kusema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtafiti77

    JamiiForums Tanzania Kwani tukiacha madirisha haya ya aluminiam na PVC, ndiyo kusema sisi hohehahe hatuna madirisha yetu mengine ya kisasa jameni?

    Binafsi si shabiki wa madirisha yanayotamba siku hizi, aluminiamu na pvc. Sababu kubwa ni kutokuwa na uimara wa kutosha na pia hata yakifunguliwa yanachukua sehemu kubwa ya dirisha na hivyo kuzuia hewa. Hii ni mbaya zaidi kwa mimi wa sehemu ya joto. Madirisha haya yakifungwa, huko ndani mtajuta...
  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania TFF isione noma kusema Simba SC tumezibabea timu 3 kushiriki CA

    TFF inasema timu zimeongezeka baada ya "Tanzania" kukusanya alama nyingi. Ni sawa, ila kwani kuna ubaya gani mkisema baada ya Simba Sc Lunyasi timu tishio Afrika na mabingwa watarajiwa wa CAF,kukusanya alama nyingi. Naiagiza Serikali itoe tamko kuipongeza Simba Sc
  3. B

    JamiiForums Tanzania Hivi Ali Kiba alimaanisha nini alipoimba kwa kusema 'Ushamba mwisho kwa mtoto wa Kariakoo'?

    Wakulungwa inakuwaje? Kwa wale mliowahi kukaa na kuishi mitaa ya kariakoo au mpaka sasa mnaishi hapo Kariakoo naombeni mnijuze kwa wale mnaojua hii kauli ya watoto wa Mjini akina KINGKIBA wa maeneo ya kariakoo wanayopenda kutumia kuwa "USHAMBA MWISHO KWA MTOTO WA KARIAKOO" wana maana gani maana...
  4. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania MCL: DPP kurudisha fedha za 'plea bargain' kwa waliodhulumiwa

    DPP kuachia mabilioni ya fidia Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) Sylvester Mwakitalu akizungumza na waandishi wa habari wa kampuni ya Mwananchi Communications Ltd wakati wa mahojiano maalumu Ofisini kwake jijini Dar es Salaam.Picha Sunday George Wakati baadhi ya wanasheria na wadau mbalimbali...
  5. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Nani hajui watuhumiwa hupata kibano rumande kusema kweli leo mnamgeuzia kibao Sabaya kwa kua Magufuli kafa?

    Nimeona clip za video za baadhi ya watu wanaodai kuteswa na Sabaya. Zaidi ya madai yao hawaelezi wameteswa wapi na kwa sababu gani. Sabaya alikua Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya. Kwenye kamati hiyo wako wakuu wa vyombo vya ulinzi. Clip za Sabaya akienda kukamata au kupeleleza...
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maneno 10 mabaya ambayo hutakiwi kusema kwa mwenza wako

    Maneno ya Matusi Maneno kama “mjinga” au “mpumbavu” yasitumike kwa mwenza wako hata kama yana ukweli ndani yake. Japo ujinga ni kutofahamu kitu fulani lakini neno hili linaleta majeraha kama likitoka kwa mwenza. Hasa kama linatoka wakati wa ugomvi au kutofautiana. Useseme maneno mabaya...
Back
Top Bottom