kurudisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. excel

    JamiiForums Tanzania Nifundisheni jinsi ya kurudisha sms zilizofutwa kwenye simu (smartphone)

    Habari wana Tech wa JF? Naomba mnisaidie namna ya kufanya sms recovery kwenye smartphone yangu Natumia samsung galaxy A05, Kuna wakati nakuta sms muhimu sana zimefutwa hata kwenye recycle bin hazipo Nawezaje kuzirudisha? Au ni download APP gani ambayo itakaa humo na kunitunzia hizo sms...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kufukuzwa kwa Miguel Gamondi : Natangaza waziwazi kurudisha kadi yangu ya Uwanachama wa Young Africans

    Uzi usiwe mreeeeefu. Nimeamua rasmi kuacha kuishabikia Yanga na hivi sasa naachana na iliyokuwa kadi yangu ya uwanachama wa klabu ya Yanga. Haya ni maamuzi magumu ninayoyachukua kama ambavyo msomali na genge lake la waarabu walivyoamua kuinajisi klabu yetu na kuifanya kuwa mali ya familia...
  3. Kichwa kikubw

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kurudisha file la mobile data Icon kwa juu ya simu Galaxy A15 yangu

    Wanajukwa habari za wakati huu ndugu jamaa na marafiki natumai nyote ni wazima waafya .Lengo kuu la kuandika uzi huu nikuwaombeni msaada wale wataalamu wa maswala ya Technology and science in computer skills and accessories. Jaman mm natumia simu aina ya Samsung galaxy A15 nimei UPDATE jana...
  4. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Kuna application inayoweza kurudisha contacts zilizofuta.?

    Nimejaribu kutafuta playstore badluck nilizokuta nazo zimeshindwa kurecover namba ambazo nilizofuta intentionally.
  5. Mende mdudu

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu la kijasusi Israel kurudisha ndege zake nyuma kuto ishambulia Iran

    Natamani nimjue alie mpa elimu ya ujasusi netanyau maana ana akili kubwa sana. Kweny ujasusi kuna kitu kinaitwa False flag. FALSE FLAG;a political or military action that is made to appear to have been carried out by a group that is not actually responsible: Credit definition Geogle Walicho...
  6. tustary software develope

    JamiiForums Tanzania Namna ya kurudisha account ya FaceBook iliyodukuliwa

    Ikiwa akaunti yako ya Facebook imedukuliwa, unapaswa kuchukua hatua haraka ili kujaribu kuirejesha. Hapa kuna hatua za kufuata: 1. Badilisha nenosiri mara moja: - Ikiwa bado unaweza kuingia kwenye akaunti yako, nenda kwenye Mipangilio(settings) -> Usalama na Kuingia-> **Badilisha Nenosiri...
  7. P

    JamiiForums Tanzania CCM kufanya Kikao cha Kamati Kuu Sep 1, 2024. Wamepata kisingizio cha kukimbia mdahalo wa Makatibu Wakuu Star TV

    Wakuu, Kikao cha Kamati kuu kilichokuwa kifanyike tar 2 Sep kimerudishwa nyuma hadi tar 1, na Nchimbi yuko katika kufanya maandalizi ya kikao hicho. Kazi kwelikweli! === Kada wa CCM asemasema Nchimbi yuko katika maandalizi ya kikao hicho 'muhimu' hivyo wengine wangeendelea kufanya mdahalo...
  8. Archnemesis 2-0

    JamiiForums Tanzania Ustaarabu wa kurudisha miamala iliyokosewa

    Happy Saturday viongozi, Kwanza tuweke swala moja bayana hali ni ngumuuu, aisee maisha ni tight naona sio kwa muajiriwa au mfanya biashara ila nisiongelee wengine sema kwa cycle yangu kila mtu analia noki nimegundua nina cycle ya ajabu ata nikitaka laki 5 ya chap sina wa kuniazima dah. Twende...
  9. Twinawe

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini ili kurudisha fingerprints za mikono yangu

    Wazee habari za majukumu nina shida ya ngozi ambayo inapelekea fingerprint za mikono yangu kadiri siku zinavyozidi kwenda . Binafsi mi likija suala linalohusisha fingerprint kwangu uwa ni kimbembe psychological uwa inaniumiza sababu ni case inayojirudia mara kwa mara kutokana na life style...
  10. G

    JamiiForums Tanzania CWT wamejipanga kurudisha imani kwa wanachama wao waliokimbilia CHAHUWATA

    Wakati mwaka ndio kwanza umepinduka, hali ya mwalimu bado ni tete. Ahadi walizopewa na mwajiri hazijatekelezwa. Sasa viongozi wa CWT wilaya wanafanya ziara ili kurudisha imani na matumaini kwa wanachama wao kwamba mambo yatakuwa mazuri muda siomrefu. Kwa ufupi maswali wanayoulizwa wanashindwa...
  11. X

    JamiiForums Tanzania ChinaTech: Italy walijitoa katika BRI ya China, hatimaye Waziri Mkuu wa Italy atembelea China kuomba kurudisha tena ushirikiano kati ya mataifa hayo

    Mwanamama Giorgia Meloni alishinda uchaguzi mkuu wa Italy mwaka 2023 na kuwa Waziri Mkuu wa taifa hilo ambalo pia ni member wa G7 na NATO. Alipoingia tu madarakani, kwa shinikizo la Marekani na mataifa mengine ya Ulaya akaiondoa Italy kutoka kwenye mpango wa China unaoitwa BRI na kumkosoa...
  12. Bunchari

    JamiiForums Tanzania Kwanini mabasi mengi yanayobeba kupeleka watoto shuleni na kurudisha majumbani yanakua yamechoka sana?

    Habari wakuu hope mtakua mnaendelea vema na weekend Nimekua najiuliza kwanini magari yanayobeba watoto wa shule yamekua katika Hali mbaya sana kiufanisi N:B sio lengo langu kuwafundisha wa husika kazi na Wala sina mamlaka ya kuhoji katika hili.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwa ukubwa wa usajili wanaoufanya Simba Sc kwa msimu wa 2024/2025, natangaza rasmi kurudisha kadi yangu ya Yanga na kuhamia Simba Sc

    Shalom shalom Mimi kama mkono mmoja pasi na kushurutishwa napenda kuitangazia jamuhuri ya watanzania kuwa nairudisha kadi yangu ya Yanga Sc na rasmi sasa hivi nakuwa mshabiki kindakindaki wa wana lunyasi Simba sc. Umafia unaofanywa na bilionea Mo na C.Magori si wa kitoto. Wachezaji wanaoletwa...
  14. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Mangungu alikuwa sahihi kukataa kujiuzulu, mhindi alitaka kufanya maigizo ya kuwaondoa wajumbe wake kisha kurudisha wale wale!

    Mangungu ni Kama alishtukia kamchezo ka mhindi wa Bombay alikotaka kukafanya ili na yeye akae pembeni afanikishe jambo lake lakini mtoto wa mjini akausoma mchezo kwa umakini na kuupangua! Bwana kanjibhai karudisha wajumbe wa bodi wale wale kina try again Sasa unajiuliza kulikuwa na haja Gani ya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Dira ya Kurudisha Fadhila ya Asili

    Jua linapochomoza juu ya tambarare kubwa za Serengeti, milio ya ndege na mivumo ya nyumbu hujaa hewani tena. Hii ndiyo Tanzania tunayoitaka – taifa ambalo viumbe vilivyo hatarini kutoweka sio tu vinaishi, bali vinastawi katika makazi yao ya asili. Mahali ambapo shughuli za binadamu zipo kwa...
  16. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Duh instagram imejaa matangazo ya waganga mara kuiba mume wa mtu, libwata na kurudisha nyota.

    Ukitaka kula pesa ya mwa afrika basi uijiingize ktk huduma za kiroho na ukitaka kujua roho chafu za watu basi mnunulie pombe mganga alewe alafu akuambie mambo anayoletewa kuyafanyia kazi. Ni mapicha unayaona tu mara mbuzi ameuliwa na amechorwa maumbo na alama tofauti. Alafu chini ya posts zao...
  17. ngara23

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO mmeanza kukata umeme mchana na kurudisha usiku wa manane

    TANESCO hivi kiangazi ndo kimeanza hata wiki haijapita mmeanza kukata umeme na kusingizia kina cha maji. Tafadhali sana mnatupa hasara, biashara haziendi tuna mikopo ya benki, nyie mpo ofsini mnasubiri mishahara ya serikali sisi hatuna hiyo mishahara tunaitafuta wenyewe na Kodi tunalipa TRA...
  18. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: GSM wanavyomtumia Hamisa Mobeto kurudisha mamilioni atakayopewa Aziz Ki

    Hakuna mapenzi ya kweli pale bali ni project ya GSM. Aziz Ali Ki anataka mpunga mrefu sana toka GSM ili asalie mitaa ya jangwani. GSM wameona njia pekee ni kumtumia Delila Hamisa Mobeto kurudisha hata nusu ya hela atakayopewa. Mliopata atleast D mbili(two principal passes) mtanielewa
  19. Shammy-

    JamiiForums Tanzania Nmana gani naweza kusoma ama kirejesha deleted message kwa Whatsapp?

    Kichwa chajieleza vizuri, naomba mnisaidie ni kwa nmana gani naweza kusoma ama kirejesha deleted message kwa Whatsapp ikiwa natumia Whatsapp ya kawaida tofatu na gb Whatsapp, fm WhatsApp n.k Kama Kuna App ya kurudisha deleted message basi naomba kufahamishwa. Ova.
  20. Mc Justine Mwakibiki

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ni nani wa kurudisha tabasamu la Mwalimu?

    Kila Kona ya nchi yetu kumejaa madimbwi, Machozi kila Kona kila chozi linalotoka linaashiria machungu na maumivu, ni nani aliyetayari kukausha madimbwi haya?, ni nani wa kumfuta machozi huyu anaelia Januari mpaka Disemba?, amesahaulika na kila mti nia wa Nchi na hata Mtia nia Jimboni kwake, kila...
Back
Top Bottom