Rúben de Almeida Barbeiro (born August 21, 1987 in Leiria), better known by his stage name KURA, is a Portuguese electro house DJ and record producer. Kura has released tracks through labels such as Hardwell's Revealed Recordings, Flashover Recordings, Musical Freedom, and Spinnin' Records, among others.
Mfanyabiashara Mohammed Dewji, na aliyewahi kuwa Mbunge wa Singida kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanzia 2005 hadi 2015 akizungumza Oktoba 27, 2015 kwenye kipindi cha Mkasi
CHAMA CHA ACT WAZALENDO TUNALAANI NA KUPINGA MPANGO WA ZEC WA KUCHOMA USHAHIDI WA WIZI WA KURA
ZANZIBAR – 4 FEBRUARI, 2026 – Wakati timu yetu ya Wanasheria ikiwa mbele ya Mahakama Kuu kuomba Kukagua na Kupata nyaraka muhimu za uchaguzi (Application for Discovery and Inspection), Tume ya...
act
act wazalendo
kura
mpango
tume
tume ya uchaguzi
tume ya uchaguzi zanzibar
uchaguzi
uchaguzi zanzibar
ushahidi
wapinga
wazalendo
wizi
wizi wa kura
zanzibar
zec
Wenyeviti wengi wa Kamati hizo walitakiwa kupigiwe kura kama ilivyo kawaida lakini kilichofanyika majina yalikuja from no where watu wakasomewa majina ya Wenyeviti, ikawa imeisha hiyo.
Wabunge walibaki na maswali yasiyo na majibu. Kisha huku nje ikaja kutangazwa kuwa wamepigiwa kura wameshinda...
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, amejitetea juu ya ushindi wake katika uchaguzi wa urais, akisema kuwa ushindi wa asilimia 72 si ule aliyotarajia. Amefafanua kwamba chama chake kina wanachama zaidi ya milioni 21, kati ya hao milioni 18 wakiwa wapiga kura waliyojisajili, na kama wote wangepiga...
Mgombea urais wa upinzani nchini Uganda Ssentamu Robert Kyagulanyi almaarufu Bobi Wine amepiga kura. Bobi alifika katika kituo cha Freedom Square Magere akiandamana na mkewe Barbie.
Bobi Wine wa chama cha NUP anakabiliana na rais wa sasa Yoweri Kaguta Museveni ambaye amekuwa madarakani kwa...
Shughuli za upigaji kura zimechelewa kuanza katika maeneo mengi nchini Uganda. Awali ilitarajiwa kuwa vituo vingefunguliwa saa moja asubuhi, lakini kufikia saa mbili na nusu asubuhi, wapiga kura walikuwa bado hawajaanza kupiga kura. Zaidi ya raia milioni 21 wanatazamiwa kushiriki uchaguzi wa leo...
Taifa la Myanmar linaendelea na zoezi la kupiga kura katika awamu ya pili ya uchaguzi, ambao hadi sasa umetawaliwa na chama kinachoungwa mkono na jeshi linalotawala, huku serikali ya kijeshi ikijaribu kupunguza uzito wa ushiriki mdogo wa wapiga kura katika awamu ya kwanza ya zoezi hilo...
https://youtu.be/hCgMt6sD0zM?si=dqkSFZPmFfSlwzUZ
Tutaelewana tu
Eti jumla ya wapiga kura 32,000,000 plus walitokeza kupiga kura...
Kati ya hawa wote eti 98% wakampigia kura Samia Suluhu Hassan wa CCM sawa na karibu nusu ya Watanzania
Cha ajabu, huyu mshindi wa 98% anaogopa 2% ambao...
Oct 29 shughuli zote zilisimama mapema sana asubui, internet ilizimwa asubui, usafiri haukuwepo asubui tume ilipata wapi rais, wabunge na madiwani ?
Moja ya hoja kuu kuwa hakukuwa na uchaguzo kabisa oct 29, ni kwamba internet ilizimwa, usafiri haukuwepo kabisa hakuna shughuli yoyote mpaka mida...
Hizo tuzo za kidunia hizi Tunazozijua zinataratibu zake za jinzi ya kupiga kura, na watu wenye sifa za kupiga kura huwa wanaainishwa kwenye website ya tuzo husika, na ili kupiga kura lazima uwe verified kabisa na upigaji wa kura Huwa unakuwa na ratiba ambayo wanatumiwa wenye sifa tu (voting...
Uongozi wa Samia hautakuwa kama miaka iliyopita na tusahau mambo kurudi kama zamani.
Samia amepoteza heshima kwa chama chake, nchi yake na wananchi wake. Nani atamweshimu mtu fake! Yaani ni sawa na kufanyiwa operation na Dr ambaye amefeli mitihani yote na kutegemea utakuwa salama! Tukubali tu...
“Watu waliopiga kura milioni 31 wameshindwa hata ku-view nyimbo za wasanii wao 😂😂
Demokrasia online imegoma kufanya kazi 🤣”
WE NANI ANA NAMBA
ZA MAMA
AMPIGIE KUNA WATU WANAVIPAJI
VYA KUCHEKESHA AENDE AKECHEKESHE
SISI WANANCH TUKATISHIWA NYAU
ETI KOSA SI KOSA
WAKASEMA TUWAACHE SI TUKAWAACHA...
Maana na nyinyi ni kama wendawazimu! Hamjui mnalenga nini, matumbo yenu au usitawi wa taifa!
Zito nenda kajaribu maana na wewe akili zako unaziweza mwenyewe na masheikh wenzako.
Amen.
Duuh, Bongo kuna maajabu mengi sana...
Ni ngumu sana kuupaka uongo pafyumu na usionekane kuwa ni uongo...!!
Inawezekana vipi kiongozi mkuu wa nchi aliyejitangaza mshindi kwa 98% ya kura zote ktk kile wanachokiita uchaguzi wa 29/10 na ghafla hata mwezi haujaisha haohao mamilioni waliomchagua...
Wasanii walishiriki kampeni upande ambao ulipata kura mil. 31, ushindi mkubwa kabisa huu!.
Sasa hawa watu ambao ni nusu ya watanzania kwanini wasiwasapoti? Kama waliweza kwenda kupiga kura hatika tension ile wanashindwa kuingia youtube kuwasapoti?
Hakika uongo una lifespan ndogo sana,
Huyu...
Maajabu ya Samia hayo!
Kwamba eti alipata kura zaidi ya milioni 31.
Ambazo eti ni 97.6% ya kura zilizopigwa.
Ila cha ajabu, akajiapisha uani na kuwanyima fursa hao wapiga kura wake milioni 31 kusherehekea huo ‘ushindi’ wake.
Leo ni maadhimisho ya 64 toka Tanganyika ipate uhuru.
Ni siku...
Bilionea kijana wa kibongo, Benjamin Fernandez, amehoji kwamba, "Kwanini uchunguzi unachukua miezi mitatu, lakini kuhesabu kura milioni 32 inachukua siku 2 bila internet?"
Japo wengi wameunga mkono huo mtizamo, ila kwangu, mimi nasema kwamba: inawezekana kabisa kuhesabu kura milioni 32 kwa...
Sikusikiliza hotuba nzima ya jana kwa hiyo kila ninapopata vipande vipya napata mshangao mpya.
Katika hotuba yake ya jana, Samia aliwakosoa watu wanaoshangaa na wanaosema 98% alizopata hawezi kuwa amezipata kwa sababu mwitikio wa wapiga kura ulikuwa mdogo sana. Akasema 98% ni ya kura...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.