kura

Rúben de Almeida Barbeiro (born August 21, 1987 in Leiria), better known by his stage name KURA, is a Portuguese electro house DJ and record producer. Kura has released tracks through labels such as Hardwell's Revealed Recordings, Flashover Recordings, Musical Freedom, and Spinnin' Records, among others.

View More On Wikipedia.org
  1. Mohamed Said

    Bunge la Kura Tatu

    1958-9 Tanganyika Legislative Council. There were 10 constituencies. Voters voted for an African, Asian and European candidate in each constituency. Front row from right : Shyam Thanki (Southern - Asian - Lindi), Rashid Kawawa (Dar es Salaam - African), Julius Nyerere (Eastern Province -...
  2. Waufukweni

    KUMBUKIZI | Mo Dewji: Wanasiasa wengi hawatimizi 'ahadi' zao, wakitaka Kura wanaenda kuahidi uongo

    Mfanyabiashara Mohammed Dewji, na aliyewahi kuwa Mbunge wa Singida kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanzia 2005 hadi 2015 akizungumza Oktoba 27, 2015 kwenye kipindi cha Mkasi
  3. Roving Journalist

    PostGE2025 ACT: Tunapinga na Kulaani mpango wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar kuchoma Ushahidi wa Wizi wa Kura

    CHAMA CHA ACT WAZALENDO TUNALAANI NA KUPINGA MPANGO WA ZEC WA KUCHOMA USHAHIDI WA WIZI WA KURA ZANZIBAR – 4 FEBRUARI, 2026 – Wakati timu yetu ya Wanasheria ikiwa mbele ya Mahakama Kuu kuomba Kukagua na Kupata nyaraka muhimu za uchaguzi (Application for Discovery and Inspection), Tume ya...
  4. B

    Wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Bunge hawakupigiwa kura

    Wenyeviti wengi wa Kamati hizo walitakiwa kupigiwe kura kama ilivyo kawaida lakini kilichofanyika majina yalikuja from no where watu wakasomewa majina ya Wenyeviti, ikawa imeisha hiyo. Wabunge walibaki na maswali yasiyo na majibu. Kisha huku nje ikaja kutangazwa kuwa wamepigiwa kura wameshinda...
  5. R

    Ujumbe wa Leo: Wizi wa kura ni Chukizo kwa Mungu by Padre Kitima

    Huu ndio ujumbe wa Leo Msikilize
  6. K

    Benki Kuu inafisha ukweli? ‘Kusawazisha mizani’ ndiyo nini?

    Bank kuu sio kijiweni kuna utaalamu wa kufanya mambo. Hakuna kitu kama kusawazisha mizani yaani bank kuu inanunua gold sasa kusawazisha mizani maana yake ni nini? wanajua kabisa wanaeleza vitu ambavyo havipo kwa lengo ya kuuza gold bila watanzania kujua idadi maalumu na bila kukubali wanauza...
  7. R

    Museveni: Wana bahati wafuasi wetu hawakupiga kura wote, vinginevyo kusingekuwepo na Upinzania Uganda

    Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, amejitetea juu ya ushindi wake katika uchaguzi wa urais, akisema kuwa ushindi wa asilimia 72 si ule aliyotarajia. Amefafanua kwamba chama chake kina wanachama zaidi ya milioni 21, kati ya hao milioni 18 wakiwa wapiga kura waliyojisajili, na kama wote wangepiga...
  8. W

    Bobi Wine apiga kura

    Mgombea urais wa upinzani nchini Uganda Ssentamu Robert Kyagulanyi almaarufu Bobi Wine amepiga kura. Bobi alifika katika kituo cha Freedom Square Magere akiandamana na mkewe Barbie. Bobi Wine wa chama cha NUP anakabiliana na rais wa sasa Yoweri Kaguta Museveni ambaye amekuwa madarakani kwa...
  9. W

    Shughuli za Upigaji kura zachelewa Uganda

    Shughuli za upigaji kura zimechelewa kuanza katika maeneo mengi nchini Uganda. Awali ilitarajiwa kuwa vituo vingefunguliwa saa moja asubuhi, lakini kufikia saa mbili na nusu asubuhi, wapiga kura walikuwa bado hawajaanza kupiga kura. Zaidi ya raia milioni 21 wanatazamiwa kushiriki uchaguzi wa leo...
  10. R

    Myanmar kuendelea kupiga kura katika uchaguzi uliotawaliwa na Jeshi

    Taifa la Myanmar linaendelea na zoezi la kupiga kura katika awamu ya pili ya uchaguzi, ambao hadi sasa umetawaliwa na chama kinachoungwa mkono na jeshi linalotawala, huku serikali ya kijeshi ikijaribu kupunguza uzito wa ushiriki mdogo wa wapiga kura katika awamu ya kwanza ya zoezi hilo...
  11. U

    PostGE2025 Dkt Richard Mbunda: Takwimu za Matokeo ya uchaguzi wa 29/10 haziendani na takwimu za wapiga kura. Wahusika (INEC) wa kutengeneza uongo hawakuwa makini

    https://youtu.be/hCgMt6sD0zM?si=dqkSFZPmFfSlwzUZ Tutaelewana tu Eti jumla ya wapiga kura 32,000,000 plus walitokeza kupiga kura... Kati ya hawa wote eti 98% wakampigia kura Samia Suluhu Hassan wa CCM sawa na karibu nusu ya Watanzania Cha ajabu, huyu mshindi wa 98% anaogopa 2% ambao...
  12. Genius Man

    Oct 29 shughuli zote zilisimama mapema sana asubui, internet ilizimwa asubui, usafiri haukuwepo asubui tume ilipata wapi rais, wabunge na madiwani ?

    Oct 29 shughuli zote zilisimama mapema sana asubui, internet ilizimwa asubui, usafiri haukuwepo asubui tume ilipata wapi rais, wabunge na madiwani ? Moja ya hoja kuu kuwa hakukuwa na uchaguzo kabisa oct 29, ni kwamba internet ilizimwa, usafiri haukuwepo kabisa hakuna shughuli yoyote mpaka mida...
  13. Kimbesa11

    Si Kila mtu anaweza kupiga kura za tuzo za kimataifa Sheria na vigezo huzingatiwa, mbona hata vichaa wangepiga kura

    Hizo tuzo za kidunia hizi Tunazozijua zinataratibu zake za jinzi ya kupiga kura, na watu wenye sifa za kupiga kura huwa wanaainishwa kwenye website ya tuzo husika, na ili kupiga kura lazima uwe verified kabisa na upigaji wa kura Huwa unakuwa na ratiba ambayo wanatumiwa wenye sifa tu (voting...
  14. K

    PostGE2025 Tatizo la Tanzania: Samia hataheshimiwa baada ya kuiba kura kijinga!

    Uongozi wa Samia hautakuwa kama miaka iliyopita na tusahau mambo kurudi kama zamani. Samia amepoteza heshima kwa chama chake, nchi yake na wananchi wake. Nani atamweshimu mtu fake! Yaani ni sawa na kufanyiwa operation na Dr ambaye amefeli mitihani yote na kutegemea utakuwa salama! Tukubali tu...
  15. Scott junior

    Watu waliopiga kura milioni 31 wameshindwa hata ku-view nyimbo za wasanii wao SISI

    “Watu waliopiga kura milioni 31 wameshindwa hata ku-view nyimbo za wasanii wao 😂😂 Demokrasia online imegoma kufanya kazi 🤣” WE NANI ANA NAMBA ZA MAMA AMPIGIE KUNA WATU WANAVIPAJI VYA KUCHEKESHA AENDE AKECHEKESHE SISI WANANCH TUKATISHIWA NYAU ETI KOSA SI KOSA WAKASEMA TUWAACHE SI TUKAWAACHA...
  16. R

    Kwa nia njema tu: ACT Wazalendo mnakwenda Peramiho kulinda kura?

    Maana na nyinyi ni kama wendawazimu! Hamjui mnalenga nini, matumbo yenu au usitawi wa taifa! Zito nenda kajaribu maana na wewe akili zako unaziweza mwenyewe na masheikh wenzako. Amen.
  17. The Palm Beach

    PostGE2025 Kura 98% za Samia sawa na Watanganyika 32,000,000 waliompigia kura, zageuka shubiri wanamuombea kifo...!!

    Duuh, Bongo kuna maajabu mengi sana... Ni ngumu sana kuupaka uongo pafyumu na usionekane kuwa ni uongo...!! Inawezekana vipi kiongozi mkuu wa nchi aliyejitangaza mshindi kwa 98% ya kura zote ktk kile wanachokiita uchaguzi wa 29/10 na ghafla hata mwezi haujaisha haohao mamilioni waliomchagua...
  18. sanalii

    Kwanini wapiga kura Mil. 31 wa CCM wasiwasapoti wasanii waliowaburudisha kipindi cha kampeni?

    Wasanii walishiriki kampeni upande ambao ulipata kura mil. 31, ushindi mkubwa kabisa huu!. Sasa hawa watu ambao ni nusu ya watanzania kwanini wasiwasapoti? Kama waliweza kwenda kupiga kura hatika tension ile wanashindwa kuingia youtube kuwasapoti? Hakika uongo una lifespan ndogo sana, Huyu...
  19. Nyani Ngabu

    PostGE2025 ‘Ulipata’ kura zaidi ya milioni 31 lakini leo umejificha

    Maajabu ya Samia hayo! Kwamba eti alipata kura zaidi ya milioni 31. Ambazo eti ni 97.6% ya kura zilizopigwa. Ila cha ajabu, akajiapisha uani na kuwanyima fursa hao wapiga kura wake milioni 31 kusherehekea huo ‘ushindi’ wake. Leo ni maadhimisho ya 64 toka Tanganyika ipate uhuru. Ni siku...
  20. Mikopo Consultant

    PostGE2025 Resource Gap: Inawezekana kabisa kura Milioni 32 kuhesabiwa kwa siku 2, ila sidhani kama zilihesabiwa!

    Bilionea kijana wa kibongo, Benjamin Fernandez, amehoji kwamba, "Kwanini uchunguzi unachukua miezi mitatu, lakini kuhesabu kura milioni 32 inachukua siku 2 bila internet?" Japo wengi wameunga mkono huo mtizamo, ila kwangu, mimi nasema kwamba: inawezekana kabisa kuhesabu kura milioni 32 kwa...
Back
Top Bottom