Iran kaingiwa na nini Israel? Anataka ipigwe kura kutoka kwa Wayahudi, Wakrito na Waislam Israel kumaliza Mgogoro

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
13,384
9,751
Vyanzo kutoka Iran, Vinasema kutatua mgogoro wa wa Karne nyingi kati ya Israel na Palestina ni kupiga kura miongoni mwa wakazi wote waishio katika maeno ya mgogoro wa kiuraia, utamaduni au udini.

'Lengo letu 'Wairani' wa utatuzi kwa Wapalestina ni kuitisha kura ya Maoni kwa kuwajumuisha jamii nzima katika ardhi ya Palestina kwa kuwajuisha Waislam, Wayahudi na Wakriso'' Bwana Khatibzadeh alisema.

Jeshi la Israel na Kundi la Kijeshi la Hamas, ambalo linatawala Mji wa Gaza, wanashambuliana kwa vita vya anga dhidi ya maroketi kwa muda zaidi ya wiki moja hadi sasa. Zaidi ya watu 200, pamoja na watoto 58, wameuwawa upande wa Gaza tokea kichapo kilipoanza haya yamesemwa na mamlaka ya afya ya Gaza, na upande wa Israel watu 10 pamoja na watoto wawili wameuwawa. Israel imekataa lawama zote za kupiga mabomu huko Ukanda wa Gaza , Israel imesema inafanya kwa njia zake zote iwezavyo kuepuka majanga yasiyotakikana.

According to Tehran, the only way to resolve the decades-long Israeli-Palestinian conflict is to hold a referendum among all residents of the troubled region regardless of their citizenship, ethnicity, or religion.

“Iran’s plan to resolve the Palestinian issue is holding a referendum with the participation of all the main inhabitants of the Palestinian lands, including Muslims, Jews and Christians,” Khatibzadeh said.

The Israeli military and the militant group Hamas, which is in control of Gaza, have been exchanging airstrikes and rocket attacks for over a week. At least 200 people, including 58 children, have been killed in the Palestinian enclave since the beginning of the hostilities, according to local health authorities. In Israel, 10 people, including two children, have been killed. Israel has rejected accusations that the bombings in Gaza are disproportionate, insisting it has been trying its best to avoid collateral damage.

IDF pilot suspects children in vicinity, calls off airstrike - watch Faced by allegations of indiscriminately striking targets in Gaza without distinguishing between Hamas officials and civilians, the IDF has decided to publish documentation that proves the contrary.

Children play a game of Arabs and Jews outside a school in Gaza City, Palestinian Territories, February 20, 2019. (photo credit: REUTERS/DYLAN MARTINEZ)

Children play a game of "Arabs and Jews" outside a school in Gaza City, Palestinian Territories, February 20, 2019.
(photo credit: REUTERS/DYLAN MARTINEZ).

The IDF repeatedly claims to do everything in its power in order to avoid civilian casualties in Gaza while operating in a complicated reality where Hamas seemingly uses civilians as human shields.

Faced by international criticism and allegations of indiscriminately striking targets in the Gaza Strip without distinguishing between Hamas officials and civilians, the IDF has decided to publish operational documentation that shows that the truth of the matter is that avoiding hurting civilians is in fact an active and daily aspect of IDF operational reality.

Video and audio recordings of Israeli Air Force (IAF) pilots released by the IDF Spokesperson's Unit Sunday show pilots calling off an airstrike after noticing civilians, including children, in the area.

Fighting a terrorist organization that operates within civilian areas isn’t easy. Watch as IDF pilots call off a strike because children were there: pic.twitter.com/N8ycwqwgck
— Israel Defense Forces (@IDF) May 16, 2021

The mission control can be heard in the recording ordering the pilot to "check if there are children there."
 
View attachment 1789043Mteule wa MUNGU WA KWELI kambana vilivyo future terrorist. Nachoipendea Israel inadhibiti Ugaidi toka kwenye mizizi yake
Hebu nifunze kidogo Kwa kujibu haya maswali ;-

A: Huyó alomteuwa ni Mungu gani ? Wa Kiyahudi au Kikristo? Je Mungu anasemaje kuhusu kuua?

B: je Mungu Torati anakubali wizi ? Kama haikubali ilikuwaje asibarikiwe Esau?

C: je huoni Mungu wa Torati ni mbaguzi , kichagua JAMII moja na kuiziacha nyengine?
 
Isa 43:1-7 SUV

Lakini sasa, BWANA aliyekuhuluku, Ee Yakobo, yeye aliyekuumba, Ee Israeli, asema hivi, Usiogope, maana nimekukomboa; nimekuita kwa jina lako, wewe u wangu.

Upitapo katika maji mengi nitakuwa pamoja nawe; na katika mito, haitakugharikisha; uendapo katika moto, hutateketea; wala mwali wa moto hautakuunguza. Maana mimi ni BWANA, Mungu wako; Mtakatifu wa Israeli, mwokozi wako, nimetoa Misri kuwa ukombozi wako; nimetoa Kushi na Seba kwa ajili yako.

Kwa kuwa ulikuwa wa thamani machoni pangu, na mwenye kuheshimiwa, nami nimekupenda; kwa sababu hiyo nitatoa watu kwa ajili yako; na kabila za watu kwa ajili ya maisha yako. Usiogope; maana mimi ni pamoja nawe; nitaleta wazao wako toka mashariki, nitakukusanya toka magharibi; nitaiambia kaskazi, Toa; nayo kusi, Usizuie; waleteni wana wangu kutoka mbali, na binti zangu kutoka miisho ya dunia.

Kila mmoja aliyeitwa kwa jina langu, niliyemwumba kwa ajili ya utukufu wangu; mimi nimemwumba, naam, mimi nimemfanya.

Mungu alipochagua Israel mstari huo Hapo ukitaka nyongeza nakupa kiroho saaafi
 
Haya , je kuhusu baraka ? Si alikuwa abarikiwe Esau ? Hebu tukumbushane ilikuwaje vile !!!
Je Mungu wa Israel ni huyó huyó wa Wakristo maana kuna sehemu nasoma na naona ni tofauti hawa . ! Nipe rai yako . Kidogo kidogo kaka .... Ahsante Kwa elimu.
 
Vyanzo kutoka Iran, Vinasema kutatua mgogoro wa wa Karne nyingi kati ya Israel na Palestina ni kupiga kura miongoni mwa wakazi wote waishio katika maeno ya mgogoro wa kiuraia, utamaduni au udini.

'Lengo letu 'Wairani' wa utatuzi kwa Wapalestina ni kuitisha kura ya Maoni kwa kuwajumuisha jamii nzima katika ardhi ya Palestina kwa kuwajuisha Waislam, Wayahudi na Wakriso'' Bwana Khatibzadeh alisema.

Jeshi la Israel na Kundi la Kijeshi la Hamas, ambalo linatawala Mji wa Gaza, wanashambuliana kwa vita vya anga dhidi ya maroketi kwa muda zaidi ya wiki moja hadi sasa. Zaidi ya watu 200, pamoja na watoto 58, wameuwawa upande wa Gaza tokea kichapo kilipoanza haya yamesemwa na mamlaka ya afya ya Gaza, na upande wa Israel watu 10 pamoja na watoto wawili wameuwawa. Israel imekataa lawama zote za kupiga mabomu huko Ukanda wa Gaza , Israel imesema inafanya kwa njia zake zote iwezavyo kuepuka majanga yasiyotakikana.

According to Tehran, the only way to resolve the decades-long Israeli-Palestinian conflict is to hold a referendum among all residents of the troubled region regardless of their citizenship, ethnicity, or religion.

“Iran’s plan to resolve the Palestinian issue is holding a referendum with the participation of all the main inhabitants of the Palestinian lands, including Muslims, Jews and Christians,” Khatibzadeh said.

The Israeli military and the militant group Hamas, which is in control of Gaza, have been exchanging airstrikes and rocket attacks for over a week. At least 200 people, including 58 children, have been killed in the Palestinian enclave since the beginning of the hostilities, according to local health authorities. In Israel, 10 people, including two children, have been killed. Israel has rejected accusations that the bombings in Gaza are disproportionate, insisting it has been trying its best to avoid collateral damage.

IDF pilot suspects children in vicinity, calls off airstrike - watch Faced by allegations of indiscriminately striking targets in Gaza without distinguishing between Hamas officials and civilians, the IDF has decided to publish documentation that proves the contrary.

Children play a game of Arabs and Jews outside a school in Gaza City, Palestinian Territories, February 20, 2019. (photo credit: REUTERS/DYLAN MARTINEZ)

Children play a game of "Arabs and Jews" outside a school in Gaza City, Palestinian Territories, February 20, 2019.
(photo credit: REUTERS/DYLAN MARTINEZ).

The IDF repeatedly claims to do everything in its power in order to avoid civilian casualties in Gaza while operating in a complicated reality where Hamas seemingly uses civilians as human shields.

Faced by international criticism and allegations of indiscriminately striking targets in the Gaza Strip without distinguishing between Hamas officials and civilians, the IDF has decided to publish operational documentation that shows that the truth of the matter is that avoiding hurting civilians is in fact an active and daily aspect of IDF operational reality.

Video and audio recordings of Israeli Air Force (IAF) pilots released by the IDF Spokesperson's Unit Sunday show pilots calling off an airstrike after noticing civilians, including children, in the area.

The mission control can be heard in the recording ordering the pilot to "check if there are children there."
Human shield of Hamas
FB_IMG_1621325618181.jpg
 
Haya , je kuhusu baraka ? Si alikuwa abarikiwe Esau ? Hebu tukumbushane ilikuwaje vile !!!
Je Mungu wa Israel ni huyó huyó wa Wakristo maana kuna sehemu nasoma na naona ni tofauti hawa . ! Nipe rai yako . Kidogo kidogo kaka .... Ahsante Kwa elimu.
Kiufupi tu kabla chaji haijaisha ni kwamba zamani hizo urithi ulikuwa ni wa mtoto wa kwanza yaani ESAU ila Mungu aliamua kupindua meza kwa mipango yake mwenyewe ndio maana ukisoma maandiko yamesema

Mwanzo 25:23

Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Mataifa mawili yamo tumboni mwako; makabila mawili yatakayozaliwa nawe, yatafarakana. Moja litakuwa lenye nguvu kuliko lingine; mkubwa atamtumikia mdogo.
 
Nb hii story ya Esau na Yakobu haina uhusioano wowote na Palestina na Israei maana hawa ni hawa wote ni watoto wa Isaka na Sio Ishmael

Ishmael na Isaka walikuwa watoto wa Ibrahim,

Essau na Yakobo (Israel) walikuwa wana wa ISAKA
Umenena vyema kabisa , najua hilo kwamba hao sio Ismaili na Isaka ...
Je mataifa Yepi ya uzao wao ? ( Esau + Yakobo)
Ahsante.
 
Ukoo wa Esau haujazungumzwa saana kwenye bibli ila wali-fuse baada ya kupatana Esau na Yakobo.

Soma mwanzo 25-34 visa vyoote vimeandikwa hapo
 
Nimecheka balaa. Makamanda na viongoz wa wa makundi ya KIGAIDI Hamas na Islamic Jihad yamejificha mashimoni yanaogopa hata kukutana kwasababu hata yenyewe hayaaminiani. Taifa teule si mchezo.
 
Back
Top Bottom