kusema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Ni polisi tu ndio wanaruhusiwa kusema uhalifu unaongezeka

    Polisi wakitaja ongezeko la uhalifu,wanatoa takwimu. Mpaka sasa polisi hawajafanya hivyo. Kwa vile zimetokea spectacular murders, watu wameingia wasiwasi. Na huyu rais always anatafuta nafasi ya kuwaweka wanawake kwenye uongozi. Kamanda Sirro anaweza kushughulikia haya matatizo. Watu kuuana...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Aibu: TFF washangilia ranks za IFFHS huku wakiihujumu Simba iliyosababisha yote, makanjanja yakwepa kusema Simba ya 7 Afrika 98 duniani

    Huwezi amini ....yaani billion moja ya udhamini mwenza kwa mwaka imewatoa roho na imani na bila aibu leo wanashehereka ranks za ligi bora iliyo chini ya Tff ya mchongo na bodi chakavu ya ligi. Ni hawahawa wanafiki walimzuia siingie uwanjani CEO wa team iliyosababisha ranks na heshima kwa nchi...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kesi ya Mbowe 01/02/2022. Luteni Denis Urio amaliza kutoa ushahidi wake. Shahidi wa 13 kuanza 04/02/2022

    Habari Wakuu, Leo 01/ 02/ 2022 shahidi wa 12 Denis Urio amemaliza kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki: Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa...
  4. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Papa Benedict XVI akiri kusema uongo katika kumtetea Padri aliekua analawiti wavulana

    Papa mstaafu Benedict XVI amekiri kwamba aliwahi kusema uongo kwa wachunguzi na wapelelezi wa kesi ya kuwalawiti watoto kuhusu padri aliekua anachunguzwa kwa kuwalawiti wavulana. Papa Benedict ameomba asamehewe kwa kusema uongo na kuficha ukweli kwa wachunguzi. Soma mwenyewe hapa
  5. Najaf

    JamiiForums Tanzania Wakina dada nisaidieni hili, mwenzenu ameona aibu kusema!

    Nina mrembo nimekuwa nae kwenye mahusiano Kwa kipindi fulani. Lakini wakati wakushiriki nae tendo huwa anasema "Nikikaa hivi inachoma choma bwana inachoma". Nikimuuliza unafurahia au unaumia hajibu, anasema we Fanya tu. Hebu naomba mnisaidie hapo inakua Ina maumivu au Raha maana muda mwingine...
  6. vnn

    JamiiForums Tanzania Kusema ukweli mtaani hali ni mbaya, cha kushangaza viongozi hawajali kabisa

    Hali ni mbaya hali ni mbaya kupita maelezo, mitaani hali inazidi kuwa tete vitu havishikiki bei nashangaa imekuaje kumekua na mfumuko wa bei za bidhaa wa ghafla namna hii? yani vitu vimepanda bei kwanzia dawa ya mswaki mpaka vifaa vya kielekroniki na vifaa vya ujenzi, mfumuko wa bei huu...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kusema leo siku ya 40 ya mwaka mpya anamaanisha nini?

    Natanguliza ombi la msamaha kama ilitokea nimemsikia vibaya Mhe. Waziri mkuu wakati akitoa salamu za serikali wakati wa uapisho wa viongozi, ikulu Dodoma leo. Mhe. Waziri Mkuu amesema leo ni siku ya 40 ya mwaka mpya wakati leo ni siku ya 10 tu. Je, Waziri Mkuu alikuwa ana maana gani? Je...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Rais ana taarifa nyingi za siri, hakukurupuka kusema wanafanya hivyo kwa sababu ya "2025 fever". Muda ni hakimu wa haki

    Kabla ya kuzusha ya kuzusha juu ya suala la Ndugai kujiuzulu kwamba ameamua kufanywa hivyo kwa kutopendezwa kwake na mikopo tujipe muda wa kufikiri kwa undani. Ndugai amehudumu kama naibu spika kwenye bunge la Makinda lakini hakuwahi kuhoji kwa dharau kama alivyofanya kwa Rais Samia. Kwa nini...
  9. Mtondoli

    JamiiForums Tanzania Tundu lissu alipata kusema, wakitumaliza sisi watageukiana wao kwa wao

    Vita hii ilikuwa ndogo Sana, ilitakiwa iishie ofisini tu na kwenye kamati za maadili ya chama. Lakini Sasa matamshi ya mama si tu yatufanya watanzania tuhamaki la Bali dunia nzima habari hii itarushwa. Jiwe la Ndugai kwa Rais lilikuwa la kawaida tu lakini jiwe la mama kwa Ndugai ni kama...
  10. babu M

    JamiiForums Tanzania Hii kusema "huko kwa kina Kassim" ina maana gani?

  11. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kubwa kwa Waziri Mwigulu kusema Serikali ndiyo hulipa madeni

    Hii ya leo hakika bwana Waziri Nchemba ni zaidi ya utovu wa nidhamu kwa walipa kodi! Unatoa wapi uthubutu wa kudai Serikali ndiyo hulipa madeni na si wananchi?! Kwamba bila kodi ya wananchi Serikali bado ingeweza kulipa deni?! Hii ni zaidi ya dharau kutoka kwa mtu aliyeshiba. Ukweli ni...
  12. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ndungai hajatoa taarifa ya kusema alinukuliwa vibaya, hivyo alidhamiria kusema alichose na, Dk Tulia, anza kupiga jaramba

    Bila shaka Ndungai alidhamiria kusema alichosema kwa kuisema serikali. Nnadhani Sasa SSH aanze kusuka watu watakaoliongoza Bunge muda si mrefu, au baada ya uchaguzi wa 2025, Tulia, kaa kwa tahadhari,jamaa wa kongwa ameshajua kiti hicho utakikalia, asije akakufanyia mambo yake aliyoyasema Humphrey
  13. Course Coordinator

    JamiiForums Tanzania Ndugai alimaanisha nini kusema 2025 wananchi wawapime kama wataendelea na hawa wakopaji?

    Nimeshindwa kuelewa kwa kina juu ya maneno ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Spika nilimwelewa kwamba kuna tozo zinazoendelea kutozwa zililenga kuondoa upungufu wa madarasa. Lakini tutakopa tena 1.3 trioni kwa ajili ya kujenga tena madarasa. Ukweli ni kuwa tozo pekee...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hii ya Mtoto kufa baadae kuonekana hai tuiitaje

    Mtoto mwenye miaka 11 mkazi wa kijiji cha Ngemo kata Ngemo Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita amezua taharuki kwa kuonekana hai tena baada ya kufariki miaka minne iliyopita. Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Geita, Kamishana msaidiizi Henry Mwaibambe amesema mtoto...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kumbe Zitto kapangiwa cha kusema mkutanoni

    kumbe baada ya kuona jinsi kesi ya mwamba Mbowe inavyoiweka uchi serikali nzima na kuwashusha hadhi makomandoo mbele ya watz Chief Hangaya alimpatia kibaraka Zitto Kabwe maneno ya kusema ili apate namna ya kumuachia Mbowe
  16. M

    JamiiForums Tanzania Sahihi kusema Arusha ndio Jiji bora Tanzania?

    Ni miaka 10 tu imepita tangu mji huu maarufu kama Geneva of Africa utangazwe kuwa jiji. Kutoka kuwa mji wa 9 kwa wingi wa watu hadi kuwa mji wa 3 kwa sensa ya mwaka 2012 na halmashauri ya jiji ya pili kwa wingi wa watu, licha ya upya wake. Lakini ndio jiji lenye hospitali nyingi za private kwa...
  17. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Chimamanda Ngozi Adichie:‘Nataka kusema kilicho fikrani mwangu’

    Kwa wengi, Chimamanda Ngozi Adichie alipata umaarufu wakati mazungumzo yake kwenye TED Talk, “We should all be feminists” iliposhirikishwa katika wimbo wa Beyoncé Flawless, lakini vitabu vyake vimetafsiriwa katika lugha zaidi ya 30 duniani kote. Mwandishi huyu maarufu wa Nigeria anazungumzia...
  18. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Sasa ndio nimeelewa kauli ya kusema nimesacrifice maisha yangu kwaajili ya Watanzania maskini

    Ndugu zangu Sasa ndio nimeelewa kauli ya kusema nimesacrifice maisha yangu kwaajili ya watanzania maskini. Nimeelewa hivi kiongozi kusacrifice maisha yake kwaajili ya watanzania ni kitendo cha kutumia fedha zote za umma kuijenga Tanzania na kukataa kushirikiana na viongozi wenzake wenye nia ya...
  19. demigod

    JamiiForums Tanzania Ninaipenda Taifa Stars Ila Nasikitika Kusema kuwa Inaendwa kufungwa na DR Congo pale pale Kwa Mkapa

    Taifa Stars ine tabia chafu fulani hivi kama mmewahi kuichunguza kwa undani. Kwa mfano inaweza kukupa matumaini mazuri kuwa wako fit na wako poa lakini inangoja kipindi kizuri ambacho kila mtanzania anaiaminia. Hiko ndiko kipindi ambacho Taifa Stars inaenda kuvunja mioyo yetu. Mimi...
  20. May Day

    JamiiForums Tanzania Hii kusema kuwa Waamuzi wanazibeba timu kubwa ni kuwatwika mzigo isiyostahili

    Kumekuwa na mijadala iliyoibuka haswa kwa hizi timu zetu kongwe huku kila upande wakijaribu kutumu kuwa Refa alipendelea timu kubwa. Mbaya zaidi ni pale hata wale wenye nafasi ya kusikilizwa au kuaminiwa kama Makocha, nao wakiingia kwenye mkumbo huo. Inashangaza na kuhuzunisha kwa Mtu Mzima...
Back
Top Bottom