kupotea

  1. mkaskaz

    JamiiForums Tanzania Utekaji na kupotea kwa raia umeyavua nguo majeshi ya Tanzania.

    Hivi hii nchi ina Mkuu wa Polisi kweli? Mkuu wa Majeshi ya ulinzi je, yupo? Mkuu wa Usalama wa Taifa? Au hawajaapishwa kuanza majukumu bado? Inawezekanaje watu wanapotea, kuteswa na kuuwawa na ninyi mpo? Au silaha zenu ni duni kuliko hao watekaji? Au na ninyi mnahusika kwenye huu utekaji wa...
  2. RALC255

    JamiiForums Tanzania Mwenza Kupotea kwa Miaka 5 Kunatosha Kuvunja Ndoa?

    Presumption of Death katika Sheria ya Ndoa na Mirathi ➡️ Je, mtu anapotea bila mawasiliano kwa miaka mitano mfululizo… je, bado ni mume/mke wako halali? ➡️ Je, bado atahesabika yupo hai? unaweza kufungua mirathi bila cheti cha kifo chake? ➡️ Au kuolewa tena bila talaka? Hili si swali la...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna mpinzani au mkosoaji yeyote aliwahi kutekwa, kupotea au kuuwawa katika utawala wa Nyerere?

    Ningependa kufahamu kama kuna mtu yeyote hasa aliyekuwa mpinzani au mkosoaji wakati wa utawala wa Nyerere aliyewahi kutekwa, kupotea au kuuwawa.
  4. Mayova

    JamiiForums Tanzania Kupotea kwa mizigo kwenye magari ya kusafirisha mizigo

    Habari za leo wazee. Nimekua nikisafilisha mizigo kwenye magari yanayo safirisha mizigo kutoka kariakoo kuja morogoro, jana mzigo wangu wenye thamani ya sh 4.4M( milioni nne na laki nne) umepotea . Kwa wazoefu likitokea tatizo kama hilo inatakiwa nipitie njia gani ili mwenye gari aweze...
  5. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Hata CHADEMA wakichukua nchi bado wapinzani wataendelea kutekwa na kupotea. Wapinzani sio lazima wawe CHADEMA hata CCM ni wapinzani kwa CHADEMA

    Nimeona kada wa chadema singida akipigwa na kupoteza fahamu ndani ya kikao Cha ndani Cha chadema, na wanaompiga wanasikika wakisema huyu ni team Mbowe huyu mshughulikieni !! Sijajua kama CHADEMA wakichukua nchi watu wataacha kupotea! Maana najua kwa Sasa ndani ya CHADEMA kuna wapinzani...
  6. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Je Kupotea kwa watu tanzania ni Ugaidi au siyo Ugaidi??

    Kama watu wanapotea bila kujua wapi wanaelekea je huo ni ugaidi au siyo ugaidi?Je Ugaidi ni upi?Tuambiane kuhusu neno Ugaidi.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kupotea kwa Mdude: Tuhuma za kuhusika kwa Askari katika kupotea kwa Nyagali, Uchunguzi mkali waanza, kikosi chatumwa, kutoka mtandaoni

    1. Huyu askari most likely hakuwa na ugomvi binafsi na Mdude, , alikuwa anafanya aliyotumwa na wakubwa. Sema ilibidi ajiongeze "asimuue" hata kama alipata amri hiyo! 2. Hizi ni drama tu hakuna lolote la maana litakalofabyika kumpata Mdude 3. Most likely by 1,000,000,000% he is dead... machozi...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Sitapiga kura, CCM tunazidi kupotea!

    Wakati nikifungua akaunti hii nilikuwa na furaha sana tena sana kwani niliona hakika Taifa linaenda kuongozwa na brain. Ukiangalia tarehe ya kuanza kwa akaunti hii na tukio lililokuwepo wakati huo utanielewa vizuri. Kwangu SSH ni brain hata katika Bunge la Katiba alionesha hilo na alikuwa very...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Arusha: Ufafanuzi wa taarifa inayosambaa kumuhusu kupotea kwa Gipson

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kuwa linapenda kutoa ufafanuzi juu ya taarifa inayosambaa katika Mitaandao na picha mjongeo ikimwonesha mwananchi mmoja aitwae Mercy Daniel Mkazi wa Arusha ambaye ameeleza kupotea kwa mmewake aitwae David Gipson Mkazi wa Arusha huku likiweka Wazi kuwa Mtu...
  10. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Barua ya 50 kwa ulimwengu kupotea kwa maisha ni njia nyingine ya kufa

    Unahitaji nini katika maisha yako? umefahamu ni nini unapaswa kufahamu ili upate unacho kihitaji? umefahamu jinsi ya kufanya katika unacho kifahamu?. Ni muhimu sana ujue nini uhitaji, kufahamu unacho kihitaji kwa mapana yake na kufanya kwa vitendo kwasababu maisha yana upepo kila pande,upepo...
  11. Tman900

    JamiiForums Tanzania Kupotea Kwa Thamani ya Familia au Ndoa

    Siku zinavyozidi kusogea ndivyo, Thamani ya Ndoa au Familia ndivyo inavyozidi kupotea. Kuna mambo Mengi yanayopoteza Thamani ya Familia au Ndoa. 1. Tamaa Kumekua na Tamaa kubwa sana ususani katika jamii yetu mtu anapoamua kuanzisha familia au kuingia katika Ndoa anaingia kimkakati, Tayari...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kupotea kwa mimba

    Poleni na majukumu wadau wa afya. Nina changamoto moja ambayo inamsumbua mke wangu kwa kipindi cha miezi mitatu sasa. Ana dalili zote za mimba ambayo haikui na tukipima hospitali vipimo vinaonyesha ana mimba lakini nasikitika nnapoona mimba ya mke wangu inapotea. Naombeni msaada wa mawazo...
  13. Fufua Tumaini Jipya

    JamiiForums Tanzania Serikali iruhusu uchunguzi huru uanze upya kuhusu kupotea kwa Ben Saanane na shambilio la risasi dhidi ya Tundu Lissu

    Kinachoendelea sasa kuhusu Ben Saanane ni masikitiko Sana . Ni bora uchunguzi huru ufanyike ili kujua nani hasa alihusika na kupotea Kwa Ben Saanane . Uchunguzi huu pia uende sambamba na kuchugunza shambulio la risasi dhidi ya Tundu Lissu. Ikiwa Kama Mgufuli inatonekana alihusika basi...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Kupotea kwa mfanyabiashara Ulomi na viashiria vya uhalifu ktk jamii yetu jicho la tatu linahusu..

    Vijana nawaomba mje hapa msome na mfungue macho yenu ya Tatu tupunguze haya madhila. Ktk dunia ilio staarabika kuna mambo tunayaona na kuna mambo hatuyaoni. Ila nivyema tuambiane ukweli tupone sote. Epuka kulisaliti taifa lako na kulihujumu ni hatari kwako binafsi na uzao wako. Kuwa Raia...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Polisi waanza kumtafuta Ulomi anayedaiwa kupotea

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limeanza kufuatilia taarifa ya kupotea kwa Daisle Simon Ulomi, mfanyabiashara ambaye hakurudi nyumbani kwake toka alipoingia kazini kwake siku ya tarehe 11 Desemba, 2024 baada ya taarifa ya kutafutwa kupokelewa katika kituo cha Polisi Chang’ombe, Temeke...
  16. Inside10

    JamiiForums Tanzania Polisi Dar waanza kumtafuta mfanyabiashara anayedaiwa kupotea.

  17. technically

    JamiiForums Tanzania Kwanini Zanzibar watu hawatekwi, kuuawa na kupotea?

    Najiuliza ili swali inakuwaje Zanzibar watu hawatekwi na kupotea Kama bara? Toka watu wameanza kutekwa na kupotea mwaka 2016 mpaka mwaka huu ni 2024!! Sijawai kusikia mzanzibar katekwa na kupotea Ila watanganyika ndio waanga wa utekaji na kupotea hii ni bahati mbaya au Nini ? Sipati majibu...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Izzo Bizness: Matukio ya Vifo na kutekwa na kupotea nchini, hali imekuwa ya kutisha zaidi

    Rapa Izzo Bizness ameelezea hofu yake kuhusu matukio ya hivi karibuni ya vifo na kutekwa kwa watu, akisema hali imekuwa ya kutisha zaidi. Kupitia mtandao wa X (zamani Twitter), Izzo ameonyesha wasiwasi kuhusu ongezeko la matukio ya kutoweka kwa watu nchini, huku akisema kuwa hali hiyo...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wakitekwa au kupotea viongozi wa CCM hawakemei au kulaani kwa wakati?

    Nadhani viongozi wa CCM wanapaswa kubadili msimamo wao. Kila ikitokea taarifa ya kutekwa au kuuwawa kwa asiye mwana CCM wao ukaa kimya. Kwa kuzingatia umuhimu wa haki ya kuishi niwaombe wabadili response strategy zao na wajitokeze mapema kulaani na kukemea. Ukimya wa CCM umepelekea hata vyombo...
  20. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kuuawa, kutekwa, kupotea na kushambuliwa kwa viongozi wa CHADEMA, kunaashiria nini?

    Wakati huu Leo tarehe 27/11/2024 ninapoandika hapa, tayari CHADEMA wametoka taarifa za kuuawa kwa wanachama wao wawili. CHADEMA wameripoti kuwa kwenye Kata ya Mkwese, Jimbo la Manyoni aliyekuwa mgombea wao kwenye kitongoji kinachoitwa "Stendi" amepigwa risasi na kufariki. Lakini pia CHADEMA...
Back
Top Bottom