kurudisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Bila uchawi wa kurudisha basi reverse, Simba ingefungwa O-1O

    Lile basi la Simba Lilipokuwa likirudi nyuma kwa kasi lilikuwa llinapunguza idadi ya magoli. Jana mnyama angetotolesha vitoto kumi
  2. comte

    JamiiForums Tanzania Wahamiaji haramu 3,000 kwenye magereza yetu! Hatuwezi kuwarejesha kwao tukaokoa gharama za kutunza?

  3. L

    JamiiForums Tanzania Kazi ya kurudisha chombo cha anga za juu cha Tianzhou - 4 yakamilika

    Chombo cha kupeleka mizigo katika anga za juu cha China cha Tianzhou - 4 kimerejea angani. Vipande vingi vya chombo hicho viliteketea wakati wa mchakato huo, huku vipande vichache vikianguka kwenye eneo la kusini la bahari ya Pasifiki kama ilivyopangwa.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ukraine yafanikiwa kurudisha Maji na Umeme Kiev

    Baada ya Urusi kupiga miundo mbinu ya maji na umeme huko Kiev. Maengineer na Mafundi wa Ukraine wanefanikiwa kurudisha umeme na Maji katika mji mzima wa Kiev. Hayo yamesemwa na Mayor wa jiji la Kiev. Wakati huohuo Ukraine imesema imefanikiwa kudondosha Drone 8 za Urusi ilizopewa na...
  5. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Zile timu ambazo tulikuwa tunazipokea zikija Dar sasa ni wakati wa kurudisha ukarimu wetu kwao

    Hii timu yetu imepitia kipindi cha hovyo sana miaka ya hivi karibuni. Kila nikikumbuka naona kama kuna laana fulani iliachwa kwetu. Nawaza tunaenda Sudan, ni akina nani watatupokea kule kama ambavyo sisi tuliwapokea wao? Ili Taifa liendelee linahitaji kuondokana na maadui watatu. 1. Upumbavu 2...
  6. Messenger RNA

    JamiiForums Tanzania Urusi yaapa kurudisha maeneo yote yaliyotekwa na Ukraine

    Msemaji huyo wa Kremlin Dmitry Peskov ameiambia BBC kuwa Russia itachukua maeneo yote ambayo kwa sasa inayakimbia. Pia ameongeza kuwa "maeneo yaliyonyakuliwa yatakuwa ya russia daima dumu na hayakuja kurudi Ukraine"
  7. Replica

    JamiiForums Tanzania Serikali kurudisha Ligi ya Muungano ili kuupa afya Muungano, yaunda kamati kutathmini gharama

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Pauline Gekul akijibu swali Bungeni amesema Kamati imeundwa kufanya tathimini ya kurejesha Ligi ya Muungano ambayo inajumuisha timu kutoka Tanzania Bara na Zanzibar. Waziri Gekul amesema “Tumekuwa na mazungumzo kati ya TFF, BMT na ZFF kwa...
  8. dinongo

    JamiiForums Tanzania Je! Kuna namna zakufanya kurudisha number ambayo imefutwa?

    salaam, Hivi wataalamu Kuna namna za kufanya hili kurejesha number ya simu ambayo uliifuta kwa hasira, Kuna mtu nilifuta number yake kwa hasira Sasa kuna ishu muhimu nae, na namna za kumpata hakuna "kulalaleki!
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Marekani kurudisha zaidi ya Tsh. Bilioni 53 zilizochukuliwa na Sani Abacha

    Zaidi ya Tsh. Bilioni 53 zilizochukuliwa na mtawala wa zamani wa kijeshi Sani Abacha, zitakabidhiwa kwa serikali ya Nigeria baada ya nchi hizo mbili kutia saini makubaliano. Balozi wa Marekani nchini humo, Mary Beth Leonard alisema pesa hizo zilikuwa kwenye akaunti za Uingereza lakini...
  10. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Baba yangu wa kike anataka kuniozesha ili kurudisha mahari yake

    Habari wanaJamiiForums, habari watanzania wenzangu. Naitwa suzana, kama mwandishi wa habari wa kujitegemea nimepata Fursa ya kuonana na kuzungumza na binti mmoja, muhanga wa mila potofu (nyumba ntobhu) ambaye amenisimulia mkasa wake. Hivyo nami nauleta kwenu kwani kuna mambo ya kujifunza...
  11. Mbaga Jr

    JamiiForums Tanzania Dstv wanaweza kurudisha pesa kama umenunua kifurushi mara mbili?

    Inasikitisha sana wakuu
  12. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Ni ipi dawa ya kurudisha mn'gao wa rangi ya nguo, au kuzuia nguo isipauke hasa nyeusi?

    Wataalamu na wasomi na wajuzi hivi kwa bongo hizi dawa zipo. Watafiti tunaomba dawa ya kurudisha nguo ziwe mpya maana nakumbuka zamani tulivaa nguo hadi ichanike, ila sasa hivi hata ikipauka tu tayari inaonekana chakavu hata kama bado haijaqualify kuwa dekio jipya. Sasa si wengine tunataka...
  13. Conwel Ngani

    JamiiForums Tanzania Airtel na Voda wanarushiana mpira hawataki kurudisha hela yangu. Je, ni watanzania wangapi wanaibiwa kwa kukata tamaa kufatilia?

    Siku ya alhamisi nilinunua salio la Tsh. 3,000 kutoka airtel money kwenda Voda. Airtel walirudisha msg kuwa muamala umefanyika na salio wakakata. Vodacom hakukuwa na taarifa yoyote kama muamala umepokelewa. Napowapigia airtel wanasema kwao muamala ulifanyika niwaulize voda. Voda wanasema...
  14. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Umewahi kumsaidia mtu ambae mnajuana kidogo au humjui kabisa bila malipo / masharti na siku za mbele akaja kukusaidia ili kurudisha fadhila

    Huwaga naskia kuna stori kwamba kuna watu huwa wanakuja kusaidiwa huko mbele ya safari na watu wasiowajua ama kujuana kwa mbali ambao waliwahi kuwasaidia kipindi ha nyuma. Je, wewe ni moja wapo ama una mtu unaemjua uliewahi kushuhudia kaja kusaidiwa na mtu ambae aliwahi kumsaidia na walikuwa...
  15. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Ni kigezo kipi kimetumika kurudisha kodi ya kichwa wakati tayari ilihamishiwa kwenye bidhaa?

    Wazazi walinihadithia kwamba hapo zamani, wazazi wao wa kiume(babu zangu) walikuwa wanatabia ya kukimbia na kujificha maporini pale ambapo walikuwa hawajalipa kodi ya kichwa, maana familia ilikuwa ni kubwa, na hapakuwa na pesa ya ziada ya kwenda kulipa kodi ya kichwa, hivyo kuna kipindi...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Serikali yakamilisha utaratibu kurudisha umiliki wa mali/taasisi zilizokuwa za umma ikiwemo Hospital ya Dar Group

    Kupitia hotuba ya waziri wa fedha na mipango Mh. Mwaigulu Nchemba leo bungeni wakati akiwasilisha bajeti ya wizara ya fedha ya mwaka 2022/2023 amethibitisha kukamilika kwa hatua za ukaguzi wa mali na madeni ya taasisi mbali mbali ambazo zilikua ni mali ya serikali ,na miongoni mwa taasisi hizo...
  17. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Choo kurudisha harufu ndani. Je, vyoo vya kukaa ni bora kuliko vya kuchuchumaa?

    Choo kurudisha harufu ndani. Je vyoo vya kukaa ni bora kuliko vya kuchuchumaa? Eti wakuu, kuna vyoo vya kukaa vina ahueni kwenye hili suala?
  18. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kuondoa na kurudisha sh. 100 kwenye bei ya mafuta nani awajibike?

    Rais Mama Samia alirejesha tozo ya Sh.100 iliyokuwa imetolewa kwenye mafuta ya petrol, dizeli na mafuta ya taa ni nani alikosea kuitoa na ni nani kati ya wafuatao ajitafakari kati ya Waziri wa nishati na waziri wa fedha na afanye hivyo lini ili iwe fundisho kwa wengine? Kama Ndugai...
  19. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli ukikopa benki ukashindwa kurudisha pesa zao hakuna Benki Tanzania itakayokukopesha tena?

    Habari JF? Naomba tufahamishane kuhusu hili suala? Mfano nimekopa Sh laki 5 pale NMB branch Ya Igoma, baadae nikashindwa kurejesha mkopo wao wakaja wakabeba dhamana. Je, Taarifa zangu za kushindwa kurejesha mkopo zitapelekwa kwenye system za benki nyingine za Biashara Tanzania ili nikienda...
  20. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Serikali isaidie kurudisha mali zilizoporwa na viongozi walipokuwa madarakani

    Hakuna ubishi kila mtu anajua kilichotokea kipindi cha awamu ya tano kwa vijana wafuatao. 1. Bashite 2. Sabaya 3. Gambo 4. Mnyeti 5. Chalamila na wengine kama kina Ally Hapi though huyo sina uhakika sana. Wengi waliishi kwa kupora mali za watu. Serikali ikisema itangaze wajitokeze watajaa...
Back
Top Bottom