kusema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania "Mungu ameumaliza ugomvi" Je, hii ni kauli ya Nape kufurahia kifo cha hayati Magufuli? Ndio kusema Mungu alifurahi Membe kurudi CCM?

    Hii kauli inachanganya sana. Maana ni wazi kuwa Nape na kundi lake walifurahi sana ? March 21 202. Hii kauli inachanganya sana👇
  2. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mimi nachoweza kusema aliyeruhusu wanyamapori kuuzwa atenguliwe na afunguliwe mashitaka

    Hawa wanyamapori ni urithi wa Taifa letu. Hivyo ingekua vizuri walioruhusu kuwauza wanyamapori wachukuliwe hatua, watolewe kwenye hizo nafasi wawekwe watu wenye weledi na wanaotambua umuhimu wa wanyapori katika uchumi endelevu kwa taifa. Sii hivyo tu wafunguliwe kesi za uhujumu uchumi endelevu...
  3. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Tuache kukosoa stori kwa kusema "chai"

    Kama unaona stori ni ya uongo na hujatozwa hela kwanini umkatishe msimuliaji tamaa?! Sisi wengine tunanufaika na simulizi za humu kwani zinatupunguzia stress. Sasa unakuta stori ni nzuri sana na ungependa kusoma muendelezo wake, wanaibuka watu wa kumkatisha tamaa msimuliaji kwa kumuambia...
  4. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wito Jeshi Letu la Polisi, Stop This Sensesionalism!. Udhalilishaji, na Kuingilia The Right to Privacy!. Kumbe PT Inafanyia Kazi Taarifa za Mitandao!

    Wanabodi, Kati ya Taasisi zinazopaswa kufanya kazi kwa weledi mkubwa bila mihemuko ni Jeshi Letu la Polisi. Kuna baadhi ya issues ambazo jeshi letu la polisi, zinazishughulikia sio issues za kipolisi, ni issues za kijamii na kifamilia. Kwanza msikilize Kamanda Polisi Huyu Kisha isome taarifa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ni suala la muda tu baadhi ya walioitwa Wabunge wa CHADEMA Kuanza kugeukana na kusema ukweli baada ya kufukuzwa

    Watu kumi na tisa ni wengi mno kwa wote kushikamana na kuwa wamoja baada ya mambo kuharibika, hivyo wako baadhi yao wataonza kutoa siri na hata wengine kuomba radhi unless wataenda mahakamani. Sakata hili ndio kwanza linaanza na tujiandae kusikia mengi yakiwemo ya kushangaza. Tusubiri.
  6. britanicca

    JamiiForums Tanzania Je, ipo siku yatajirudia ya Magufuli kwamba Ndege zimeleta faida! Rais Samia atatulazimisha kusema Royal tour imeingiza mabilion? Swali tu

    Niliuliza kwamba je mwaka 2025 tutalazimishwa kusema TANZANIA iko uchumi wa kati ? Wakati ni Data za kupika? Je ipo siku tutaambiwa kwamba Royal tour imezaa matunda wameongezeka watalii mamilion ? Na mapato ya Utalii yamefika mabilioni? Mama usiingie mtego huu hata kidogo Najua zitapikwa...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mwijaku: Arusha ndio mji pekee Mlima Kilimanjaro unapatikana

    Akihojiwa na mwandishi wa habari wa kituo kimoja cha tv katika uzinduzi wa filamu inayotangaza vivutio vya kitalii Tanzania. Mwijaku ameulizwa kwa nini uzinduzi wa filamu ya Royal Tour unafanyika Arusha? Amejibu kwa sababu mkoa wa Arusha ndio mji unaopatikana mlima Kilimanjaro. Mwijaku amekuwa...
  8. NairobiWalker

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanapenda kusema ooh, Afrika Kusini ndugu zetu. Wasikie 'Wasauzi' wenyewe

    While they bootlick South Africans claiming they are their brothers and they helped them get independence, here is what South Africans feel. I always tell my Tanzanian brothers, a perceived favor cannot grant you friendship to someone. I don't see them mentioning Tanzanians. 🤣 🤣
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Umoja Party wanaweka picha ya Hayati Magufuli kwenye tisheti zao?

    Mdada wa Umoja party; Kada wa umoja party Hiki chama ni cha wafuasi wa hayati JPM?
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kubenea achafuliwa baada ya kusema vibaya awamu ya 5 ripoti ya CAG

    Baada ya Gazeti la Raia Mwema ambalo moja ya wamiliki na waandishi wake ni Said Kubenea kuandika Wizi Mkubwa Awamu ya 5, Wapo watu hawakufurahishwa na habari hiyo na kumchafua kiongozi huyo na ku edit vichwa vya habari, ambapo amesema atawatafuatilia na kuwafungulia mashtaka
  11. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Hapa Makongoro Nyerere kaamua kusema ukweli mbele ya Rais bila kupepesa macho

    Hii kauli ni kubwa sana. Kuwa watoto wa viongozi wanapata nafasi si kwa sababu wamewahi fanya matendo makubwa ila ni sababu tu ya majina ya watoto wao. Nadhani alikuwa anamaanisha yeye, Ridhwani Kikwete, Januari Makamba, Nape Nnauye n.k Anasema wao wapo hapo ukisema utafute walichofanya mpaka...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Wabunge waikataa ripoti ya Tume ya Mto Mara. Wataka iundwe tume huru

    Baada ya kuwasilishwa bungeni leo ripoti ya Uchafuzi wa Mto Mara, wabunge wameikataa na kutaka kuundwe tume huru ya uchunguzi. "Ripoti ya Kamati ya Kitaifa kuhusu Uchafuzi wa Mto Mara ina upotoshaji. Isiwekwe hata kwenye tovuti ya wizara. Hakuna mafuta Ziwa Victoria. Ikiwekwa kwenye tovuti...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Bila kusema ukweli kuhusu 2020 uchaguzi wa 2025 wengi watasusia

    Nimeona leo kwenye mkutano wa TDC wadau wengi wa vyama na haki. Haya yote ya vikosi kazi vyote havitasaiia chochote kama wadau watafukia yaliyopita bila kuongelea uchaguzi wa 2020. 1. Inabidi yote mabaya yaliyotokea yasemwe na wadau wote kwa uwazi 2. Inabidi wadau wote wakubaliane kurekebisha...
  14. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kenya waanza kusema kuwa Simba ni yao....

    Hawa jamaa sijui wanavuta bhangi au nini? Nilikuwa naongea na mkenya mmoja kuhusiana na mpira .... Hasa kwa nchi za East Africa hakujua kama natokea Tanzania. Yeye anajua mimi ni Black American. Nikamuuliza kwa East Africa kwa sasa ni team gani zinafanya vizuri kimpira. Akajibu bila aibu kuwa...
  15. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Hebu tuwekane sawa, ndio kusema Rasimu ya Jaji Warioba imezikwa?

    Wanasiasa hebu twende taratibu maana mnatuchanganya, hivi ndio kusema kazi nzuri iliyofanywa na tume/kamati ya Jaji Warioba ndio dead and burried na sasa tunaletewa usanii wa kikosi kazi kilichojaa wahuni na walafi? Hebu tuelimishane hapa wengine tunashindwa hata kuelewa kinachoendelea, maana...
  16. N

    JamiiForums Tanzania huyu mlokole kanikwaza, ingawa naogopa kusema hivyo!

    alikuwa na shida ya muda mrefu, na nimehangaika kweli kumsaidia nikiwa kama msimamizi wake wa kituo. Katika kumsaidia huko nimejikuta nikikaripiwa, nikizodolewa, nikishutumiwa n.k. Juzi, baada ya miaka kama mitatu ya kuhangaika, amefanikiwa. Cha ajabu baada tu ya mafanikio anatuma ujumbe, 'dunia...
  17. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais wa JMT. Nimeona nyumba wanazojengewa wakazi wa Ngorongoro huku Handeni. Kusema kweli unastahili kuwa Rais wa JMT

    Kusema ukweli Huyu mama sio wa kawaida. Nimeona nyumba za kudumu na kisasa wanazojengewa wakazi wa Ngorongoro wanaohamishiwa Mkoani Tanga maeneo ya Handeni na Kilindi. Ni nyumba za kisasa zinazoakisi akili ya Serikali yako katika kupanga na kutekeleza mipango thabiti kwa maslahi ya Tanzania...
  18. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Makonda: Ghalib usinilazimishe kusema uozo wako, achia mali yangu. Walioko nyuma yako nawajua

    Wakati Wakili wa mfanyabiashara maarufu nchini, Ghalib Said Mohamed (GSM), Alex Mgongolwa ameweka wazi vielelezo vya umiliki wa eneo kiwanja namba 60 lililopo Regent Estate Kinondoni jijini hapa, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amemtaka mfanyabiashara huyo kumwachia mali...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Kwa waislamu wenzangu, naombeni mnisaidie hukumu ya kusema uongo

    Naam uzi huu naulenga kwa waislamu wenzangu. Je kwa anaefahamu, ipi ni hukumu ya kusema uongo, mtu afanye nini kujitakasa na dhambi iyo baada ya kua ameshaitenda na hawezi badilisha matokeo ya uongo huo?
  20. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Polisi watelekeza mwili wa mwananchi aliyeshambuliwa na Wanyama wakali shambani. Vipaumbele vya Jeshi la Polisi vinafikirisha sana

    Kijijini Mjesani, Muheza. Mzee mmoja alipotea juzi Jumatatu, wanakijiij wakaanza kumsaka. Leo mchana mwili wake umekutwa shambani, umeharibika sana na umeng'atwa na wanyama. Wanakijiii wametoa taarifa kwa Polisi wilayani, askari wamejibu watakwenda kesho. Mwili bado upo shambani.
Back
Top Bottom