Pepsi imepotea madukani

Kali _D

Senior Member
Feb 10, 2019
145
132
Kinywaji cha soda aina ya pepsi kimeadimika katika maduka mbalimbali Jijini Dar es Salaam. Ni vyema hatua za haraka zikachukuliwa kunusuru hali hiyo hasa tunapoelekea katika kipindi hichi cha sikukuu za mwisho wa mwaka.
 
Pepsi zimeadimika sehemu kubwa nchini.

Wametuletea ma pepsi big zero sijui ya nini wakati hayana sukari yamejaza gesi tu ikiisha soda mbovu balaa
 
Kinywaji cha soda aina ya pepsi kimeadimika katika maduka mbalimbali Jijini Dar es Salaam. Ni vyema hatua za haraka zikachukuliwa kunusuru hali hiyo hasa tunapoelekea katika kipindi hichi cha sikukuu za mwisho wa mwaka.
Achana nayo kitu mirinda
 
Kinywaji cha soda aina ya pepsi kimeadimika katika maduka mbalimbali Jijini Dar es Salaam. Ni vyema hatua za haraka zikachukuliwa kunusuru hali hiyo hasa tunapoelekea katika kipindi hichi cha sikukuu za mwisho wa mwaka.
Unapigania haki ya kunywa kemikali.

Ungeniambia matunda yanapotea sokoni walah tungefanya dua la kitaifa.

Pepsi ziende tu maana zimeharibu maisha ya wengi kiafya
 
Kinywaji cha soda aina ya pepsi kimeadimika katika maduka mbalimbali Jijini Dar es Salaam. Ni vyema hatua za haraka zikachukuliwa kunusuru hali hiyo hasa tunapoelekea katika kipindi hichi cha sikukuu za mwisho wa mwaka.
Takbiiir
 
Huku zipo nyingi tu mbona?
 
Kinywaji cha soda aina ya pepsi kimeadimika katika maduka mbalimbali Jijini Dar es Salaam. Ni vyema hatua za haraka zikachukuliwa kunusuru hali hiyo hasa tunapoelekea katika kipindi hichi cha sikukuu za mwisho wa mwaka.
Yaani sikukuu na Pepsi? Ndo hatua zichukuliwe haraka? Hiyo ni biashara ya mtu atajijua
 
Back
Top Bottom