kurudisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwa mawazo yangu Urusi inataka kurudisha sehemu zake zote zilizovunjika USSR

    Leo nimejaribu kuangalia historia ambayo ndio taifa kubwa katika mabara la umoja wa Kisovieti na kuangalia sababu zipi zilipelekea kuvunjika. Cha kwanza kinaonesha kuwa Urusi imejipanga muda mrefu kwa haya na si kwa hayo kwa yoyote ambaye atajaribu kuingilia. Wakitoka Ukraine tambua Afghan...
  2. Mwaikibaki

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dkt. Mwele Ntuli Malecela afariki Dunia, aligombea Urais wa JMT 2015

    Mwele Ntuli Malecela (alizaliwa tarehe 26 Machi 1963) alikuwa mkurugenzi wa taasisi ya tafiti za kiafya Tanzania (NIMRI). Aliwania nafasi ya mgombea wa uraisi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015. Kuanzia Aprili 2017 Mwele Malecela amekua akifanya kazi na...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete achaguliwa kuishinikiza Taliban kurudisha watoto wa kike shule

    Ndio maana mataifa makubwa kama US huwa wanaidharau hii United Nations na mpaka kutishia kuacha kuchangia... Sasa Kikwete masikini ya Mungu eti anatumwa aka negotiate na Taliban kurejesha watoto wa kike shule akiwa kama mwenyekiti wa Global Partnership for Education. Mtu atakaepata mkanda wa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Serikali ipeleke Bungeni Mswada wa kurudisha Uchifu

    Kichwa cha habari kinajieleza vizuri kwani hii itaondoa malamiko mengi dhidi ya uvunjwaji wa sheria unaoendelea - kusimikana uchifu - kitu kilichopigwa marufuku takriban miaka 60 iliyopita?
  5. F

    JamiiForums Tanzania Hatuwezi kurudisha utaratibu wa Mwl Nyerere na Karume?

    Hivi hatuwezi kurejesha utaratibu wa Mwl Nyerere na Abeid Karume kuhusu mfumo wa muungano ambapo Rais wa Znz ndiyo lazima anakuwa Makamu wa Rais wa JMT? Rais wa JMT akitoka Znz basi Makamu wake ndiyo atafutwe kutoka Bara. Mfumo wa Makamu wawili (wa Kwanza na wa Pili ungerejeshwa). Hivi sasa...
  6. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wachekelea kurudisha walichopoteza. Bei ya mafuta/petrol yazidi kupanda kuumiza maskini/watu wa kipato cha chini

    Katika kinachoonekana kuwa ni survival of the fittest beii ya mafuta ya gari /petrol imezidi kupanda na kufika tsh 2510 kwa lita moja mwezi huu. Unapotoa tsh 20,000 unapata lita 7.9, kitu ambacho ni kuendelea kumuumiza Mtanzania huyu wa kipato cha chini maana yeye ndiye atakayekuja umia katika...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kurudisha mabinti waliopata mimba shuleni ni kunyoosha mikono juu na kulikabidhi taifa letu kwa wakoloni mambo leo kwa ajili ya mkopo wa bil 600

    Fikiria binti asiyekuwa na maadili na alipata malezi mabaya akaanza uhuni akiwa na miaka kumi na nne akapata mimba akiwa la sita. Alafu akajifungua kisha akirudi shule akawa anasoma na mabinti ambao hawajawahi kubikiriwa, hatakuwa na ushawishi mbovu kwao ili waonje utamu wa ngono? Tumejustify...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ikitokea TANESCO wameunguza vitu kwa mchezo wa kukata na kurudisha naenda kulalamika wapi?

    Tulishasahau kero za tanesco jpm alitusaulisha huko aliko mwanga wa milele amwangazie Bwana.naomba wajuzi wa Mambo kama TANESCO Wana uwezo wakulipa vitu vinavyoharibika kutokana na kukata kwao dakika moja na kuurudisha dakika ya pili,Tangu Jana mchezo wao ulikuwa huo jioni ukatulia. Leo ni Mara...
  9. Dodoma Demand

    JamiiForums Tanzania Sheria ya madini kurudisha Ujamaa wa Nyerere kwa vitendo?

    Poleni na majukumu ya kulijenga taifa, Hapo kabla ya sheria mpya ya madini ya mwaka 2017,haijatungwa na kupitishwa, wakaguzi wa madini migodini walikuwa wanaenda kwenye vituo vya ukaguzi, hasa migodi mikubwa na ya kati kwa utaratibu wa mzunguko/rotations yaani leo upo hapa kesho pale, ili...
  10. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Kurudisha rangi ya Bathtub iliyochakaa

    Natafuta namna ya kurudisha bathtub ambayo imechakaa. Nahitaji kuirudia maana naona imepata kutu. Nliwaza hizi rangi za ku spray za kopo nyeupe.sijui kama zinafaa au kuna ambazo zinapatikana kwa ajili hiyo. Naombeni msaada kwa mnaofaham.zinauzwa wapi ,tsh ngapi na aina gani
  11. Thailand

    JamiiForums Tanzania SIMBA; Formation na wachezaji wanaoweza kurudisha Mpira Biriani

    Tatizo la simba siku za hivi karibuni imekuwa namna ya kupata kiungo mshambuliaji kariba ya clotus Chama ili timu iweze kutengeneza nafasi nyingi za magori kwa washambuliaji. Tatizo haliko kwa washambuliaji waliopo, tatizo lipo kwa kiungo gani sahihi aliopo pale msimbazi kuchukua jukumu hilo...
  12. rich1

    JamiiForums Tanzania Airtel Money Tanzania wanachukua muda mrefu kurudisha muamala wa mteja

    Kwema wandugu: kilio changu leo nawapa airtel money Tanzania, kwanini muamala wa mteja unachukua mda mrefu kurudishiwa. 1. Mara mseme mpaka mteja apokee simu muongee nae ndo muweze kurudishwa ina maana kama mteja amefariki muhusika hawezi rudishiwa pesa yake. 2. Tuna omba majibu au ndo...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kurudisha heshima ya Polisi kwa jamii iundwe tume

    Mimi ni mtoto wa Polisi na wazazi wangu wote walikuwa kwenye jeshi hili kwa miaka mingi sana. Kwa ufupi wazazi wangu hawajawahi kufanya kazi nyingine. Ukweli kumekuwa na malalamiko mengi sana ya unyanyasaji wa Polisi wa hali ya juu. Hii sio kwa wanasiasa pekee tumesikia haya malalamiko kutoka...
  14. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Speaker akerwa na mwendo wa kurudisha makao makuu dar kwa viongozi kurejea dar kila mara

    Mwendo wa kurudisha shughuli za makao makuu dar umeonekana mara baada ya kuaga dunia magufuli na mama samia kua rais. Swala la kuhamia dodoma limekua gumu kwa miaka zaidi ya arobaini hadi alipoingia magufuli. Kitendo cha rais samia kuonekana kwa kupenda au kushauriwa kufanya shughuli za...
  15. Tronics guru

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kurudisha pesa niliyokatwa App Store?

    Wakuu habari leo nimekatwa pesa AppStore pasipo kutaka ,wataalam wa iPhone nawezaje kuirudisha pesa hii 33 USD app yenyewe niliyolipia pasipo kutaka hiyo hapo
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Ulaya kurudisha mamilioni ya chanjo za COVID-19 Afrika

    Muungano wa Ulaya utarudisha mamilioni ya dozi ya chanjo za Johnson & Johnson zilizotengenezwa Afrika Kusini katika bara la Afrika. Mjumbe maalum wa Muungano wa Afrika Strive Masiyiwa amewambia waandishi wa habari kwamba chanjo zote zinazotengenezwa “zitabakia Afrika na kusambazwa Afrika”...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Nina Mil 30, nifanye biashara gani kurudisha pesa na kupata faida ndani ya mwezi?

    Wadau, salaaam? Nina 30m, nataka kuingiza katika biashara ambayo itanirudishia hiyo pesa ndani ya mwezi na kunipata faida juu. Ushauri pls..
  18. K

    JamiiForums Tanzania Hongera Serikali kurudisha Ikulu Dar Es Salaam, Sasa tunakula bata jijini

    Nachukua nafasi hii kuipongeza serikali kwa kuirudisha Ikulu Dar es Salaam kwa kipindi cha mwezi mzima sasa, ambapo shughuli zote kubwa za kiserikali tunazifanyia Dar es Salaam. Hili ni jambo zuri la kupongezwa kwani hata sisi wasaidizi tunakula posho nzitonzito kwa kukaa Dar. Asante sana...
Back
Top Bottom