kurudisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ninawaomba watanzania kuanza kurudisha kadi za CCM

    Watanzania anzeni kurudisha kadi za CCM kwa Ma DC haraka iwezekanavyo Kufanya hivyo, kutamfanya Rais Samia kuachia Ikulu kwa sababu, kati ya vitu ambavyo hawezi kuvumilia kabisa kufanya kazi na kila mteule wake, ni cadi za CCM tu kurudishwa kwenye ofs zao Na ili bandari zetu zipone, dawa ni...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Unatakiwa kupewa nini baada ya kurudisha mkopo wote benki?

    Habari, Naomba tuelimishane kuhusu mikopo ya bank kwa wafanyakasi na wafanya biashara. Pale umefanikisha kurudisha mkopo wao wote, wanatakiwa kukupa nini Je, utarudisha mkopo uondoke zako bila kupewa chochote, nauliza kwakua unapo chukua mkopo, unasign mikataba, unajaza fomu, unandika barua...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada kurudisha Yahoo mail adress tafadhali

    Habari ndugu Nakuja hapa naomba mnisaidie Nilikua na Yahoo adress ambayo imeshikilia vitu vingi lakini kikubwa kikiwa ni attached credentials zangu ambazo ni vyeti vyangu na docs nyingine za muhimu Original hard copy ya vitu vyote hivyo nimepoteza Nimejaribu kwenda kwenye help desk za yahoo...
  4. JamiiForums Tanzania Inawezekana kurudisha namba ya simu ambayo ameshasajiliwa mtu mwingine?

    Nilipoteza namba yangu ya voda kabla haujaingia mfumo huu wa sasa wa kusajili kwa NIDA na kuthibitisha. Baada ya huu utaratibu kuanza ikawa imepewa mteja mwingine. Natamani niirejeshe iwe yangu kwa sababu nilijiunga nayo vitu vingi vya muhimu ikiwamo email na kwa sasa siwezi kutumia email...
  5. JamiiForums Tanzania Je simu iliyofanya Factory reset inaweza kurudisha faili zake?

    Kama kicha cha habari kinavyouliza je inawezekana? Kwa bahati mbaya simu yangu katika kubonyeza bonyeza nikafanya Factory Reset na ndani kuna vitu muhimu sana na sikuwahi kufanya Backup ya chochote. Kwa mwenye uelewa wowote anisaidie tafadhali
  6. JamiiForums Tanzania Mrithi wa Samia ana kazi nzito kurudisha uchumi wa Tanzania kwenye Mstari

    Katika Jambo linalotishia uhai wa taifa Letu ni kuelemwa na madeni huku pesa yetu ikikosa thamani kabisa, Hakuna juhudi zozote Za makusudi zinazofanywa na seriakli ya Samia kuokoa uchumi wa Taifa letu... Ni masikitiko makubwa Kwamba Sasa watu wanchota mihela Kwa kadri wawezavyo nakukopa mikopo...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Ubovu wa sera na mitaala ya elimu 2023 - kurudisha ufundi sekondari ni kukosa dira na mipango

    Watanzania hii fursa ya kurekebisha mitaala ni fursa adhimu sana, ni nafasi ya kuweka mambo mengi sawa lakini fursa hiyo inaweza kupotezwa na watu wachache bila kuwa na maono yoyote wakavuruga. Mpaka leo najiuliza ni mtaalamu gani anayeweza kutoa mapendekezo butu na kujaribu kuvuruga dira za...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

    Habari za weekend, Jamani wanawake mwenzangu naombeni ushauri. Mimi ni mama nina umri wa miaka 38 nina watoto 3. Kwa ufupi mimi na mume wangu tulikuwa tunaishi kwa furaha sana, tena furaha sana, tulikuwa kila weekend lazima tutoke out na kufanya shopping za kawaida tuu. Tulikuwa ni watu wa...
  9. JamiiForums Tanzania Anatumia Mabilioni Kurudisha Nyuma Umri Wake

    Mjasiriamali wa teknolojia Bryan Johnson anatumia mamilioni ya dola kwa mwaka kujaribu kurejesha nyuma umri wake halisi wa kibiolojia wa miaka 45. Byan hufanyiwa vipimo vya mara kwa mara na matibabu na kundi la wataalamu linaojumuisha madaktari 30 na wanasayansi, BBC inaripoti. Muonekano wa...
  10. JamiiForums Tanzania Kenya: Kabarak University yashindwa kurudisha hacked FB page yao! Waamua kufungua Page mpya😅😅😅😂😂

    Hii habari inasikitisha sana sana na wanazuoni wa Kenya na Afrika kwa ujumla! Kijana wa kichina ame hack page ya chuo kikuu na amewaomba wampe USD 500 Awarudishie page yao! Kabarak Uni wana idara ya IT na wanafundisha IT pia, wameshindwa kuonesha ubora kwa jambo hili, walichofanya ni kutoa...
  11. JamiiForums Tanzania Nataka niagize Dye za kurudisha rangi za nguo zilizopauka rangi na kuchuja, Nipeni mawazo yenu ya ziada kuhusu hii business idea kwa bongo

    Habari zenu wakuu, nimepitia pitia mitandao ya huko kwa wenzetu nimeona kwamba huwa kuna unga ama vimiminika vinarejesha rangi za nguo zilizopauka rangi. Kwa hapa kwetu nimeona nguo hasa hizi za dukani zina janga la kuondosha rangi hara sana waweza kununu aipo fresh ila ukifua nara mbili ama...
  12. JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza kununua Dye ya kurudisha (refurbish) rangi za nguo?

    Dye ni unga au maji maji ambayo hutumika kubadili rangi, tuliyoizoea wengi ni ya nywele inaitwa picco, pia huwa kuna dye maalum kwajili ya nguo ambayo hutumika kurejesha rangi ya nguo hasa hizi jeans na cardets. Ni wapi naweza kuipata?
  13. K

    JamiiForums Tanzania TANROADS mnapata hela za kurudisha wakati huku Kibamba tuna lami chini ya asilimia 5 jimbo zima?

    Nimesoma moja ya post humu kwamba kwa mujibu wa CAG, Tanroads walikuwa na bakaa kwenye bajeti yao. Nimesikitika sana kwa kweli. Hali ilivyo mbaya sana tena sana kwenye jimbo la kibamba kwa barabara zilizopo chini ya Tanroads, alafu inapatikana hela ya kurudi serikalini? Hii si ni dharau kweli...
  14. JamiiForums Tanzania Songea: Wanafunzi waliopatiwa dawa za meno za msaada watakiwa kurudisha mara moja

    Baada ya wadau wasiofahamika bado kuwa ni kutoka taasisi ipi kugawa dawa za meno na miswaki kwa shule za.msingi Songea. Leo imetoka taarifa kwa walimu wakuu kuwataka kuwaambia wanafunz hao warudishe vitu hivyo mara moja. Bado haijajulikana zaidi kwann hili limekua hivi hadi sasa.
  15. JamiiForums Tanzania MJADALA HURU: Nini kimeshusha Maadili kwa Viongozi wa Kuteuliwa?

    Viongozi, kumekuwa na mijadala kuhusu viongozi hususa, hawa wa kuteuliwa kutokuwa na maadili na matokeo yake kuonekana kama vyeo vya asante na shukrani kwa makada. Je, nini kimechangia kushusha maandali? Je, ni upatikanaji wao? Kutokuandaliwa vizuri kuja kuongoza ama ni kuteuliwa kwa kujuana...
  16. JamiiForums Tanzania Nimeota Simba atapigwa 5 ila atafanikiwa kurudisha kipindi cha pili, Sijajua ni kati ya Horoya au Raja Casablanca

    Wakuu, Hii ndoto nimeota mtu kapigwa 5 then zikarudi kwenye secons half, Japo sijajua ni mpinzani yupi kati ya Horoya au Raja Casablanca. NB: Ni ndoto tu, No guarantee.
  17. JamiiForums Tanzania Bila uchawi wa kurudisha basi reverse, Simba ingefungwa O-1O

    Lile basi la Simba Lilipokuwa likirudi nyuma kwa kasi lilikuwa llinapunguza idadi ya magoli. Jana mnyama angetotolesha vitoto kumi
  18. JamiiForums Tanzania Wahamiaji haramu 3,000 kwenye magereza yetu! Hatuwezi kuwarejesha kwao tukaokoa gharama za kutunza?

  19. L

    JamiiForums Tanzania Kazi ya kurudisha chombo cha anga za juu cha Tianzhou - 4 yakamilika

    Chombo cha kupeleka mizigo katika anga za juu cha China cha Tianzhou - 4 kimerejea angani. Vipande vingi vya chombo hicho viliteketea wakati wa mchakato huo, huku vipande vichache vikianguka kwenye eneo la kusini la bahari ya Pasifiki kama ilivyopangwa.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ukraine yafanikiwa kurudisha Maji na Umeme Kiev

    Baada ya Urusi kupiga miundo mbinu ya maji na umeme huko Kiev. Maengineer na Mafundi wa Ukraine wanefanikiwa kurudisha umeme na Maji katika mji mzima wa Kiev. Hayo yamesemwa na Mayor wa jiji la Kiev. Wakati huohuo Ukraine imesema imefanikiwa kudondosha Drone 8 za Urusi ilizopewa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…