kura za maoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Hivi CCM inaweza kuchukua mtu aliyekuwa wa mwisho kwenye kura za maoni apeperushe bendera?

    Kwa utaratibu uliowekwa na CCM kwa wagombea kutofanya Kampeni kwenye kura za maoni,ni wazi sasa wote waliopata kura moja au sifuri ndio ambao hawajatoa rushwa au kukutana na wajumbe. Swali ni je CCM ambayo huchukua mshindi wa kwanza hadi wa nne,inaweza kuvunja utaratibu mwaka huu na kuchukua...
  2. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wabunge wa CCM na waliohamia CCM, walioangushwa kura za maoni 2020

    WABUNGE WALIOANGUSHWA KURA ZA MAONI 1. Harrison Mwakyembe – Kyela 2. Angela Kairuki – Same Magharibi 3. Maulid Mtulia – Kinondoni 4. Abdalah Mtolea – Temeke 5. Omary Badwel – Bahi 6. Juma Nkamia – Chemba 7. Goodluck Mlinga – Ulanga 8. Omary Mgumba – Morogoro Kusini Mashariki 9. Cecil Mwambe –...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa kura za maoni CCM uligubikwa na rushwa ya kutisha

    Katika jambo lilowashangaza wafuatiliaji wa mchakato mzima wa kura za maoni (Ubunge) CCM, ni jinsi Wabunge au watia nia waliokuwa wanatetea nafasi zao za majimbo jinsi walivyoweza kujipanga mapema katika kuhakikisha wanatetea nafasi zao "by hook or by crook". Mkakati mkuu walioutumia mara hii...
  4. CHIPESI NAMISUKU

    JamiiForums Tanzania Baada ya kura za maoni niseme haya mawili

    1. Vyama vya Upinzani nchini vina nafuu kubwa ya kulelea vijana na kuwafanya kuwa wanasiasa wakubwa mbeleni. Ni rahisi sana kwa kijana ambaye hana fedha lakini yupo Smart kushinda Ubunge akiwa Upinzani kuliko kwenye chama chetu tawala. Tuna mifano Halisi kabisa angalia Umri aliopata nao Ubunge...
  5. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kura za maoni UWT ya CCM watia nia ni 252 na wapiga kura ni 263

    Uchaguzi wa wabunge wa viti maalumu CCM unaendelea katika mikoa mbalimbali na hapa DSM jumla ya akina mama 252 wametia nia na wajumbe wa mkutano wa uchaguzi ni 263. Maendeleo hayana vyama!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa Mwenyekiti wa CCM ningefuta mchakato wa kura za maoni na kuanza upya

    Mchakato wa kura za maoni ulitawaliwa na vitendo vya Rushwa kwa wajumbe wa mkutano kiasi kwamba aliyetoa pesa nyingi kwa wajumbe ndiye aliyepata Kura nyingi. Kwa mantiki hii, wagombea wote waliofanikiwa kujizolea kura nyingi Ni wale ambao kwa kutumia utajiri wa pesa walionao waliofanikiwa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mapacha wa CHADEMA nao washinda kura za maoni majimbo ya Ulanga na Malinyi mkoa wa Morogoro

    Mapacha Selestine na Imelda wameshinda kura za maoni katika majimbo ya Ulanga na Malinyi mkoani Morogoro kwa tiketi ya CHADEMA. Awali mapacha wa CCM Kulwa na Dotto Biteko walishinda kura za maoni katika majimbo ya Busanda na Bukombe. Tofauti na mapacha wa CCM hawa wa CHADEMA ni wanawake hivyo...
  8. figganigga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi Bukoba Vijijini Wagubikwa na rushwa, Wanne Wadakwa na TAKUKURU, Kura za Lweikiza shakani

    Jana tarehe 21/07/2020, katika harakati za wajumbe kupiga kura Bukoba Vijijini kwa wajumbe waliotia nia Ubunge kupitia CCM, kulitokea utofauti asubuhi ambapo mbunge Rweikiza alituma vijana wake kutoa rushwa na kukamatwa jana ile ile Asubuhi. Naamini TAKUKURU watalitolea taarifa sakata hili...
  9. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Mlioangukia pua kwenye kura za maoni mjifunze sio kukimbilia fomu tu kwa sababu una hela ya kuchukulia

    Habari wana jamvi? 😁😁😁🤪🤪🤪😏😏 Nacheka kwa dharau sana hasa waliokurupuka kuchukua form na kuangukia pua kama paskal Mayala,Stive Nyerere,Gwajma n.k Kwanini nawacheka? Ukiangalia wengi wamekurupuka kisa JPM anadaiwa kurudisha heshima chamani na ni mchapa kazi sana. Kutokana na wapinzani wengi...
  10. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya ya waliounga juhudi kuangukia pua, mmeamini kuwa CCM ina wenyewe na wenyewe ndio hao?

    Mlihama CUF na CHADEMA kwa mbwembwe sana kuhamia CCM. Mkatupa karata zenu kuwania Ubunge. Sasa mmeshindwa kwenye kura za maoni ndani ya CCM. Tena mmepigwa 'kipigo cha mbwa koko'. Sasa mmeamini kuwa CCM ina wenyewe na wenyewe ndio hao waliowapita kura za maoni na waliowakataa kupitia kura zao...
  11. Leslie Mbena

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dhana ya "mkono mtupu haulambwi" yaendelea kuonekana katika kura za maoni

    DHANA YA "MKONO MTUPU HAULAMBWI" YAENDELEA KUONEKANA KATIKA KURA ZA MAONI. Leo 20:45pm 21/07/2020 Nimeamini aliyevaa kiatu ndie mwenye kujua kiatu kinabana wapi,nimeshiriki katika kura za maoni juzi nikiwa na mapenzi tu ya Jimbo langu la Morogoro kichwani nikijua sasa naenda kuwaeleza wana...
  12. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Makundi ya Mafisadi na yaliyohujumu CCM 2015 yaanza kujikusanya kwa kushinda kura za maoni yakijiandaa kutoa Rais 2025 kutoka kundi lao

    Ukifuatilia vizuri na kuhoji watu mbalimbali wanaonaje matokeo yanayoendelea kura za maoni za CCM jibu utakalopewa ni kuwa yale makundi yaliypshindwa kuchukua nchi 2015 yakiwemo mafisadi na vibaraka wao na waliohujumu CCM uchaguzi wa 2015 yameanza kujikusanya kwa kushinda kura za maoni maeneo...
  13. Wakala

    JamiiForums Tanzania GE2020 Furaha Dominic Jacob mshindi wa kura za maoni CCM jimbo la Kawe ni nani?

    Habari, Naomba kupata Taarifa ya mshindi wa kura za Maoni Jimbo la Kawe ndugu Furaha Dominic ni nani haswa? Imekuwaje akawashinda vigogo wengine kwenye kura za maoni ndani ya CCM katika Jimbo la Kawe? Je, ni mpinzani sahihi kwa Halima Mdee kwenye uchaguzi wa Oktoba?
  14. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msichekelee wabunge wenu waliohamia CCM kupigwa chini kura za maoni. Waliobaki zamu yao ya kupigwa chini inakuja Uchaguzi Mkuu Oktoba

    Kuna msemo usema mwenzio akinyolewa wewe tia maji CHADEMA msichelee wabunge wenu waliohamia CCM kupigwa chini kura za maoni ndani ya CCM Hao wenu Waliobaki huko wasijione kuwa salama watashinda na kuzomea wenzao wahamiaji walioshindwa kura za maoni !!! Hao waliobaki CHADEMA watakoshindana na...
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli kama angesimama na mtu mwingine kwenye kura za maoni asingeshinda kama ilivyokuwa kwa Makonda

    Huu Uzi hauna kejeli, matusi wala dhihaka. Huu uzi umebeba ukweli mchungu (a bitter truth) ambao wengi hawaupendi. Kama Magufuli angesimamishwa na MwanaCCM yeyote imara kuwania tiketi ya kupeperusha bendera ya CCM 2020 katika ngazi ya Urais asingeshinda. Mioyoni mwa wanaCCM kuna siri na ajenda...
  16. Econometrician

    JamiiForums Tanzania GE2020 Maoni na mtazamo wangu baada ya kuwa mjumbe katika kura za Maoni za CCM katika moja ya majimbo hapa Tanzania

    Mambo pekee niliyoyabaini katika uchaguzi huu wa kura za maoni ni kama yafuatayo:- Ni mara 100 urudi utaratibu wa zamani wa kila mwanachama wa CCM arudi kupiga kura za maoni. Huu mchakato wa sasa hivi ndio una rushwa zaidi. Angalia wajumbe ukumbini wanakaa katika kata zao, wanakwenda kupiga...
  17. IMP

    JamiiForums Tanzania CCM Kalenga Yanunuliwa

    Katika hli isiyo ya kawaida, harakati za kuwania kuliwakilisha Jimbo la Kalenga katika Uchaguzi Mkuu ujao unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba 2020 zimeingia dosari baada ya watendaji mbalimbali wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kukubali kununuliwa na Wagombea ambao wana ushawishi mkubwa kwa kutumia...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: Kura za maoni za CCM tutegemee mambo haya kutokea tena

    Mh Kikwete aliwahi kutuambia kwamba wanaCCM hawaaminiani kwa kiasi cha kushindwa hata kuachiana maji ya kunywa mezani . Usemi huu wa Rais Mstaafu ungali hai hadi leo .
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kumekucha Arusha Mjini: Kura za maoni za ubunge moto wawaka, Lema aibuka kidedea dhidi ya Bananga

    Mwitikio si haba kama mnavyojionea wenyewe . UPDATES:
  20. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Dalili zinaonyesha hakuna msaliti wa upinzani atakayepenya kwenye kura za maoni ndani ya CCM

    Kuna kila dalili kuwa hakuna mwanasiasa kutoka upinzani ambaye alihamia CCM ili kuunga mkono juhudi (maarufu kama wasaliti) mwenye nafasi ya kupenya katika kinyang'anyiro kinachoendelea sasa cha kura za maoni ndani ya CCM kwenye ngazi yoyote ile, iwe ubunge, udiwani au viti maalum. Wasaliti wote...
Back
Top Bottom