kura za maoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kura za maoni: Yaani ina maanisha ndivyo ilivyokuwa?

    Yaani ina maanisha ndivyo ilivyokuwa?
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Malalamiko ya kura za maoni za uteuzi jimbo la Iramba umesababishwa na Dkt. Mwigulu

    Kuna baadhi ya kata zilitakiwa kurudia kura za maoni za uteuzi wa madiwani. Mojawapo ya Kata ni ile ya Ulemo ambayo Dkt. Mwigulu Nchemba alihakikisha iwe isiwe Diwani aliyekuwepo asiongoze tena. Mengi yalifanyika kuhakikisha hilo linafanikiwa. Binafsi niliandika barua kwa uongozi wa Wilaya na...
  3. Nkosi Sekeleli

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rushwa ilivokithiri Kura za maoni za CCM Jimbo la Kalenga

    Tarehe 21 / 7 / 2020 Ulifanyika uchaguzi wa kura za maoni kupata mgombea atakayepeperusha bendera ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 28 Jimbo la Kalenga mkoani Iringa. Katika hali isiyotarajiwa RUSHWA ilikithiri sana kiasi cha wajumbe kupewa pesa eneo la uchaguzi kilipo...
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lazaro Nyalandu ashinda kura za maoni CHADEMA kuwania Ubunge Singida Kaskazini

    .
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU kuwakamata na kuwachukulia hatua watu wote watakaojihusisha na vitendo vya rushwa kuelekea Uchaguzi Mkuu

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali imewaagiza Makamanda wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) nchini wahakikishe wanawakamata na kuwachukulia hatua watu wote watakaojihusisha na vitendo vya rushwa kuelekea uchaguzi mkuu. “Watu wamezoea vitendo vya rushwa kwenye...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Joseph Selasini, aviangukia vyama kuwasamehe vijana walioshindwa kura za maoni baada ya kuvihama vyama vyao

    Mbunge wa Rombo aliyemaliza muda wake Joseph Selasini, ameviomba vyama vyote nchini kuhakikisha vinawapokea vijana wote waliohama vyao vyao na kuhamia vyama vingine lakini wakashindwa kwenye kura za maoni kwa kuwa walishaonesha wanao uwezo wa kufanya kazi. Selasini ametoa kauli hiyo hii leo...
  7. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Rushwa kura za maoni CCM: Wahojiwe Wajumbe wenyewe na siyo kusubiri ushahidi wa TAKUKURU

    Katika kitu ambacho CCM kitabugi ni kupata ushahidi kutoka TAKUKURU ambao tumeona maeneo mengi kabisa nchini wameshindwa kuwajibika ipasavyo. TAKUKURU maeneo mengi rushwa zimetolewa wazi wazi na wanaangalia bila kuchukua hatua yeyote. Mimi natoka Wilaya ya Singida Vijijini, lakini Wilaya zote...
  8. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Humphrey Polepole: Dkt. Magufuli atachukua fomu ya Urais 06 Agosti Dodoma. Mwanachama aliyepiga mazonge kwenye kura za maoni atashikishwa adabu

    Katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi ndugu Polepole ataongea na watanzania kupitia vyombo mbalimbali vya habari. Mkutano utafanyika ofisi ndogo ya CCM - Lumumba, Dar es Salaam. Usipange kukosa kufuatilia. Juzi tulikuwa na NEC ilituita vyama vyote, taarifa muhimu tumepewa, kikao kilichopita...
  9. mgt software

    JamiiForums Tanzania Rais ajaye aongezewe nafasi 20 zaidi za teuzi za Wabunge, Bunge lijalo litajaa vihiyo wengi, tukifuata Demokrasia ya Kura za Maoni

    Baada ya vita kati ya wasomi na wajumbe kuisha, inaonekana wajumbe kushinda kete ya kuwaingiza wenzao kwenye bunge. Inaelekea wasomi hawajaleta tija kwao kutokana na kupwya kwa bunge lililopita. Kwa ufupi wa kulaumiwa ni hawa viongozi yani Ndugai na tulia walivyoshindwa kusimamia hhoja...
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

    Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo imewapitisha Tundu Antipas Lissu Lazaro Nyalandu na Dr Mayrose Majige kusaka nafasi ya kuwania Urais Tanzania. Katika kikao chake cha Kamati Kuu kilichomalizika usiku mnene majina hayo Leo yataletwa ndani ya Baraza Kuu ambao watakata mzizi wa...
  11. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwana wa kulitafuta Lijualikali kalipata, baada ya kuangukia pua Ubunge ajaribu udiwani na kuambulia kura 5. Adaiwa kutamani kurudi CHADEMA

    Habari kutoka huko jimboni Kilombero hali ya mtoto wa mjini Lijualikali ni tete kisiasa. Baada ya kuunga mkono juhudi kuangukia mikononi mwa spana za wajumbe wa CCM na kuambulia kura 2 ameamua kujiongeza na kwenda kwenye kura za maoni udiwani akaambulia kura 5,Sasa anaomba kurudi CHADEMA.
  12. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wabunge walioshindwa kuongoza kura za maoni ni wazembe kwa sababu ya ubahili

    Mtu unatoka bungeni ukiwa umekamilika na mzigo wako wa 200m+ kibindoni halafu kwenye kura za maoni unakuwa namba 3 huo ni uzembe uliotukuka. Hata sheria na kanuni zitakucheka. Maendeleo hayana vyama!
  13. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu amemtaka Shehe Majini kutokata tamaa

    Waziri Mkuu amemtaka Shehe Majini kutokata tamaa kwani kura za maoni ni mchakato tu lakini maamuzi " yenyewe" yanafanyika huko juu. Mh Majaliwa amesema subra ni jambo muhimu na Shehe Majini aliyegombea ubunge jimbo la Handeni kwa tiketi ya CCM anapaswa kuwa na subra. Chanzo: TBC My take; Hata...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Rushwa iliyomwagwa kwenye kura za maoni za ubunge CCM Kyela inatisha, kuna mgombea amegawa pikipiki kwa kila katibu kata

    Taarifa ya rushwa kwenye kura za maoni kwenye ubunge wa CCM Kyela kila mwananchi wa Kyela nikiwemo mimi anajua Yuko mgombea mmoja ambaye alimwaga pikipiki kwa kila katibu wa kata kwenye jimbo hilo, kwa kadri ya ufahamu wangu kuhusu rushwa za uchaguzi wa ccm kyela, hii ni funga kazi, katika...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Hongera sana CCM kwa mchakato wa kura za maoni

    Ndugu zangu, salamu. Napenda kuchukua fursa hii kukishukuru chama changu kwa kuendesha vizuri mchakato wa kura za maoni kwa ngazi ya majimbo na viti maalumu. Ni imani yangu kuwa michakato mingine itaendelea vyema kwa ngazi zinazofuatia. Ninajua zipo changamoto ndogondogo za madai ya rushwa...
  16. the kind

    JamiiForums Tanzania CCM Korogwe huyu Shebila Iddi Shebila amehonga sana wajumbe kura za maoni na kiukweli hakubaliwi

    Habari za uzima watanzania,MwenyeziI Mungu atufariji kwa kipindi hiki kigumu kwa kuondokewa na kiongezi wetu mpendwa Bila kupoteza muda nawaomba viongozi wa CCM kwa ujumla kufatilia nyendo za huyu SHEBILA aliekua diwani wa kata ya KERENGE muhula uliopita lakini pia kufuatilia/wamulike mwenendo...
  17. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Walioongoza kura za maoni Hai Kilimanjaro watangazwa rasmi kuwa wamepitishwa na CCM kugombea Oktoba 2020

    Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza. Katibu wa CCM wilaya yaHai mkoani Kilimanjaro, siku ya leo baada ya kumalizika kwa uchaguzi wa udiwani kupitia viti maalumu, amewatangaza rasmi madiwani wa kata,viti maalum na mbunge Saashisha kuwa wamepitishwa rasmi kugombea nafasi zao walioongoza kwenye...
  18. kimpango

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Katibu Mkuu (CCM) Taifa uvurugwaji wa Uchaguzi wa Kura za Maoni CCM-Kiluvya

    Mheshimiwa katibu hatuna namna ya kukufikia zaidi ya njia hii tupokee 27th Julai 2020 KWA KATIBU MKUU (CCM )TAIFA NAKALA KWA MWENYEKITI WA CCM TAIFA , KATIBU WA CCM MKOA WA PWANI, KATIBU WA CCM WILAYA YA KISARAWE, KATIBU WA CCM KATA YA KILUVYA Yah: MALALAMIKO KUHUSU UCHAGUZI WA KURA...
  19. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Funzo nililolipata baada ya kupata 0 kwenye kura za maoni za udiwani CCM

    Salamu zenu wakuu, Kwa mara ya kwanza nami nikiwa Kama kijana nikatia nia ya kugombea udiwani kupitia CCM huko Katani kwetu. Namshukuru Mungu mwingi wa rehema kwangu kwa kunipa ninachostahili katika zoezi lile la kura za maoni zilizofanyika jana siku ya Jumamosi ya tarehe 25/07/2020. Kwanza...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Pesa ilikuwa ndiyo sifa ya kwanza kwenye kura za maoni CCM

    Mambo yamebadilika ndani ya CCM. Dosari kubwa ni jinsi mchakato wa kupata wagombea unavyoendeshwa ambapo hakuna tena muda wa mwanachama anayegombea kujieleza kwa undani na kumwaga sera na mipango yake ya maendeleo. HAKUNA mgombea yoyote katika jimbo lolote aliyepata kura tano na kuendelea...
Back
Top Bottom