Rúben de Almeida Barbeiro (born August 21, 1987 in Leiria), better known by his stage name KURA, is a Portuguese electro house DJ and record producer. Kura has released tracks through labels such as Hardwell's Revealed Recordings, Flashover Recordings, Musical Freedom, and Spinnin' Records, among others.
Unafikiri nani anaafadhali kupewa nafasi ya kuongoza CCM Tiketi ya urais 2030 kati ya hawa? Piga kura.
Watakaoshika nafasi Tatu za juu. Itahesabika wanaushawishi hasa katika mtandao wa JF.
Kwa wale wa CHADEMA na vyama vingine nanyi mnaweza kuchagua kama nilivyosema mwenye afadhali kadiri ya...
Kwa uwekezaji na mali inazomiliki CCM nchi hii hakuna siku hiki chama kitakubali kuondoa madarakani kwa kura katika uchaguzi.
CCM kukubali kuondoka madarakani ina maana ni kupoteza ukwasi wake wote wa mali kuanzia viwanja, majengo mpaka migodi, sio kupoteza dola tu.
Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) imewaonya wapiga kura wa Ol Kalou kwamba kushare picha ya marked ballot paper kwenye social media ni kosa la kisheria.
Kulingana na onyo hilo, mtu atakayepatikana amepiga au kusambaza picha ya ballot paper baada ya kupiga kura anaweza...
Unakutana paap na mbunge wa ccm halafu unamnongoneza Kwa karibu ili mtu yeyote asisikie wewe ni jizi la kura atakufanya nini? Na hakuna shahidi aliyesikia maneno hayo ya kizalendo?
Mbunge wa Maswa Mashariki, Dkt. George Venance Lugomela, amesema aliwapatia baadhi ya madiwani fedha alizozitaja kuwa ni posho wakati wa mchakato wa kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwaka 2025, akidai baadhi yao hawakutekeleza makubaliano waliyokuwa nayo.
Akizungumza katika kikao cha...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Maoni yangu na kwa Ushauri wangu katazo la kufanya mikutano yote ya siasa kwa vyama vyote vya Siasa hapa Nchini lisingewagusa Wabunge wa Majimbo.
Wabunge wote kutoka Majimbo yote Bara na visiwani wangeendelea kupewa Vibali vya kufanya Mikutano Majimboni Mwao...
Nashangaa kuona wafuasi wa chadema wanatumia mikutano Yao kujifariji kuwa wanakubalika🤣🤣
Hebu pokeeni ukweli huu.
chadema hamtakaa mshinde uchaguzi hilo msahau
hao watu siyo wapiga KURA wenu wanakuja kuwashangaa tu.
wapiga KURA Wapo nyumbani siyo hao mnaotumia nguvu kubwa kuwaita kwenye...
Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Njombe kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Sigrada Mligo amepiga kura ya hapana kwa Bajeti kuu ya Serikali kwa Mwaka 2026/2027 ambapo Idadi ya wabunge waliokuepo bungeni ni 393 ambao hawakuepo ni 8 , waliopiga kura ya ndiyo ni 385 na waliopiga kura ya...
Huku Finance Bill 2026 ikipitishwa Bungeni, mjadala mkubwa umeibuka baada ya kubainika kuwa zaidi ya nusu ya wabunge hawakushiriki kura muhimu iliyogusa ushuru na matumizi ya fedha za umma.
Kati ya wabunge 349 wa National Assembly, ni 162 pekee walioshiriki kupiga kura. Wabunge 122 waliunga...
Imekuwa ni jadi na utamaduni kufurahia sikukuu hii na kuwaenzi waasisi wa Muungano wetu Mwalimu Nyerere na Mzee Abeid Karume kwa matamasha, gwaride na shangwe kebekebe.
Lakini imekuwa ni dhambi, tena yenye sumu kali kwa mtu yeyote kuhoji au kutaka kuuchambua Muungano huu.
Lengo langu si...
all
faida za muungano wa tanzania
hisnis the
historia ya muungano wa tanzania
kero za muungano
kuhusu
kura
matatizo ya muungano wa tanzania
muungano
muungano wa tanganyika na zanzibar
mwinyi
raisi
tanganyika
tanganyika na zanzibar
tupige kura
umuhimu
uwepo
wazi
zanzibar
"Turudi kwenye misingi. Polisi wajibu wenu ni huu, Jeshi wajibu wenu ni huu, Idara ya Usalama wajibu wenu ni huu. Siasa ni kazi ya wanasiasa. Wanasiasa wakifanya makosa mtawakamata, mtawashtaki kwa taratibu za kawaida. Msingilie siasa.
Sasa hivi kura ya mwananchi nyinyi wote hapa, wote hapa...
Na Mwandishi Wetu.
MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mariam Ibrahim amemshuru Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa , Rais Dk.Samia Suluhu Hassan kwa kupendekeza jina lake na Kamati Kuu ya chama hicho kulipitisha na hatimaye kushinda kwa kura nyingi.
Ametoa shukrani hizo kwa...
Usuli
Shindano la stories of change lilianzishwa na JamiiForums mnamo mwaka wa 2021 na kufanyika mfululizo kila mwaka hadi mwaka 2024. Katika hali isiyotarajiwa na wanachama wote wa JF, mwaka wa 2025 shindano hili halikufanyika kabisa.
Kama mnavyofahamu, shindano hili hufuatiwa na uchambuzi wa...
Baadhi ya wajumbe walioshiriki katika kura za maoni za uteuzi wa Mgombea Ubunge Jimbo la Isimani kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) wameibuka na malalamiko wakidai kutoridhishwa na mchakato uliotumika kuwashindanisha wagombea hao.
Wajumbe hao wamesema kuwa kuna viashiria vinavyoibua wasiwasi juu...
Ndugu zangu Watanzania ,
Habari ndio hiyo ya kuwa Mfanyabiashara Fred Ngajiro (Vunjabei) ameibuka kinara katika kura za maoni za kumtafuta mrithi wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Isimani, Lukuvi, huku akiongoza katika kata nyingi zilizopigwa kura.
Kwa mujibu wa matokeo ya awali, Vunjabei...
Hehee! Kumekucha na Makucha yake.
Halima Mdee ndani ya nyumba. Twajua afanya makosa lakini kosa moja lafutaje jasho na damu zake peke zake.
Nitapiga nakupiga kampeni. Erythrocyte tunajua ugomvi wako na Halima Mdee haujaanza juzi wala Jana. Umekwama. Na bado
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.