Mliowahi kununua vitu kupitia Alibaba naombeni mwongozo

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Mar 10, 2022
17,796
32,148
Hellow,

Mlio wahi kuagiza vitu kupitia alibaba hali ipoje je ni kweli bei ina uhalisia na je mzigo uwa unachukua muda gani kukufikia yaani ki ujulma nataka kujua zaidi usalama uaminifu na muda wakupokea mzigo.
 
Inategemea na aina ya mzigo, kama ni mkubwa wa kusafirishwa na meli iyo itachukua hadi mwezi kufika bongo, toka siku meli ilipong'ao nanga bandari ya mzigo ulipotoka.
 
Uhakika hakuna Longo longo mzigo unafika vizuri tu tafuta agent wanaosafirisha mizigo kutoka china kuja bongo.
...Hujaeleweka Hapo Mkuu. Hebu Fafanua zaidi kidogo. Una maana ya kwamba :
'Uhakika Hakuna'. au Alibaba ni ya 'Uhakika...hakuna longolongo '....Hebu Fafanua Kidogo Hapo tujiridhishe !
 
Back
Top Bottom