kupiga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Ingekuwaje kama Iran ndiyo imeanzisha vita kwa kuwaua viongozi wa Israel na kupiga mabomu shule ya chekechea?

    https://youtu.be/Gw4tDqeT92g
  2. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Iran imetoa amri ya kupiga risasi raia anayesimama na Israel

    Kwa sasa kumekuwepo na taarifa amabayo imechapishwa kwenye mtandao wa kijamii wa facebook kwenye ukurasa wa Katunzi Blog ukiwa na nukuu ya Iran imetoa amri ya kupiga risasi raia anayesimama na Israel Katika chapisho limeonekana kuwa na nukuu hii "Baba na mama, kama mwana wako au binti yako...
  3. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Chawa Philosopy: Serikali Awamu ya 6 inaweza kutoa tamko la kupiga marufuku kuwashangilia au kuwaenzi wastaafu wenye utumishi uliotukuka!

    Siyo siri, serikali ya Awamu ya 6 ina matatizo ya kukubalika na jamii. Sitaingia katika sababu za kufikia hapo. Lakini wakati wa msiba wa baba Yetu Cardinali Pengo, imejidhihirisha wazi kuwa watu wanajua viongozi wanao wapenda. Kwa kushangiliwa kwa upendo na bashasha kubwa Mpango, Makamu wa...
  4. Vien

    JamiiForums Tanzania Nyakati ngumu ndiyo daraja la mafanikio makubwa kwenye biashara

    Habari wana JF, Kuna jambo watu wengi hawalielewi kuhusu biashara - mafanikio ya kweli huanza rohoni kabla hayajaonekana kwenye akaunti ya benki. Watu wengi wanapomwona mfanyabiashara aliyefanikiwa, wanaona majengo, magari, ofisi na mtiririko wa pesa. Lakini hawaoni maombi ya usiku, wasiwasi...
  5. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Watu wa Kusini kuweni makini na hao wafugaji kutoka kanda ya ziwa msije kupiga kelele baadae

    Kuna wimbi kubwa sana la wafugaji kutoka kanda yq ziwa hasa kwenye wakihamia mikoa ya kusini Lindi,Mtwara na Ruvuma kuna makundi kwa makundi ya wafugaji wa jamii ya kisukuma wakihamia mikoa ya kusini na kuanza kupora ardhi na pia wengi wao kuwadhuru wenyeji wao kitu ambacho kinaleta taharuki na...
  6. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Hapa, unamchagua nani kupiga freekick anayeelekea kuwa na uwezo wa kufunga?

    Timu yako inahitaji ushindi, na dakika za lala salama imepata freekick karibu na goli la mpinzani. Unamchagua nani kati ya hawa kupiga mpira huo wa adhabu ndogo ili kuhakikisha ushindi?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Siku tukija kupata kiongozi kama huyu hata kama ni mtata basi Tanzania itafika mbli sana kiuchumi, Kenya hawataweza kusogea kabisa.

  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu nchini afghanistan atangaza rasmi marufuku ya utoaji wa elimu kwa wanawake

  9. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye kumbukumbu yule jamaa anapendaga sana kupiga ama kudaka watu Jumamosi/Jumapili

    Mwamba wa dunia naambiwa yuko middleeast hukooo kumbukumbu zangu jamaa anapenda sana kudaka ama.kupiga wenzie Ijumaa Jmosi Jpili Ijumaa imepita jmosi ndio hii Yetu machoooo
  10. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Kenani Kihongosi: Tusikubali kupiga nyumbani tulikozaliwa, watakaoathirika ni watoto, wazee na kina mama

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi amesema hayo akiwa wilaya ya Mkalama mkoani Singida.
  11. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Wazee wa kupiga deki hakikisha hili kwa usalama wa afya yako

    Haya wale wazee wa kutafuta ujiko kwa kufyonza bakteria na chembechembe za nnyaa.... Jambo la kuzingatia huyo mwanamke msafi au papa yake anajua kuitunza au ndio harufu ya samaki kama tupo ferry. Inakata stimu unapukua faragha upo na pisi inaita kwa nje kwa ndani harufu ya papa kama kaficha...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Myanmar kuendelea kupiga kura katika uchaguzi uliotawaliwa na Jeshi

    Taifa la Myanmar linaendelea na zoezi la kupiga kura katika awamu ya pili ya uchaguzi, ambao hadi sasa umetawaliwa na chama kinachoungwa mkono na jeshi linalotawala, huku serikali ya kijeshi ikijaribu kupunguza uzito wa ushiriki mdogo wa wapiga kura katika awamu ya kwanza ya zoezi hilo...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Picha: Samia na Makonda wametoka mbali! Una maoni gani?

    Nini maoni yako?
  14. Trainee

    JamiiForums Tanzania Nimemuonea huruma sana Mchina aliyeenguliwa wakati wa kupiga picha

    Ilipofika muda wa kupiga picha kuna wengine walikuwa kando wakawa wanajisogeza kwenda kujumuika kwenye picha akiwemo yule mshereheshaji wa mradi (sina hakika kuna aliyekuwa akiwaita au laa). Wote hao wamekuja kwa kuchelewa kidogo lakini hawajakutana na kizuizi. Ajabu ni kwamba kuna watu kama...
  15. Superbug

    JamiiForums Tanzania Nadhani hakuna mtu anayetaka kunasibishwa na muuwaji au kupiga picha na muuwaji

    Katika Hali ya kawaida hakuna mtu mwenye akili timamu atataka kunasibishwa na muuwaji au kupiga picha na muuwaji ukiona hivyo ujue wewe ni msafi na muuwaji anataka kujisafisha kupitia wewe.
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Hii ndio stori fupi ya mabaharia wenzagu walipokuwa wakisikilizia mwaka mpya

    Msoto uko pale pale, kinachobadirika ni namba pekee. ] Tuendelee kupambana, hakuna namna, HAPPY NEW YEAR FRIENDS.
  17. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakili afungua mashtaka akiitaka Mahakama kuzuia usafiri wa umma (Matatu) Kupiga Muziki wa sauti kubwa, Nairobi

    Wakili mmoja kutoka Nairobi amefungua shauri katika Mahakama Kuu akiomba kutolewa kwa amri ya kusitisha magari ya usafiri wa umma (matatu) kupiga muziki wa sauti kubwa, akisema kuwa tabia hiyo inakiuka haki kadhaa za kikatiba. Katika ombi lake, Wakili Samwel Barongo Nyamari amelaumu Chama cha...
  18. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Si Kila mtu anaweza kupiga kura za tuzo za kimataifa Sheria na vigezo huzingatiwa, mbona hata vichaa wangepiga kura

    Hizo tuzo za kidunia hizi Tunazozijua zinataratibu zake za jinzi ya kupiga kura, na watu wenye sifa za kupiga kura huwa wanaainishwa kwenye website ya tuzo husika, na ili kupiga kura lazima uwe verified kabisa na upigaji wa kura Huwa unakuwa na ratiba ambayo wanatumiwa wenye sifa tu (voting...
  19. Llio 002

    JamiiForums Tanzania Je, ni sawa kutumia ulimi kama nyenzo ya kumlainisha Mwanamke kabla ya kupiga mjegeje?

    Hili swali la je ni salama?, ni Afya na je ni sawa kuutumia ulimi kama nyenzo ya kumlainisha BI-AISHA ili kumwandaa Mwanamke kumpokea Abdallah kipara wazi?. Jibu langu kwako ni 👇 Ndiyo, nani sahihi na Ki-Afya ni salama kutumia ulimi kama nyenzo ya maandalizi ya awali (foreplay) kuinua hisia za...
  20. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Harmonize jana arudi kupiga show za club na sio kuandaa matamasha tena

    Wakuu jana usiku wa kuamkio leo Kondeboy ameonekana visiwa vya Zanzibar akipiga show kwenye club moja ambapo watu walikuwa akisherehekea Christmas. Limekuwa jambo la tofauti sana kutoka Harmonize yule wa kuandaa concert kubwa leo hii karejea mitaani tena. Naona kuvunga wameshindwa na kumbe sisi...
Back
Top Bottom