Ifike mahali tuwaache wapasuane wavuane nguo hawa ni genge la wahuni,
Genge la watu wasio na busara je hii vita ya maneno ni uenyekiti tu au kuna jengine limejificha,
Lissu yupo kwenye koma ya hasira ameamua kurusha kila silaha bila staha lissu hana tofauti na slaa ile siku ya hotuba yake serena...
Ndugu zangu siku za karibuni mliifahamu kama kampuni ya TIGO sasa imekuwa YAS una lipi la kusema juu ya mabadiliko haya
Hii imekaaje tangu ilipobadilishwa na kuitwa YAS huku huduma ya fedha ikiitwa MIXX by YAS badala ya TIGO PESA??
Je tutegemee mafanikio makubwa ama kifo cha mende??
Popote ulipo Abdul njoo hadhani kwa kuitisha press useme ukweli juu ya fedha za mama Abdul.
Tundu Lissu na Wenje wameshasema ya kwao kuhusu fedha za mama Abdul. Sasa ni zamu yako na wewe kusema kinagaubaga tujue muongo ni nani kati ya Lissu na Wenje.
Njoo baba hadharani ukate mzizi wa fitina...
Kwakweli hakuna adui mbaya wa binadamu ambaye hatumtambui kama POMBE! Pombe ni mbaya jamani! Ubaya wa pombe unakamata fikra!
Pombe Ikishakamata fikra zako inakulazimisha uitetee na kuipigania huku ikiendelea kuharibu afya na uchumi wako!
Pombe ni mbaya! Ebu fikiria kitu kinaharibu afya yako...
Yericko Nyerere katika andiko lake refu juzi ambalo lililenga kumjenga zaidi Mbowe katika namna ya kumshusha thamani Lissu ili kumpigia kampeni Mbowe katika nafasi ya uenyekiti Chdema alisema kitu kimoja ambacho wasomaji wengi hawajakigusia.
Katika jaribio lake lake la kutaka Lissu asiaminike...
Nisikiliza Crown FM hapa, yupo Semaji na mashabiki wa Simba wanaendelea na hamasa.
Sasa anasema wenzetu wanagawa Utamu nje na ndani. Na sasa wapo Lubumbashi ambapo pana vumbi. 😂😂😂
Mwisho nawatakia TP Mazembe ushindi hapo kesho
Ukisoma vitabu vya ngano viitwavyo vitakatifu vinadai kuwa Mungu alimuumba Adam tokana na udongo. Ajabu ya maajabu na kujichanganya, vitabu hivyo hivyo, vinasema:
Mosi, Pili aliumbwa kwa kufinyanga udongo.
Pili, je Mungu tunayesema hafananishwi na chochote, ilikuwaje akaumba kiumbe/viumbe kwa...
Kiuhalisia ni kwamba mara nyingi watu wamekua wakisema Mungu ni roho, namimi nakubaliana na hii kauli ya kwamba ni kweli Mungu ni roho, lakini tujiulize kidogo je, Mungu ni roho kwa namna gani? Kwa maana maandiko husema ya kwamba sisi tuliumbwa kwa mfano wake.
Kwahiyo kama sisi tumeumbwa kwa...
Kuna watu wakisema uongo Huwa wanatetemeka balaa ila Kuna wengine asalaleee!! Anadanganya macho makavuuuu hata kupepesa hapepesi.
Hivi nguvu yenu Huwa nini hasa!?. 🤔
Mwanasiasa na balozi polepole aliwahi kusema ccm itaishi miaka 75 mbele ikiwa strong and firm je hii ajali ya wabunge imetoa majibu kwa utabiri wa polepole?
Wakuu sijui ndiyo uchawi au ndiyo wivu au sijui nini wakuu najikuta naichukia mikoa tajwa hapo juu Kilimanjaro,Arusha pamoja na Mbeya sijui kwanini japo watu wake wengi nimeishi nao vizuri tu ila najikuta naichukia hiyo mikoa mpaka najishangaa shida nini?
Yaani nikisikia mtu mbele yangu...
Tuliyaona kwa Dr. Mengi.
Tukayaona kwa Mrema.
Tukayaona kwa bilionea Msuya.
Tukayaona kwa Dr. Likwelile.
Tumeyasikia kwa Hans Pope.
Na sasa yameibuka kwa Dr. Mwele.
Ndipo hapa naona hakuna maana ya watu kutafuta pesa kwa ajili ya watoto wao.
Usije na wimbo wa kwamba "watu waandike wosia...
Utekaji huu ni kama maigizo flani yenye lengo flani. Sidhani kama ni kama ule utekaji wa Mzee Kibao.
1. Mtekaji anadondosha Simu ambayo inachukuliwa na kupelekwa Police.
2. Gari ya watekaji na namba zake za usajili zipo tu uchi uchi hivi za Deogratias Beda Minja.
3. Police haraka wametoa tamko...
Pole Abdul Nondo nakumbuka niliwahi kuleta uzi kuwa ACT-WAZALENDO hampo salama, nilizungumza kipindi chadema wameratibu maandamano.
Kipindi cha maandamano nilitegemea ACT-WAZALENDO watasema mishap ziara za kichama kuonesha kuwaunga chadema mkono kupinga mauaji na utekaji badala yake wao...
Wakuu Ikumbukwe hakuna formula.Usiige na tusiigane.
Niliwahi pendwa sana na muuza duka jinsia ya kike asee kisa na mkasa nilikuwa na tabia ya kusema ahsante sana kila anapo nihudumia.
Ni umri wa makamo kiasi kwamba anaweza kuwa mama bila shaka kabisa. Huyu maza alinielewa sana akaona isiwe...
Umoja wa Mataifa(UN) yamfukuza Nderitu(Faizafoxy wa Kenya) kwa kukataa kuainisha tabia ya Israel huko Gaza kama 'mauaji ya halaiki,' WSJ inahoji.
Upinzani wa Nderitu kutaja vitendo vya Israel huko Gaza wakati wa Vita vya Israel-Hamas kuwa mauaji ya halaiki, ulisababisha Umoja wa Mataifa kukataa...
Bakita ndugu zangu jamiiforum ni jukwaa huru, so natoa maoni yangu. So kama itawezekana naomba myajibu kitaalamu kwa kutoa kufanya research ya neno sahihi mbadala wa Hallucinations kwa kiswahili Ingawa swali sijauliza kwa kitaalamu.
Unaposema Hallucinations ni mawenge huwezi amini watu wengi...
Vilio ni vingi sana majumbani wengi wa wanawake shoo hamziwezi shuhuda tunazipata kwenye vijiwe vyetu vya kahawa
Visingizio ni vingi mara mseme mmechoka mara sijui tunapiga shoo kila siku kama tumeoa midori ya ngono n.k
Ukiachana na sex kama kazi ya kuingiza pesa wanawake shoo mnafanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.