kupoteza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada: Mtoto kupoteza uwezo wa kuongea

    Natumai nyote mko vyema. Moja kwa moja kwenye mada, nina mtoto wa kiume ambaye mwezi wa sita mwaka huu ametimiza miaka miwili. Stages nyingine zote kama kukaa, kutambaa, kutembea, kuanza kuota meno etc. alizipitia kwa wakati. Akiwa na around mwaka mpaka mwaka na nusu alikuwa anaweza kusema mom...
  2. JamiiForums Tanzania Watanzania, ni muda umefika wa kumpa nchi Tundu lisu, hatuhitaji kupoteza muda tena, Tutajikuta mateka!

    Ukweli usiopingika, watanzania wanyonge wananyongwa haswaa ili tu kufanikisha misheni za wana ccm wachache, bora hata kipindi cha mwendazake wanyonge walithaminiwa, Nachukulia mfano mdogo tu wa juzi juzi ndio uone kabisa, ccm inawatafuna watanzania, Hivi majuzi, tarifa kupitia ITV...
  3. JamiiForums Tanzania 13 wahofiwa kupoteza maisha mitumbwi miwili ikizama Ziwa Victoria

    Watu 13 wanahofiwa kufariki dunia huku wengine 14 wakiokolewa baada ya mitumbwi miwili kuzama ndani ya Ziwa Victoria wakati wakitoka kusali ibada ya Jumapili Kijiji cha Ichigondo Wilaya ya Bunda mkoani Mara. Akizungumza kwa simu na Mwananchi leo Jumatatu Julai 31, 2023, Mkuu wa Wilaya ya Bunda...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Jamani hivi nini kinasababisha mtoto mchanga kutokwa na damu puani na mdomoni na hatimae kupoteza maisha? (Kufariki)

    Jamani hivi nini kinasababisha mtoto mchanga kutokwa na damu puani na mdomoni na hatimae kupoteza maisha? (Kufariki).
  5. JamiiForums Tanzania Msuguano mkali unaendelea Bakhmut, Warusi waendelea kupoteza maeneo ndani ya mji

    Bakhmut inandelea kuwa kichinjio cha Warusi, wamefia sana pale na wanasogeshwa nyuma, hivi kwenye vitabu vyao vya historia, itaandikwa walifia nini hapo Bakhmut maana hivi karibuni wataondolewa kabisa, wamekufa zaidi ya 100,000 After the successful offensive actions, the Armed Forces of Ukraine...
  6. JamiiForums Tanzania Kuhangaika na Mahusiano ya Kimapenzi katika zama hizi ni kupoteza Muda

    Baada ya purukushani za muda mrefu sana na haya maisha nimegundua kukosa umakini wa kufikiri na kuamua mambo kwa weledi yamepeleka mahusiano ya mapenzi kuwa ndio chanzo kikuu cha watu wengi kupoteza mielekeo mizuri ya maisha. Ujana, utu uzima na uzee una mambo mengi sana ambayo huwezi...
  7. JamiiForums Tanzania Harry Maguire kupoteza unahodha Man United

    Inadaiwa kuwa beki huyo wa kati anayehusishwa kuondoka ndani ya Manchester United hata ikitokea akabaki kikosini anaweza kupoteza cheo cha kuwa nahodha mkuu wa timu badala yake nafasi hiyo ikaenda kwa Bruno Fernandes. Uamuzi huo unatarajiwa kufanyika wiki hii kutokana na Kocha wa United, Erik...
  8. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Madaktari zaidi ya 300 hatarini kupoteza nafasi kufuatia maamuzi ya Baraza la Madaktari

    Hii inapelekewa na uwepo wa kitu kichoitwa "post internship examinations" Baraza la madakitari Tanganyika limeandaa utaratibu wa kufanyisha mitihani ya kusajili madakitari tangu mwaka 2021, lakini mtihani huo umujawa na sintofahamu kibao; 1. Zaidi ya vijana 200 wamemaliza mafunzo ya utarajali...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Songwe: Amuua mtoto wa mumewe akimtuhumu kupoteza ng’ombe wawili

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limethibitisha kumkamata Veronica Petro (24) mkazi wa Wilaya na Mkoa wa Songwe akituhumiwa kumuua mtoto wa mume wake, Mageshi Usiga (7) aliyekuwa akimlea. Kamanda wa polisi mkoani humo, Theopista Malya, amesema mtuhumiwa alitenda kosa hilo baada ya mtoto huyo...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali imeamua kabisa kula kuku kwa mrija kufurahia watanzania kupoteza maisha/kupata ulemavu wa kudumu

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!. Hivyo ndivyo navyo weza kusema kwasababu ni kama viongozi waliopewa dhamana ya kuwatumikia watanzania na kuhakikisha mali na usalama wa maisha yao unalindwa kwa wivu mkubwa. Hizi ajali zinazoendelea kuwamaliza watanzania na kuwaacha wengi wakiwa na...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kupoteza marafiki sababu ulishindwa kutoa mchango wa harusi?

    Imekuwa kawaida mtu anapokuwa anatarajia kuoa/kuolewa kutoa kadi za michango kwa ndugu, jamaa na marafiki ili wakamilishe jambo lao. Kimbebe kinakuja pale umepewa kadi halafu kutokana na changamoto mbalimbali ukashindwa kutoa mchango huo. Jamaa huwa hawaelewi na ndio inaweza kuwa chanzo cha...
  12. JamiiForums Tanzania Tujifunze: Kipindi ambacho dini na imani zilianza kupoteza nguvu na kuanguka Ulaya

    Je, wafahamu ni kipindi gani hali ya kupoteza nguvu na kuanguka kwa dini Ulaya kilianza miaka ipi na karne gani? Simple fact: Tujifunze, wenda hali hii ya sasa ya mataifa mengi ya ulaya kuteteleka katika mambo ya imani na dini yakushanganza na kujenga maswali mengi katika ufahamu wako kuhusu...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Tunasafisha masink ya vyoo, kunawia yaliyofubaa na kupoteza mvuto

    Wakuu salama kama kichwa kinaojieleza hapo juu tunatoa huduma ya kusafisha masink yalyofubaa kwa wakazi wa jiji la dar es salaam tunakuja popote ulipo ndani ya jiji hili. Gharama ni 10k kwa vyoo na 6k kwa masink ya kunawia. Kama una uhitaji njoo PM au piga namba 0783672221. Karibuni
  14. JamiiForums Tanzania Watu kadhaa wahofiwa kufariki baada ya Lori lenye kontena kuparamia wafanyabiashara

    Watu kadhaa wanahofiwa kufariki dunia na wengine kujeruhiwa baada ya lori lenye kontena kufeli na kuparamia wafanyabiashara na kwenda kuingia moja kwa moja kwenye jengo lenye ofisi za michezo ya kubahataisha katika eneo la Yombo Vituka Mwisho wa Lami. Ajali hiyo imetokea hii leo Juni 13, 2023...
  15. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi 90% wa Bandarini sasa kupoteza ajira?

    Salaam Wakuu Teknolojia ya bandarini haitamuacha mtu salama. Inabidi watu wakarudi kusoma pale chuo cha bandari Temeke ambacho kinaenda kuwekewa vifaa vya kisasa vya kufundishia. Hivi karibuni Kampuni ya AD Ports Group ilisaini mkataba na kampuni ya Adani na SEZ Ltd kwa ajili ya uwekezaji wa...
  16. JamiiForums Tanzania Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Usalama wa Taifa, umewapa 'Kinga ya Jinai' Maafisa Usalama

    Serikali ya Rais Samia imepeleka muswada wa mabadiliko ya sheria ya usalama wa taifa - TISS ambao kwa ujumla wake una mapungufu mengi ikiwemo kuwapa kinga ya makosa ya jinai kwa maafisa wa idara hiyo. Jambo hili limezua mijadala maeneo tofauti watu wakiuliza Rais Samia anataka kuwatumia maafisa...
  17. JamiiForums Tanzania SI KWELI Wallace Karia Rais wa TFF asema si vyema Yanga kwenda na ndege ya Rais baada ya kupoteza mchezo

    Salaam ndugu zangu, Nimekutana na video fupi ikionesha Rais wa TFF Wallace Karia akisema kwamba itakuwa si vizuri kwa Yanga kwenda na ndege ya Rais baada ya kupoteza mchezo. Je, kuna ukweli wowote wa juu ya hili? Tusaidieni kumhoji Picha1: Sehemu ya Tweet inayomlaumu Rais Karia kwa kauli...
  18. JamiiForums Tanzania Vurugu zilitokea taifa zimesababisha mtu mmoja kupoteza maisha na makumi ya majeruhi wapo hospital

    Suma jkt na tff lazima wabebe lawama hii kulikuwa na haja Gani ya kutumia polisi ..maji ya kuwasha na virungu kwa raia wasio na hatia na viingilio wamelipwa?
  19. JamiiForums Tanzania Kupoteza vibes na mitoko ya Usiku.

    Hi wanajukwaa Nimekuja mji x kikazi,nimefika kwenye saa 12 jion,nikabook hotel,nikaoga na kupumzika kidogo. Mida ya saa 2 usiku wadau wakanipitia room kwangu,tukatoka kupata chakula,then vile ni wikend wakasema tukae tule bata na kuinjoi mziki.Tumeinjoi hadi mida ya saa 4 usiku,mie nikaona...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Walipopoteza unyenyekevu na Taifa likaanza kupoteza maadili na ubinafsi ukaanza kuota mizizi

    Zipo picha nyingi za ikulu ile ya awamu ya kwanza. Huwa zinatukumbusha mambo mengi, yakiwemo mazuri na mabaya pia. Ni kumbukumbu zinazotunzwa ili angalau ziwaonyesha watoto na wajukuu ule utamaduni mzima wa uongozi wa awamu ya Mwalimu Nyerere ulikuwa vipi. Ipo picha ya Mwalimu akiendesha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…