kura

Rúben de Almeida Barbeiro (born August 21, 1987 in Leiria), better known by his stage name KURA, is a Portuguese electro house DJ and record producer. Kura has released tracks through labels such as Hardwell's Revealed Recordings, Flashover Recordings, Musical Freedom, and Spinnin' Records, among others.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Wanatubembeleza sana tukapige kura kuwachagua. Tukishawachagua wanatupiga.

    Viongozi wa kisiasa wa Tanzania ni wema sana kablana wakati wa kampeni na kupiga kura,hua wanatubembeleza sana tuende tukapige kura za kuwachagua,lakini mara tu tukishawachaguaa thamanj yetu inaisha,wanatugeuka,wanabadilika wanakua wakali,wanatutukana,wanatuteka,wanatupiga na kutuua. Hatuwezi...
  2. T

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpaka sasa sijaona picha za misururu ya wapiga kura waliosabibisha ushindi mnono wa 98%

    Zile media uchwara za kina Millard au yoyote mwenye hizo picha naomba atupie hapa na sisi tuone hiyo misururu ya wapiga kura waliotupatia ushindi wa 98%. Haki huinua taifa
  3. w0rM

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hii ni ajabu! Aliyeshinda kwa asilimia kubwa kiasi hicho ameapishwa bila hata wale waliodaiwa kumpigia kura kuwepo uwanjani

    Uchaguzi wa mwaka huu, ambao Dkt. Samia Suluhu Hassan amechaguliwa tena kuwa Rais wa Tanzania kwa muhula wa pili wa Serikali ya Awamu ya Sita, umeniacha nikiwa na mshangao mkubwa na sina shaka Watanzania wengi wanahisi vivyo hivyo. Asilimia alizopata mgombea huyu zinafanana kabisa na zile...
  4. Pulchra Animo

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwambegele Atuambie Kama Kulikuwa na Proxy Voting. Kwamba Watanzania Walimpa Idhini ya Kupiga Kura Kwa Niaba Yao!

    Katika historia ya chaguzi za Tanzania (zikiwemo chaguzi ambazo zilifanyika bila tension yoyote), hakuna uchaguzi ambao umewahi kuwa na voter turnout ya 87%. Ilikuwaje huu uchaguzi, ambao uligubikwa na tension kubwa, ukawa na hii unprecedented voter turnout? The only reasonable explanation ni...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hesabu Zinasema Alipata Kura Milioni 32

    Oktoba 29 hadi 30, walionekana waandamanaji waliokuwa wakipinga zoezi la uchafuzi uliokuwa ukiendelea. Kulikuwa na ushahidi wa watu, hasa vijana waliofanya jambo hilo, picha zipo na mwonekano halisi ulitambuliwa. Kwa maoni yangu, kwa kukadiria tu kutokana na mwonekano huo toka sehemu mbalimbali...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tuangalie uhalisia wa kura alizopata Mama Samia

    Wao wanasema kapata kura milion 31 na ushee ambazo sawa na asilimia 98, Kiuhalisia huyu Mama hata kura milion 10 hazijafika,kwa hiyo tukimpendelea tukasema kapata kura milion 10 itakuwa sawa na kapata adilimia 31 ya kura zote,maana yake wanaompinga ni wengi zaidi kuliko wanaomkubali,ingawa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tanzania yasitisha zoezi la kuhesabu kura kufuatia ghasia na maandamano

    Tanzania yasitisha zoezi la kuhesabu kura kufuatia ghasia na maandamano yanayopinga utawala wa Samia https://m.youtube.com/watch?v=HtoIA-AVb18
  8. M

    JamiiForums Tanzania Day 3: Wananchi Arusha wakichoma kituo kikuu cha majumuisho ya kura

  9. M

    JamiiForums Tanzania Day 3: Waandamanaji Arusha wavamia kituo cha majumuisho ya kura

    Arusha: Waandamanaji wamevamia na kukiharibu kituo cha majumuisho ya Matokeo ya Mkoa huo. Madai ya waandamnaji hao ni kuwa Matokeo ya uchaguzi yafutwe, Nchi ipate KATIBA MPYA, Waliotekwa waachiliwe huru, Iunder Tume huru ya Uchaguzi na uwepo Utawala wa Haki. Wananchi hao wanasindikizwa na...
  10. U

    JamiiForums Tanzania INEC - Tanzania: Nani kampigia kura Samia Suluhu? Nani kapiga kura? Acheni ujinga huo mara moja wa kutangaza hayo mnayoita "matokeo ya uchaguzi"

    Wenye nchi (wananchi) hawakwenda wala kujitokeza kupiga kura kwa sababu tulisema toka mwanzo NO REFORMS NO ELECTION na mlitubeza na kudharau... Sasa hayo mnayoyaita "matokeo ya kura za udiwani, ubunge na Rais mmeyatoa wapi...? Bado mnaamini kuwa mtaendelea kututawala kwa uongo na udanganyifu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kura za Maruhani zikitengenezwa. Jaji Mwambegele, hiki ndo mnawatangazia watanzania?

    Nilikuwa namheshimu sana Jaji huyu, lakini ndo anabariki hiki?
  12. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: Wasimamizi wa Uchaguzi Walipewa Maelekezo Wamtiki "Samia" Katika Karatasi za Kupigia Kura (Video za Ushahidi Zipo)

    Ameandika Mange Kimambi kwenye mtandao wa Instagram, "Wasimamizi wa uchaguzi walikuwa wanatiki wenyewe na sasa wameaniza kunitumia video walivyokuwa wanatiki. Na kwenye semina walikuwa wanaambiwa kabisa kama kituo chako kina watu 400 lazma urudishe kura 400 za Samia."
  13. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uzi maalumu: Shuhuda mbalimbali uchakachuzi wa kura kutoka kwa Mwakala wa Uchaguzi

    GT Kinachoendelea ni maajabu ndugu zangu hakuna mtu kapiga kura nina shuhuda zifuatazo. 1. Dar tabata mawakala wamekimbia vituo.sa4 asubuhi hakukuwa na uchaguzi 2 Singida kituo kimoja waliojiandikisha 1000 waliopiga kura 50 wamepewa maelekezo wajaze 800. 3. Meatu huko kituo kimoja...
  14. Black Opal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vituo vya kupiga kura Tunduma vyachomwa moto

    Wakati maandamano yanaendelea sehemu mbalimbali nchini, Tunduma nako kumependeza. Vituo vya kupiga kura vimechomwa moto. Hii inaitwa kama hushiriki maandamo, tulia watu tupite tusafishe njia. Zile nywinywi zote kimya! Na kwa vile wameamua kuzima mtandao hakuna kitu wanaweza kufanya, yaani ni...
  15. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Twendeni kwenye vituo vya kupigia kura tukaondoe yale maigizo hakuna uchaguzi bali ni udanganyifu

    Twendeni kwenye vituo vya kupigia kura tukaondoe yale maigizo hakuna uchaguzi bali ni udanganyifu
  16. L

    JamiiForums Tanzania Huyu Hapa Rais Samia akizungumza Na Waandishi wa Habari Baada ya Kupiga Kura Chamwino Dodoma.

    Ndugu zangu Watanzania, Huyu Hapa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge akizungumza na...
  17. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Kituo cha kura chavamiwa na kuchomwa moto, Hakuna uchaguzi 2025

  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mkoa wa Morogoro: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Morogoro. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Morogoro una una jumla ya majimbo ya uchaguzi (11) ambayo ni Jimbo la Kilosa Jimbo la Mikumi...
  19. Influenza

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi (CCM) apiga kura. Asema hakuna viashiria vya uvunjifu wa amani

    Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Hussein Mwinyi tayari amepiga kura katika kituo cha kupigia kura Kariakoo viwanja vya michezo ya watoto Jimbo la Kwahani. Dk Mwinyi amefika katika kituo hicho saa 2:10 asubuhi ya leo Jumatano, Oktoba 29, 2025 akiwa ameongozana na...
  20. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mainstream Media zinafanya upotoshaji kwa kuripoti zoezi la kupiga kura ili watu wasijitokeze barabarani

    Wakuu, KInachoendelea wakati huu media hizi kubwa kubwa zinapost taarifa wakati huu zikiripoti hali na shwali na zoezi la kura linaendelea vizuri, wengine wanasema polisi wamezuia waandamanaji wakati sio kweli. Taarifa zinasambazwa ili umma ujue wananchi hawajatoka barabarani kuzuia uchafuzi...
Back
Top Bottom