema R.I.P kwa timu yangu Man Utd. Tulikupenda!

    Hakuna pahala tunakwenda! Naona tena tukiwa nafasi ya chini ya namba 10 ikifika hadi december. Glazers wamefyonza pesa, sasa hivi roho iko juu juu katika financial Fair play (FFP), Tuna move katika dirisha la usajili katika sunderland hivi. Namuonea huruma amorim maana hamalizi huu msimu...
  5. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Kusema kweli jana nimepiga hela nyingi sana

    Wengi waliipa PSG mazima wakaweka mamilioni. Endelea kubeti kupitia sportypesa.
  6. Setfree

    JamiiForums Tanzania WHO wathibitisha pombe ni sumu. Sasa nina ujasiri wa kusema: "kunywa pombe bila kulewa ni dhambi."

    Kama ulikuwa huna habari, kisayansi, pombe ni sumu. Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa Ethanol, kiambato kikuu katika pombe, ni dutu ya sumu kwa mwili wa binadamu. Shirika la Afya Duniani (WHO) through International Agency for Research on Cancer (IARC) linaiainisha pombe (ethanol in alcoholic...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh aibua sakata la kesi ya Tundu Lissu kanisani kwa Mwamposa. Asema 'Mtu anasema tukinukishe, haya kukishanuka hapa wewe unaenda wapi?'

    Shekhe aibua sakata la kesi ya Tundu Lissu wakati wa uzinduzi wa jengo jipya la kanisa la Mwamposa. "Mtu anasema tukinukishe, haya kukishanuka hapa wewe unaenda wapi?" anaeleza Shekhe Mohammed Mawinda
  8. U

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya Rais Kusema Nina Boss wangu hapa, Au ndo Futungo

    Naanza kutengeneza conspiracy theory, tunaamini Rais ndio Kiongozi Mkuu kabisa wa nchi, ambaye anapewa madaraka na wananchi. Sasa hili Suala la Rais Samia Kusema kuwa yeye pia ana boss wake limeleta sintofahamu kubwa sana juu ya Kauli yake kuwa Kikwete ndio Boss wake. Hii inamaana Samia amepewa...
  9. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaosema katiba ni kijitabu tu wanaweza kudiriki kusema Quran ni kijitabu tu ama Biblia ni kijitabu?

    Kuna mambo yanatosha kuitwa uhaini, kama kudharau wimbo wa taifa ama bendera ya taifa ni kosa la kukuweka behind bars iweje aliyekashifu katiba ni kijitabu tu. Madhaifu ya kiuungozi yaditifanye tukose kauri wakati wa kutoa hoja. Leo wakati nikipita mtandaoni nimekutana na kauli ya kuwa katiba ni...
  10. figganigga

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU wameogopa kusema Babu Tale Kanga alikuwa anagawa za nini?

    Babu Tale anagawa Kanga za nini? Yaani wakupe miaka Mitano wewe uwape pea ya Kanga, TAKUKURU muwe mnatupa ripoti kama hizi tujue mlichukua hatua gani, au alisemaje. TAKUKURU msikalie Ripoti za namna hii. April April 10 mwaka huu 2022, Hamisi Shaban Taletale, maarufu kama Babu Tale, ambaye ni...
  11. evangelical

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amepata wapi mamlaka ya kusema anasitisha shughuli za bunge?

    Jana nimemsikia Samia akisema anasitisha shughuli za bunge tarehe 27 /6/2025 ila Bunge litavunjwa Tarehe 3/8/2025 nimesoma katiba yetu kwanza Ibara ya 65 ambayo inasema. Ninainukuu " 65.-(1) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya Katiba hii, maisha ya kila Bunge yatakuwa ni muda wa miaka...
  12. 888I

    JamiiForums Tanzania Kwa alichokizungumza Rais Samia Chadema wanahaki ya kusema NRNE

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika hafla ya uapisho wa viongozi wapya leo, amemuelekeza Mkuu mpya wa Mkoa wa Mbeya, Beno Malisa, kuhakikisha anailinda heshima ya Mheshimiwa Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, ambaye anatoka mkoani humo.Aidha, Rais Samia...
  13. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Mtu Mwenye fikra finyu pekee ndo anaweza kusema wakenya wanaharibu nchi yao

    GT Katika ulimwengu wa harakati za mapinduzi ya kisiasa na kusukuma nchi iende mbele kile kinachotokea Kenya ni sahihi kabisa maana wanaijenga nchi yao. Ndugu zangu hakuna taifa lolote tajiri ambalo halijapitia madhira kama ya Kenya. Wanachofanya wakenya ni kutafuta kuheshimiana ili serikali...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kocha Fadlu umefedhehesha brand ya Simba, hukupaswa kusema Yale kwenye vyombo vya habari pengine na wewe umechangia kutuangusha

    Jana wakati anahojiwa na Media, Fahdu anasema Simba Haina wachezaji wenye quality kama Yanga, ina maana Israel Mwenda, Boka, Wana quality kubwa sana kushinda Kapombe na Shabalala, matatizo ya ndani ya timu kiuongozi ndio unahamisha kwenye quality ya wachezaji, kwani ulikuwa una ulazima Gani...
  15. MK254

    JamiiForums Tanzania Kuna member aliwahi kusema Iran ikiguswa, ina uwezo wa kutuma maelfu ya makombora kwa mpigo, niliogopa sana

    Mikwara ya makobaz humu kuna wakati hunibabaisha sana, muda wote nilikua na uwoga hawa jamaa labda kuna kitu wanakijua ambacho hatukijui, aidha labda Iran ina uwezo wa kubonyeza na kufyatua makombora 3,000 kuelekea Israel au kuna kitu watafanya na kuishangaza dunia. Kuna kuguswa gani kwingine...
  16. Dr. Mariposa

    JamiiForums Tanzania Dodoma wanawake wamejazia kiunoni kushuka chini na hamkuwahi kusema!!!

    Guys nipo Dodoma kwa muda, sasa jana nikapata wasaa wa kutembea tembea mitaani nijionee mji/jiji, basi nikawa napita chocho kwa chocho, mtaa kwa mtaa kila mwanamke ninayemuona kajazia makalio na miguu, nikadhani labda hawa vijana wamevaa vigodoro nikaanza kuwaangalia wanawake watu wazima hao...
  17. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Benjamin Netanyahu ana historia ya kusema uongo hadharani

    Benjamin Netanyahu amekuwa akizungumzia mambo ya silaha za maangamizi makubwa pamoja na kubadilisha tawala za nchi kwa miaka takriban 30 sasa. Mwaka 2002 akitoa ushuhuda kuhusu silaha za maangamizi za Iraq, alidanganya na kudai kwamba Iraq inazo hizo silaha na kwamba Saddam akiondolewa kutoka...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Poleni wanaharakati poleni wapigania haki poleni wote wenye kupenda kusema ukweli kazi hii imekuwa ngumu mno

    Kazi inapokuwa ngumu SI vibaya kujikusanya na kupeana hope Ikitokea mashambulizi yanalemea upande wako SI vibaya mkarudi nyuma kidogo kwa Nia ya kujipanga upya Wakuu nasema hivi kwa sababu ya Hali ilivyo kwa Sasa chini ya utawala wa rais Suluhu kushambulia kwa kutumia nguvu kubwa...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Yesu alipenda kutumia 'tatu' katika kusema na kutenda?

    Ukisoma Biblia vizuri, Yesu alikuwa akifanya kazi zake duniani katika namba 3 ambazo baadhi ya watumishi wanaitafsiri kuwa ndiyo Utatu Mtakatifu (Trinity-Baba, Mwana na Roho Mtakatifu). Kwa sababu mara zote, Yesu alipenda kutumia namba 3 katika kutamka au katika kutekeleza majukumu yake ya kila...
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini na nguvu ya maneno, kiongozi wa Iran aliwahi kusema Israel ifutwe kwenye ramani ya dunia

    Leo ni siku ya kina baba duniani, mojawapo ya kitu nimeskliza kwenye ibada ya leo ni umuhimu sana wa sisi akina baba kuwa makini sana na kinachotoka midomoni mwetu, maneno hukata kuliko hata mabomu au upanga. Ikumbukwe kuna rais wa Iran aliyewahi kusema anatamani kuona Israel inafutwa kwenye...
Back
Top Bottom