Mbunge umehamia CCM tena unawatukana waliokupa ridhaa ya chama kugombea. Unatukana sana huku unajisahau kuwa unaenda kugombea ubunge kwa tiketi ya chama ambacho umehamia juzi. Chama ambacho unaenda kukutana na magwiji ha propaganda chafu yaliyojipanga tangia 2016.
Nawaambieni mtapata tabu sana...
Hakuna tena tafiti za TWAWEZA SNOVET na wengine kutuonyesha nani anaongoza mbio za urais 2020 kama ilivyokuwa 2010 na 2015. Pia vyama kwanini havipitishi kula ya maoni kwenye vyama vyao?
Vyama kama Chadema nilitegemea wapitishe kura ya maoni kwa nchi nzima na kupata sample pure ya mgombea...
Week ya kujifukiza inaendelea vizuri sana,hekima za viongozi wetu zimetamalaki na wanatuongoza vyema sana kuelekea nchi ya ahadi
Hlafu ma komredi wa ccm kama mbunge hatapost picha akiwa anajifukiza asipitishwe kura za maoni maana huo ni ukaidi wa amri halali ya mwenyekiti,tumeona miss paulina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.