kupotea

  1. P

    JamiiForums Tanzania Misemo iliyobamba na kuacha gumzo, tupia unaokumbuka

    Wakuu, Kuna vimesemo na vijimaneno huwa vinazuka na kubamba na kisha kupotea baada ya muda. Unakumbuka msemo gani uliobamba sana na kusepa na kijiji? Tupia hapa na watoto 2000 wapate vya kusimulia. Si mbaya ukaeelezea kwa kifupi msemo ambao unaona sio maarufu kwa wengi, utuambie ulitokea hapi...
  2. OCC Doctors

    JamiiForums Tanzania Kuyeyuka na kupotea kwa Mimba

    Kifuko cha ujauzito baada ya mimba kutunga (gestational sac) ni muundo uliojaa maji unaozunguka kiinitete (embryo) wakati wa wiki chache za ukuaji wa kiinitete. Tatizo la Kuyeyuka kwa mimba 'Blighted ovum' hutokea pale ambapo kifuko cha ujauzito (gestational sac) kinakua bila kiinitete...
  3. Shakil Bhanji

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa taratibu na gharama za kutangaza kwenye gazeti kwa kupotea hati za ardhi

    Habari. Naomba kujua garama na utaratibu wa kutangaza kwenye gazeti kupotea hati ya ardhi. 1. Muda inayotakiwa kutangaza. 2. Garama na gazeti gani kutangaza. 3. Mawasiliano yao
  4. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Uchumi unakufa sababu ya kupotea kwa dola, wafanyabiashara wa nchi za kigeni/wawekezaji huenda ndio chanzo

    Sijui vizuri mambo yanayohusu uchumi ila utaalamu wangu upo kwenye kumanage rasilimali watu pekee na kusuluhisha mambo ila binafsi nimeona malalamiko mengi ya kupotea kwa dola, panda shuka ya bidhaa (inflation) ambapo kwa kiasi kikubwa machungu hubebeshwa mwananchi wa kawaida na kwa bahati mbaya...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Tukio la Stanslaus Ishengoma kutoa tangazo la kupotea na kumtafuta jirani yake Abdallah Juma limenigusa sana sana!

    Nimemuona ITV kwenye kipindi cha 'YUPO WAPI?' Anasema ni jirani yake huyo ametoweka tangu 28.2.24 bila kujulikana ameelekea wapi. Ameongeza pia kuwa mtafutwa ana tatizo la kifafa na kwamba ni majirani tu hapa mjini. Kwa uzoefu wetu tu tunajua hapo ni watu wa imani mbili tofauti lakini wameishi...
  6. Kinuju

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso awasweka ndani wahandisi, mkandarasi Handeni

    Handeni. Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameliagiza jeshi la polisi wilayani Handeni kuwakamata na kuwaweka ndani watumishi wawili wa wizara hiyo na mkandarasi anayejenga bwawa la Kwenkambala kwa kushindwa kumpa taarifa sahihi kuhusu ujenzi wa bwawa hilo. Waziri Aweso ametoa agizo hilo leo Jumanne...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali: Matukio 21 ya watu kutekwa na kupotea yamepatiwa ufumbuzi

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni ameeleza kuwa robo tatu ya matukio yaliyoripotiwa ya watu kutekwa na kupotea kwa mwaka 2023 tayari yamepatiwa ufumbuzi. “Sio kwamba labda watu wanapotea halafu hakuna kinachofanyika, watu hawawapati wahalifu, hawawapati wahanga sio sahihi, ameeleza...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi latoa ufafanuzi wa kupotea Kwa Baba na Mtoto Mkoani Geita

    Jeshi la Polisi nchini limetoa ufafanuzi wa taarifa iliyo ripotiwa katika baadhi ya vyombo vya Habari ambayo ilikuwa na kichwa cha habari kisemacho, kashfa Polisi yahusishwa na kutekwa kwa Baba na mwanawe. Akitoa taarifa hiyo leo Januari 31,2024 msemaji wa Jeshi la Polisi nchini Kamshna...
  9. Championship

    JamiiForums Tanzania Tukio la kupotea kwa watu wengi hapa duniani kwa wakati mmoja limekaribia sana kutokea

    Ile siku ambapo watu wengi watapotea kwa wakati mmoja duniani kote imekaribia sana. Inaelezwa kwamba taifa fulani lilipochipuka na kukua basi ni ishara. Pia tukio hilo litatokea ndani ya miaka 100 ya taifa hilo, ambayo ni kizazi kimoja. Aidha, wengi pia watakufa siku hiyo kwasababu baadhi ya...
  10. Influenza

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wadau washauri kusiwe na Ada ya kupata Kitambulisho kipya cha Mpiga Kura iwapo cha awali kitafutika au kupotea

    JamiiForums , Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Jukwaa la Katiba (JUKATA), Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Taasisi ya Twaweza na Centre for Strategic Litigation (CSL) wametoa maoni kwenye Miswada ya Sheria ya Uchaguzi na kushauri kusiwe na gharama za kupata Kitambulisho kipya...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Nini kimefanya beer aina ya Heinken na Windhoek kupotea kabisa sokoni?

    Wanabodi, Nini kimetokea hadi kufanya beer aina ya windhok na Heinken kupotea sokoni? Nimepita maeneo tofaut tofauti, wanalalamika beer hakuna! Hii inapelekea bei yake kuwa juu tofauti na uhalisia. Shida ni nini?
  12. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Ni Mazingira gani ya mtoto huyu kupotea

    Salaam na jukwaa, Nitangulize samahani kwa uandishi mbovu (usiofata kanuni) na moja kwa moja naenda kwenye mada. Kutoka shehia ya kibweni mtaa wa Mwanyanya Zanzibar kuna mtoto wa kiume alipotea kwenye mazingira yasiyo fahamika na hadi sasa juhudi za kumpata zimegonga mwamba. Chanzo cha...
  13. Superbug

    JamiiForums Tanzania Ni sababu zipi zinazofanya kupotea kwa Ben Rabiu Saanane lionekane ni jambo dogo mbele ya vyombo vya dola?

    Kama alivyosema msemaji wa serikali Mobhare Matinyi kwamba huwa wanasoma mijadala yote muhimu ya humu jamiiforum; basi tunaomba kama watanzania tupatiwe majibu ya swali hili maana sio jambo la kawaida. Mods msifute huu uzi wala kuunganisha maana unaenda sambamba na kauli ya Mobhare Matinyi juu...
  14. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Wanadiplomasia Wabobezi wameanza kupotea na ni adimu sana Tanzania miaka hii ya karibuni

    John Malecela Salim Ahmed Salim Mrisho Kikwete Balozi Mahiga Liberata Mulamula Balozi Asha Rose Migiro( kunradhi balozi) Prof Anna Tibaijuka( kunradhi Prof) Kuna wakati Tanzania tulikuwa na hazina kubwa ya wanadiplomasia waliokubuhu kutetea maslahi ya nchi na Afrika kwa ujumla. Kizazi...
  15. MAMESHO

    JamiiForums Tanzania Huduma Mbaya, Uarasimu na kupotea hovyo mtandao wa NHIF

    Nimekaa hosptali kuanzia asubuhi mpaka sasa hivi saa sita hapa. Dar Group. NHIF mtandao hausomi. Nimesikitika sana. Naumwa jino nina maumivu makali. Nimeshindwa kupatiwa huduma. Inaathiri muda wa kazi maana nimeomba ruhusa. Tafadhalini fanyeni maboresho hali hii sii njema Naambiwa...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Kupotea na kutoweka kwa Mtoto wa Rais Thabo Mbeki eneo la Mazimbu Morogoro. Nani walihusika?

    Ktk pitapita zangu viunga vya YouTube nakutana na kisa hiki. Ikumbukwe South Africa walikuwa na kambi ya wapigania Uhuru eneo la Mazimbu Morogoro. Aliyewahi kuwa Rais wa South Africa Thabo Mbeki 1999 Hadi 2008 alikuwa na Mtoto mmoja tu wa pekee aitwaye Kwanda Mbeki. Alimzaa na Mwanafunzi wa...
  17. Elon J

    JamiiForums Tanzania Biashara zinanzoelekea kupotea kutokana na mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia

    (1) Biashara ya kuunza Magazeti Hii ni biashara ambayo imewatoa watu wengi sana kama akina ERICK SHIGONGO mf. gazeti lake la ijumaa,Sun etc. But now days watu weng wanapata habari kupitia kwenye simu, TV etc. Mfano akina MIllard Ayo etc. (2) Biashara ya kuunza mafuta ya taa Hii ni biashara...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kupotea sehemu unayoijua inasababishwa na nini?

    Kipindi hicho nakaa Tegeta kwa Ndevu niliwahi kupotea, yaani baada ya kushuka kwenye daladala nikawa siioni njia ya kuelekea nyumbani nilikokuwa nakaa. Nilizunguka sehemu moja kwa muda mrefu huku nikiona kama baadhi ya watu wananisema. Mpaka leo sielewi kilinipata nini maana hiyo sehemu sikuwa...
  19. Kilimbatzz

    JamiiForums Tanzania Naanzisha kampeni na programu ya kumlinda na kumhifadhi(protect) mwanamke mweusi anayeelekea kupotea duniani

    Mwanadamu tangu kuumbwa kwake Kwa kudhamiria au bahati mbaya ameshaharibu viumbe wengi amabao Kwa sasa hawapo kabisa(extinct) Mifano ipo mingi,nikihamua kuiandika hapa nitaijaza JamiiForums nzima Karma ya kuangamiza viumbe wengine sasa imemugeukia binadamu mwenyewe Mwanamke mweusi siku hizi...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Fahamu zaidi kuhusu 'Submarine' ya Titan iliyotoweka kwa siku 4 na kuua watu 5

    Siku 4 za utafutaji wa 'Submarine' ya Titan zimetamatika Juni 22, 2023 kwa kutolewa taarifa mbaya ya kufariki kwa Watu 5 waliokuwa ndani yake wakielekea kutalii katika eneo yalipo Mabaki ya Meli ya Titanic. Jeshi la Wanamaji la Marekani (US Navy) limeripoti kuwa kilisikia kishindo saa chache...
Back
Top Bottom